Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 7

SHERIA YA ARDHI NAMBA 113

HATI YA ZAWADI

KATI YA

SALIM MOHAMMED

SONGORO

NA

MOHAMMED SALUM TANGA

KUHUSIANA NA SHAMBA LENYE HEKALI (1) LILILOPO MKOA WA DODOMA


WILAYA YA KONDOA KIJIJI CHA KOLO(A), NA SHAMBA HEKALI(14) LILILOPO
DODOMA-KONDOA,KIJIJI KOLO(B)

DRAWN BY:

Parties Here in
HATI YA ZAWADI

Hati hii ya zawadi imeandaliwa leo Tarehe Mwezi 5 Mwaka 2024

KATI YA

SALIM MOHAMMED SONGORO, Mtu hasili, mwenye sanduku la posta


nambari 711, DODOMA - Tanzania, (hapa akijulikana kama MTOA ZAWADI ambae hapa
itawajumuisha kama itakavyoonekana na itakavyojulikana; itawahusisha vile vile warithi na
wahusika wowote wa MTOA ZAWADI kwa upande mmoja).

NA

MOHAMMED SALUM SANGA, mtu halisi mwenye sanduku la posta nambari 711, DODOMA
-Tanzania (hapa akijulikana kama MPOKEA ZAWADI ambaye hapa itawajumuisha kama
itakavyoonekana na itakavyojulikana; itawahusisha vile vile warithi wowote wa MPOKEA
ZAWADI kwa upande wa pili)

UTANGULIZI:

KWAMBA:
KWAMBA

A) MTOA ZAWADI ni Mmiliki halali wa Ardhi yenye Ukubwa wa hekari 14, akipakana
upande wa magharib na - (Hifadhi ya misitu TANAPA), kaskazini-(Haruna sultani),
kusini –(selemani sanga na Ali odei), mashariki –(idi samu na mama Adamu)
inayopatikana katika wiliya ya kondoa, kijiji cha kolo(B)-Dodoma. Pia ni Mmiliki halali
wa Ardhi yenye ukubwa wa hekari 1, akipakana upande wa magharibi na-(Abubakari
idi), kusini-(Abdallah bakari), mashariki-( Juma swalehe), kaskazini-(idi maulidi)
inayopatikana katika wiliya ya kondoa, kijiji cha kolo(A)-Dodoma. Na pia ni Mmiliki wa
nyumba ya vyumba 2 na sebula inayopatikana katika kijiji cha kolo(A), ardhi hiyo
(ikijulikana kama SHAMBA)

B) MTOA ZAWADI ameridhia kutoa sehemu ya mashamba na nyumba yake kwa njia ya
zawadi kwa MPOKEA ZAWADI, SHAMBA lenye Ukubwa wa hekari 14, akipakana
upande wa magharib na - (Hifadhi ya misitu TANAPA), kaskazini-(Haruna sultani),
kusini –(selemani sanga na Ali odei), mashariki –(idi samu na mama Adamu)
kinachopatikana katika wiliya ya kondoa, kijiji cha kolo(B)-Dodoma, na SHAMBA
lenye ukubwa wa hekari 1, akipakana upande wa magharibi na-(Abubakari idi), kusini-
(Abdallah bakari), mashariki-( Juma swalehe), kaskazini-(idi maulidi) kinachopatikana
katika wiliya ya kondoa, kijiji cha kolo(A)-Dodoma. Na nyumba ya vyumba
inayopatikana katika kijiji cha kolo(A)

C) MTOA ZAWADI yuko tayari kutoa sehemu yake ya Ardhi(MASHAMBA) na nyumba


kama ilivyotajwa hapo juu na MPOKEA ZAWADI yupo tayari kukubali zawadi hiyo
kwa mujibu wa kanuni na masharti kama ilivyokubaliwa katika Hati hii ya Zawadi.
Shamba lenye hekari 14 lililopo kolo(B) anapakana na.

A. Hifadhi ya misitu TANAPA- upande wa magharib

B. Haruna sultani -upande wa kaskazini

C. Selemani sanga na Ali odei- upande wa kusini

D. Idi samu na mama Adamu- upande wa mashariki

Shamba lenye hekari 1 lililopo kolo(A), anapakana na;

A. Abubakari idi -upande wa magharibi

B. Abdallah bakari- upande wa kusini

C. Juma swalehe- upande wa mashariki

D. Idi maulidi -upande wa kaskazini


MTOA ZAWADI ANAHAKIKISHA YA KWAMBA

MTOA ZAWADI anamhakikishia MPOKEA ZAWADI yafuatayo:-

MTOA ZAWADI ni mmiliki halali wa mashamba na nyumba hiyo havija wekwa rehani , wala
havina mkopo, havija kodishwa, wala hakuna zuio la aina yoyote ile; mali hizo sio
mashamba ya Ukoo na kwamba hakuna jamii ya ushirika au mtu yeyote katika familia ya
MTOA ZAWADI ambaye anadai haki yoyote ya umiliki juu ya Ardhi(mashamba) hiyo.
Kuanza kwa utekelezaji wa Hati hii haimaanishi kukiuka wajibu wowote wa kimkataba wa
MTOA ZAWADI, au kuhitaji idhini yoyote chini ya Hati yoyote au chombo kingine
ambacho MTOA ZAWADI ni mwanachama au ambacho amefungwa au uamuzi wowote,
amri. au agizo la sheria yoyote, kanuni au kanuni inayotumika kwa MTOA ZAWADI.
Hakuna mashtaka, usuluhishi au kesi ya kiutawala au madai ambayo inaweza yenyewe au
pamoja na kesi nyingine yoyote ile au kudai inaweza kuwa na athari mbaya au kuathiri
vibaya uwezo wa MTOA ZAWADI kuzingatia au kutekeleza majukumu ya MTOA
ZAWADI chini ya Hati hii, inayoendelea hivi sasa.
MTOA ZAWADI, kwa ufahamu wake bora, hajui kuingiliwa kwa Kiwanja na ardhi yoyote ya
jirani.

This Deed witnesses that the Grantee will commence new ownership of the said Land and the
Grantor shall cease ownership of the said Land soon after the registration of the transfer.
Hati hii inashuhudia kwamba MPOKEA ZAWADI ataanza umiliki mpya wa mashamba
hayo na ule wa MTOA ZAWADI utakoma mara tu baada ya kusainiwa kwa Hati hii ya
zawadi.
Kwa ushahidi wa maelezo hayo uongozi wa Serikali ya Mtaa umeweka sahihi na Mhuri
kuthibitisha uhalali wa makabidhiano hayo.

Jina: CHANI MAJALA

Sahihi:
Cheo: MWENYEKITI WA KJIJI;
Kijiji Cha; KOLO( A)

Mhuri;
KWA USHUHUDA HUU, pande zote mbili zinazohusika katika Mkataba huu zimeweka saini zao
hapa chini kama ifuatavyo-

MTOA ZAWADI

Hati hii ya Zawadi imewekwa saini na kupokelewa na


SALIM MOHOMMED SONGORO ametambulishwa
kwangu na MOHAMMED SALUM TANGA
leo Tarehe Mwezi , Mwaka 2024 MTOA ZAWADI

MBELE YANGU:
JINA:

SAINI:
ANUANI: ARUSHA- TANZANIA
TAREHE:
WAKILI NA KAMISHNA WA VIAPO

MPOKEA ZAWADI

Hati hii ya Zawadi imewekwa saini na kupokelewa na


MOHAMMED SALUM SANGA ambaye nina mfahamu
leo Tarehe Mwezi 5 , Mwaka 2024 MPOKEA ZAWADI

MBELE YANGU:
JINA:

SAINI:
ANUANI: ARUSHA- TANZANIA
TAREHE:
WAKILI NA KAMISHNA WA VIAPO
MAJINA YA WANANDUGU WALIOSHUHUDIA:

1. ALI HODAI- baba mdogo


Sahihi:
2. CHANI ODAI- baba mdogo
Sahihi:
3. IDI MAULIDI- Jirani anae pakana nae
Sahihi:
4. JUMA SWALEHE- Jirani anae pakana
Sahihi:
5. ASHA SALUM TANGA- dada
Sahihi:
6. RUKIA SALUM TANGA- dada
Sahihi:
7. ZULFA SALUM TANGA- dada
Sahihi:
8. MOHAMMED SALUM TANGA- kaka
Sahihi:
9. HIDAYA SALUM TANGA-kaka
Sahihi:

You might also like