MUHTASARI

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

MUHTASARI

(EXECUTIVE SUMMARY)

Kipengele cha Executive Summary katika mpango wa biashara ni sehemu


muhimu ambayo inatoa muhtasari kwa kifupi na kwa kina kuhusu mambo muhimu
ya mpango wako wa biashara. Mara nyingi, watu wanachukua muda mfupi kusoma
sehemu hii, hivyo ni muhimu kuifanya iwe ya kuvutia na inayojibu maswali
muhimu. Hapa kuna mambo unayopaswa kuweka.

“Hiki ni kipande kidogo kinacho fupisha mpango wa biashara yako nzima, vile
vitu muhimu ambavyo vitaoenaka kwenye mkakati wako”

Kipengele hiki kinamrahisishia mtu kupata picha ya mkakati wako kwa haraka.
Mambo unayopaswa kuweka ni

 Utangulizi
 Maelezo ya Biashara
 Malengo na lengo Kuu
 Kwanini umeamua kuanzisha biashara
 Dhamira na dira

Bila shaka, sehemu hii inaonyesha mwanga kuhusu biashara au wazo lako.

You might also like