Professional Documents
Culture Documents
JS KISWAHILI Professional Documents 30TH MAY
JS KISWAHILI Professional Documents 30TH MAY
JS KISWAHILI Professional Documents 30TH MAY
MAELEZO YA KIUTAWALA
MWAKA 2024
MUHULA 1
SOMO KISWAHILI
GREDI 8
Wiki Kipindi Suala Mada Mada Matokeo Shughuli za Swali Nyenzo Tathmini Tafakuri
kuu ndogo maalum ujifunzaji dadisi
yanayotaraji
wa
1 1 Usafi Kuandi Uakifishaji Kufikia kutambua alama Alama ya Chati yenye Kuandika sentensi
●
wa ka mwisho wa hisi sentensi na na vifungu vya
sehemu ya hisi katika
kipindi, hutumika vifungu vya maneno
za maneno, sentensi
mwanafunzi au vifungu vya vipi katika maneno. akizingatia alama
umma
aweze: maneno kwenye maandishi? ya hisi.
a) kutambua matini andishi na Kitabu cha
matumizi ya za kidijitali, mwanafunzi
alama ya hisi kuandika Gredi ya 8
●
1
katika matini maneno, sentensi
au vifungu vya
b) kutumia maneno kuhusu
alama ya hisi kwa kutumia
alama ya hisi
katika matini
ipasavyo kwenye
kitabu au kifaa
c). kuonea cha kidijitali,
fahari matumizi kuandika kwenye
yafaayo ya ●
alama ya hisi tarakilishi,
na ritifaa katika kifungu kifupi
matini. kwa kutumia
alama ya hisi na
ritifaa ipasavyo
na kuwasambazia
wenzake kwenye
mtandao ili
wakitolee maoni,
kusahihisha
●
kifungu kuhusu
suala lengwa
ambacho
hakijatumia
alama ya hisi na
ritifaa ipasavyo,
kuwasomea
●
wenzake kifungu
alichoandika na
kuwataka
waandike
maneno, sentensi
au vifungu
vinavyofaa
kutumia alama ya
2
hisi na ritifaa,
kumwonyesha
●
mzazi, mlezi au
mwenzake
maneno, vifungu
vya maneno au
sentensi zenye
alama ya hisi na
ritifaa alizotunga
ili atoe maoni
yake.hakijatumia
herufi
kubwa ipasavyo,
kuandika
●
maneno, sentensi
au vifungu
kuhusu suala
lengwa kwa
kutumia herufi
kubwa
ipasavyo akiwa
peke yake au
katika kikundi
3
TEMPLETI YA ANDAO LA SOMO LA KISWAHILI
MAELEZO YA KIUTAWALA
Mada: Kuandika
4
b) kutumia alama ya hisi katika matini.
c) kuonea fahari matumizi yafaayo ya alama ya hisi na ritifaa katika matini.
Swali dadisi: Je, alama ya hisi huonyesha hisia zipi?
Nyenzo
a) Chati
b) Kipakatalishi
Mpangilio wa ujifunzaji
Kipindi kitatekelezwa darasani. Wanafunzi watafanya kazi mmoja mmoja, wawiliwawili na katika vikundi.
Utangulizi
Wanafunzi kutaja alama mbalimbali za uakifishaji na matumizi yake. Mwalimu kuwaelekeza na kujibu maswali dadisi.
Uwasilishaji wa somo
Hatua ya 1: Mwanafunzi mmojammoja atambue maneno kwenye sentensi yaliyoandikwa kwa kutumia alama ya hisi kutoka
kwenye chati ili kukuza umilisi wa kimsingi wa kujiamini.
Hatua ya 2: Wanafunzi wakiwa wawiliwawili, watambue matumizi zaidi ya alama ya hisi katika kifungu. Wawasilishie
wenzao darasani kwa zamu. Hii itakuza umilisi wa kimsingi wa mawasiliano na ushirikiano.
Hatua ya 3: Wanafunzi wakiwa katika vikundi waeleze matumizi ya alama ya hisi darasani. Wanafunzi kushiriki kutoa
maoni zaidi kuhusu matumizi ya alama ya hisi.
Hatua ya 4: Mwelekeze mwanafunzi zaidi kuhusu matumizi ya alama ya hisi katika sentensi na kifungu. Kushirikisha
wanafunzi kutoa maoni zaidi kuhusu matumizi ya alama ya hisi. Mwanafunzi kuandika kifungu akizingatia
matumizi ya alama ya hisi.
5
Kazi ya ziada
Mwanafunzi kuandika kifungu kifupi kwa kutumia alama ya hisi.
Hitimisho
Mwalimu kutoa muhtasari wa matumizi ya alama ya hisi.
Tafakuri
Wanafunzi waliweza kutambua matumizi ya alama ya hisi katika sentensi na pia kutumia alama ya hisi katika sentensi na
kifungu. Wachache walikuwa na changamoto. Walisaidiwa na kupewa kazi ya ziada.
6
KIELELEZO CHA REKODI YA KAZI
MAELEZO YA KIUTAWALA
MWAKA 2024
MUHULA 1
SOMO KISWAHILI
GREDI 8
7
KIELELEZO CHA RIPOTI YA RATIBA YA ELIMU YA MWANAFUNZI BINAFSI
MAELEZO YA KIUTAWALA
GREDI: 8
SOMO: KISWAHILI
MADA NA MBINU ZA
MADA KUTATHMI
NDOGO MATOKEO NI NA
KUTOKA MAALUM VIFAA VYA TAREHE TAREHE
KWA MAPUNGU YANAYOTARAJIW SHUGHULI ZA KUTATHMI YA YA
JINA MTAALA UWEZO FU A UJIFUNZAJI NYENZO NIA KUANZA KUMALIZA TAFAKURI
Amina….
.
Timothy
……
8
9