Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 7

BEI NI 1000 TU KWA KILA

AZIMIO
AZIMIO LA KAZI

HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA

JINA LA MWALIMU: M. B. IVAN

JINA LA SHULE: SHULE YA MSIMGI MBI

MWAKA: 2024

SOMO: STADI ZA KAZI

MUHULA WA: I NA II

DARASA LA: V
Maudhui ya Darasa la V
Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi katika Darasa la V
Umahiri mkuu Umahiri mahususi

1.0 Kutumia misingi ya unadhifu 1.1 Kujenga tabia ya usafi wa mwili


1.2 Kutunza mavazi katika kudumisha usafi
1.3 Kutunza mazingira katika kudumisha makazi safi

2.0 Kumudu mapishi mbalimbali 2.1 Kutambua kanuni zinazohitajika katika mapishi mbalimbali
2.2 Kutayarisha vyakula aina mbalimbali
2.3 Kutengeneza vinywaji

3.0 Kusanifu kazi za sanaa 3.1 Kumudu misingi ya uimbaji na uigizaji.


3.2 Kutengeneza picha zenye ujumbe tofauti kwa jamii
3.3 Kubuni chapa tofauti za sanaa za ufundi
3.4 Kufinyanga maumbo mbalimbali
3.5 Kutengeneza vitu kwa kutumia makunzi yanayopatikana katika
mazingira

4.0 Kutumia stadi za ujasiriamali 4.1 Kujenga utayari wa kujifunza


4.2 Kutambua masoko ya bidhaa ndogondogo
4.3 Kutumia kanuni za usimamizi wa fedha
UMAHIRI UMAHIRI SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI REJEA ZANA UPIMAJI MAONI

VIPINDI
MWEZI
MKUU MAHUSUSI

WIKI
KUWA Kujenga tabia Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na J 1 TET(2016), Maji,sabuni, Mazoezi na
NADHIFU ya usafi wa kuwaongoza Kueleza utaratibu wa usafishaji A Kitabu cha brashi Majadiliano
mwili wa mwili N stadi za
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na U 2 Kazi darasa Matini za Mazoezi na
kuwaongoza Kueleza utaratibu wa usafi wa A 1 la Tano, usafi Majadiliano
mwili wakati wa balehe kwa jinsi zote R TET, Dar es
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na I 3 Salaam. Picha za Mazoezi na
kuwaongoza Kuvaa sare ya shule Kwa 1 sare za Majaribio
kufuata utaratibu uliopangwa shule
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na 1 Vitambaa, Mazoezi na
kuwaongoza Kushona mishono sahihi sindano, uzi Majadiliano
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na
Kutunza
kuwaongoza Kurekebisha mavazi Sindano,
mavazi katika 1 Mazoezi
yaliyochanika kwa kuzingatia kanuni za vazi, uzi
kudumisha
urekebishaji wa mavazi 4
usafi
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na Kifungo,sind Mazoezi na
kuwaongoza Kushonea vifungo 1 ano,uzi Majadiliano

Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na Picha za Mazoezi na


kuwaongoza Kusafisha sakafu kwa kufuata F 1 vifaa Majadiliano
Kutunza utaratibu E
mazingira Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na B 1 1 Picha ya Mazoezi na
katika kuwaongoza Kuelezea jinsi ya kufanya usafi R chumba majaribio
kudumisha sehemu ya kulala U
makazi safi Kueleza utaratibu wa kuhifadhi taka A 2 1 Mazoezi na
Kizoleo, pipa
R majaribio
la taka
I
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na Kitabu cha Mazoezi na
kuwaongoza Kueleza kanuni za usafi 1 mwanaf majaribio
Kutambua binafsiwakati wa kuandaa chakula TET(2016),
kanuni Kitabu cha
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na 3 1 Picha za Mazoezi na
zinazohitajika stadi za
kuwaongoza Kufanya usafi wa mazingira usafi majaribio
katika F Kazi darasa
katika eneo la kuandaa chakula
mapishi E la Tano,
Kubaisha njia tofauti za mapishi ya vyakula 1 Picha za Mazoezi na
mbalimbali B TET, Dar es mapishi majadiliano
R Salaam
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na U 4 1 Picha za Mazoezi na
kuwaongoza Kuchemsha chakula kwa A vyakula majaribio
kufuata kanuni husika R
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na I 1 Mazoezi
kuwaongoza Kukaanga vyakula kwa mafuta Picha za
naMajaribi
KUMUDU Kutayarisha kidogo vyakula
MAPISHI vyakula vya o
TOFAUTI aina tofauti
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na 1 1 Mazoezi na
kuwaongoza Kutayarisha vakula kwa njia ya majaribio
kuchoma picha

M
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na 1 Picha ya Mazoezi na
A
kuwaongoza Kuandaa chai ya maziwa chai maziwa majaribio
C
H
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na 1 Mazoezi na
Kutengeneza I Picha ya uji
kuwaongoza Kupika uji majaribio
vinywaji
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na 2 1 Picha ya Mazoezi na
kuwaongoza Kuandaa juisi kwa kukamua juisi majaribio
matunda
KUSANIFU Kumudu Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na M 1 TET(2016), Santuli,redio Mazoezi
KAZI ZA misingi ya kuwaongoza Kuimba nyimbo kwa A Kitabu cha
SANAA uimbaji na kuongozwa na ala mbalimbali za muziki C stadi za Kazi
uigizaji Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na H 1 darasa la Ngoma za Mazoezi
kuwaongoza Kuimba nyimbo mbalimbali I Tano, TET, bendi
za Kitaifa kwa kuongozwa na mkong’osio Dar es
wa bendi ya shule Salaam.
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na Mazoezi
kuwaongoza Kughani shairi la mapokeo 1 Shairi
lenye beti nne kwa ghani tofauti
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na Mapambo ya Mazoezi
kuwaongoza Kuandaa mapambo tofauti kuigizia
3 1
ya mchezo wa kuigiza kulingana na
ujumbe unaohusika
Kuwataka wanafunzi kuandaa vifaa na Mazoezi
kuwaongoza Kuigiza maigizo tofauti na 1
kuelezea ujumbe wake
UPIMAJI WA NUSU MUHULA WA KWANZA (WIKI YA NNE YA MACHI)
LIKIZO FUPI (28/03/2024 - 08/04/2024)

UKIHITAJI AZIMIO KAMILI, AU UKIHITAJI MAAZIMIO


MENGINE (BOTH SWAHILI AND ENGLISH MEDIUM ALL
SUBJECTS) FROM NUSERY TO F4, MITIHANI AWALI – F4,
VITABU VYA TIE AWALI – F6, MAANDALIO F1-F4

WASILIANA NASI

MBI EDUCATIONAL SERVICES


KUPITIA:

CALL, MESSAGE OR WHATSAPP:


0766617162
BEI NI 1000 TU KWA KILA AZIMIO
CALL & MESSAGE ONLY: 0683205565

You might also like