Professional Documents
Culture Documents
f3 Kisw Pp1 C-HR 10 QP
f3 Kisw Pp1 C-HR 10 QP
N/B In Response to the Huge Costs Associated in Coming Up with Such/Similar Resources Regularly, We
inform us All, MARKING SCHEMES ARE NOT FREE OF CHARGE. However Similar QUESTIONS, Inform of
soft Copies, are Absolutely FREE to Anybody/Everybody. Hence NOT FOR SALE
by Amobi Group of Examiners.
Page 1 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
Page 2 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
MUDA: SAA 1¾
KIDATO CHA TATU
MAAGIZO
1. Andika dayalojia baina ya mtu na rafiki yake ambao ndiyo kwanza wakutane toka
walipoachana katika shule ya msingi.
2. Andika insha juu ya methali “Mti mkuu ukigwa wana wa nyuni huyumba”
4. Niliskia jina langu likitajwa. Mmoja akaniita nikatoka nje. Nilisikia msongamano wa watu
nyimbo za ushindi zikapanda juu!.................... Endeleza kisa hiki.
Page 3 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1 (INSHA)
MUDA: SAA 1 ¾
1. Halmashauri ya utunzi wa mitihani nchini imewatahadharisha watahiniwa dhidi ya udanganyifu
katika mitihani ya kitaifa. Andika tahadhari hiyo na hatua zitakazochukuliwa dhidi ya
watakaozikiuka.
Page 4 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
1. Wewe ni katibu wa chama cha waandishi habari chipukizi shuleni mwako. Andika
kumbukumbu za mkutano uliofanyika mnamo MACHI 7, 2014.
Page 5 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
Page 6 of 13

KARATASI 1
KIDATO CHA TATU
INSHA
MUDA: SAA 1 ¾
4) Andika insha itakayomalizikia kwa “…ndiyo maana nimeapa ya kwamba usiku siwezi
nikamfungulia mlango yeyote nisiyemjua
1. Jadili.
Page 7 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
1. Umepata habari kwamba binamu wako anayeishi Ujerumani ameanza kutumia mihadarati.
Mwandikie barua ukimweleza kuhusu athari hasi za tabia hiyo.
2. Ufisadi umekuwa tatizo sugu nchini. Jadili vyanzo vyake na upendekeze suluhu kwa uovu huo.
4. Tunga kisa kitakachoanza kwa maneno yafuatayo; Buum! Mlipuko huo ulitapakaza vifuzi
kote.Wingu jeusi la moshi lilitanda..............
Page 8 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
Maswali
1. Wewe ni mwandishi wa habari wa shirika la Amani nchini. Kumekuwa na visa vya ukosefu wa
usalama unaosababishwa na magenge yaliyojihami nchini kwa muda wa miezi kadhaa sasa.
Andika mahojiano yako na waziri wa Usalama wa ndani kuhusu namna ya kukabiliana na hali hii.
3. Dua la kuku halimpati mwewe. Tunga kisa kinachothibitisha ukweli wa methali hii.
4. Andika insha itakayoanza kwa maneno yafuatayo: “Sauti hiyo ilikuwa ya kutisha…..”
Page 9 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
1. Wewe ni katibu wa chama cha kiswahili shuleni mwenu. Andika kumbukumbu za mkutano
uliofanywa hivi karibuni kuzungumzia mikakati ya kuboresha kiswahili shuleni.
4. Andika kisa kitakachomalizia kwa: ………….. tangu siku hiyo nilitanabahi kuwa marafiki
wengine ni kama lumbwi.
Page 10 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
MASWALI:
1. Wewe ni katibu wa kamati ya maslahi ya klabu ya wasanii chipukizi mtaa wa Rehema.
Andika kumbukumbu za mkutano uliofanywa hivi karibuni kujadili suala la usalama
uliozorota.
2. Mfumo wa elimu nchini Kenya una kasoro nyingi na unafaa kufanyiwa mabadiliko. Eleza.
4. Tunga kisa kinachomalizika kwa maneno haya: ‘……. Hapo ndipo iliponipambazukia kuwa
nilikuwa naogelea baharini pekee, kinyume na wenzangu wote.
Page 11 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
JINA: ……………………………………………...……….…………………………………
SHULE: ………………………………………………………………………………………
3. Kutangulia si kufika.
Page 12 of 13
Prefer Calling Amobi Group of Examiners @ 0743 333 000 or 0706 851 439 for Marking Schemes
Page 13 of 13