Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA.

BARAZA LA KATA KALAMBAZITE

TAREHE: ………………………………………
YAH: MKATABA WA UNUNUZI WA SHAMBA.
1. Mkataba umefanyika leo ………………. Mwezi ………… mwaka……….. kati ya
………………………………… (muuzaji) …………………………….(mnunuzi)
2. Kumbuka mnunuzi amenunua shamba lenye ukubwa urefu ………….. upana ………..
Kwa kiasi cha TSH ……………………….kwa maneno ………………………………..
3. Hivyo mipaka iliyowekwa ni halali asitokee mtu kupinga wala kuingilia mipaka hiyo.
4. a) Mpaka kasikazini amepakana na …………………………………………………….
b) Mpaka kusini amepakana na …………………………………………………….
c) Mpaka mashariki amepakana na …………………………………………………….
d) Mpaka magharibi amepakana na …………………………………………………….

5. Maelezo hapo juu ni halali na sahihi kisheria na kwamba mimi

……………………………… (muuzaji) ………………………………. (Mnunuzi)
Tunalidhiana kwa kuweka sahihi zetu mbele ya mashahidi kama ifuatavyo.
6. Muuzaji …………………………………..Sahihi…………………………Tarehe
……………………..

 Shahidi…………………………………… Sahihi …………………..

 Shahidi…………………………………… Sahihi …………………..
 Shahidi…………………………………… Sahihi …………………..

7. Mnunuzi jina ………………………………… Sahihi………………Tarehe

…………………
 Shahidi…………………………………… Sahihi …………………..
 Shahidi…………………………………… Sahihi …………………..
 Shahidi…………………………………… Sahihi …………………..

8. MWENYEKITI WA BARAZA
 Jina ………………………………. Sahihi ………………….. Tarehe ……………..

9. KATIBU WA BARAZA

 Jina ………………………………. Sahihi ………………….. Tarehe ……………..

You might also like