Upeleke Roho Yako Ee Bwana

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

UPELEKE ROHO YAKO EE BWANA

Chorale Armée du Ciel


Zaburi 103 (Pentekoste ABC) M: Ami-Fidèle
 = 75
3 3

                
            
           
3 3
R)U pe le ke Ro ho ya3 ko ee Bwa na u fa nye u pya u fa nye
3 3
 
                            
  
  3
3
3

6

              

u pya u so wa du ni a.
        
       

17
   
         

1) Umsifu Bwana ee Roho yangu!


Ee Bwana, Mungu wangu umkubwa sana!
Umeji vika utukufu na ungaro, umejivika mwanga kama vazi,
Umetandaza anga kama hema.
2) Juu ya maji umejenga makao yako 4) Ukificha uso wako, wana angamia
Unafanya ma wingu kuwa gari lako Ukiondoa pumzi ya uzima, wanakufa
Unafanya pepo kuwa wajumbe wako Ukipeleka pumzi yako ya uzima, wanaumbwa tena
Na ndimi za moto, kuwa watumishi wako. Unafanya upya uso wa dunia.
3) Umeweka dunia juu ya misinji yako; 5) Sifa zimwendee Baba, Muumbaji wa mbingu na dunia
haita tikisika milele na milele Sifa zimwendee Yesu Kristu, mkombozi wetu
Uliifunika kwa bahari kama kwa vazi Sifa kwa Roho Mtakatifu, kiongozi wa kanisa.
Maji yalisimama juu ya milima. kama mwanzo, na sasa, daima na milele. Amina
.

Rodriguez NTUGULO-2018

You might also like