Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

MAPATANO KATI YA JAMAA MAKELELE NA JAMAA

KANYAMBWE
Sisi jamaa MAKELELE na Jamaa KANYAMBWE, kufatana na mzozo ya mimba
kati ya kijana DADY MAKELELE na musichana Aimée KIMBESA wa jamaa
KANYAMBWE ; kiisaha vikao mbali mbali ndani ya jamaa, kwenye SOFEPADI ; kiisha
ku zaliwa kwa mutoto kupitiya prise en charge ya jamaa MAKELELE ; na kisha ku
samba kwenye parquet de Grande instance ya Beni kwa tarehe 07/05/2024, jamaa izo
mbili zimekubaliana vifatavyo :
1. Musichana Aimée KIMBESA na mtoto wana rudi kwenye jamaa KANYAMBWE
ku toka kwa jamaa makelele ;
2. Jamaa MAKELELE ina kubali ku shurulikiya musichana na mutoto kwa dawa na
chakula, kufatana na mapato yao, mpaka mtoto atakapo kombolewa kwa jamaa
KANYAMBWE kufatana na asili ;
3. Hakuna maongezi ingine yenye ita kuwaka kati ya jamaa MAKELELE na jamaa
KANYAMBWE kuhusu iyi jambo.
4. Mzozo huu una ishiya pale.
Ime fanyika Beni tarehe 15/05/2024
JAMAA MAKELELE JAMAA KANYAMBWE

1. 1.

2. 2.

3. 3.

4. 4.

You might also like