Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 3

UKOO WA MEDARD MAYALA,

KITONGOJI CHA MWABALIMI,


KIJIJI CHA BUSAMBILO,
S.L.P 01
BUSAMBILO – IPONYA
02/06/2024
HAKIMU WA MAHAKAMA,
MAHAKAMA YA MWANZO
S.L.P
MASUMBWE – MBOGWE

K.K
AFISA MTENDAJI WA KATA
KATA YA IPONYA
S.L.P 01
IPONYA – MASUMBWE

K.K
AFISA MTENDAJI WA KIJIJI
KIJIJI CHA BUSAMBILO
S.L.P 01
BUSAMBILO – IPONYA

K.K
MWENYEKITI WA KITONGOJI,
KITONGOJI CHA MWABALIMI,
S.L.P
BUSAMBILO.

YAH: KUFATILIA CHETI CHA KIFO CHA NDUGU MUSA DEUS MEDARD.
Husika na mada tajwa hapo juu.
Sisi wana ukoo wa MEDARD MAYALA LUCHAGULA tunaomba kufatilia cheti cha kifo cha ndugu
MUSA DEUS MEDARD aliye fariki tarehe 13/03/2011.
Tunatumaini kuwa ombi letu litapokelewa.
Wenu katika ujenzi wa taifa

…………………………. ……... …………………


MEDARD MAYALA LUCHAGULA ZACHARIA MEDADR LUCHAGULA

MWENYEKITI WA UKOO KATIBU WA UKOO


MUHTASARI WA KIKAO CHA UKOO WA MEDARD MAYALA LUCHAGULA
KILICHOFANYIKA TAREHE 01/06/2024

AGENDA ZA KIKAO
1. KUFUNGUA KIKAO
2. UTAMBULISHO
3. KUMCHAGUA MSIMAMIZI WA CHETI CHA KIFO CHA NDUGU MUSA DEUS
MEDARD
4. MENGINEYO
5. KUFUNGA KIKAO

MAJADILIANO

1. KUFUNGUA KIKAO
Katibu alisimama na kusoma ajenda ili kila mtu aweze kuzielewa.Baada yah apo mwenyekiti alisimama
na kufungua kikao, kikao kilifunguliwa mnamo saa 02:30 asubuhi na pia aliwaomba wajumbe wawe
huru kuchangia na kuzungumza.

2. UTAMBULISHO
Mwenyekiti alimuomba katibu asome ajenda ya pili ambayo ilikua utambulisho. Mwenyekiti aliwaomba
wajumbe wote ili wanaukoo wote wapate kufahamiana vizuri, ambapo kila mjumbe alisimama na
kujitambulisha na zoezi hilo liliongozwa na mwenyekiti na kumalizika salama.

3. KUMCHAGUA MSIMAMIZI WA CHETI CHA KIFO


Mwenyekiti aliwaomba wajumbe wote wapendekeze jina la msimamizi wa cheti hicho. Wajumbe
walijadili na hatimaye kufikia mwafaka na wakaamua kumchagua ndugu HAPPINESS MUSA DEUS
MEDARD awe msimamizi wa cheti cha kifo cha ndugu MUSA DEUSI MEDARD aliye aga dunia
tarehe 13/03/2011

4. MENGINEYO
Mwenyekiti aliwaomba wajumbe kama kuna mjumbe ana jambo la kuongeza anaruhusiwa.
Wajumbe baadhi waliomba kuwa vikao kama hivyo na vingine vya kufatilia maendeleo ya ukoo na
changamoto viwe vinafanyika mala kwa mala.
Wajumbe wengine waliomba suala hili la kufatilia chati hiki cha kifo lifanyike haraka sana.

5. KUFUNGA KIKAO
Katibu alisimama na kumkaribisha mwenyekiti kwa ajili ya kufunga kikao.
Mwenyekiti alisimama na kabla ya kufunga kikao aliongelea haya machache . Alisema kinachohitajika
Zaidi ili kufanikisha maendeleo ya ukoo na familia zetu ni ushirikiano, upendo,umoja na mshikamano
kwa wana ukoo wote bila hivyo ni ngumu kufanikisha ustawi wa ukoo wetu.
Baada ya hayo machache mwenyekiti alifunga kikao na kuwashukuru wajumbe wote mnamo saa 04:00
asubuhi.

……………………… ………………………
MEDARD MAYALA LUCHAGULA ZACHARIA MEDARD MAYALA
MWENYEKITI WA UKOO KATIBU WA UKOO
MAHUDHURIO YA KIKAO CHA WANAUKOO WA MEDARD MAYALA
LUCHAGULA KILICHOFANYIKA TAREHE 01/06/2024
S/ JINA WADHIFA SAHIHI
N
1 MEDARD MAYALA LUCHAGULA MWENYEKITI
2 ZACHARIA MEDARD MAYALA KATIBU
3 MAJALIWA ZACHARIA MEDARD MJUMBE
4 SUBE MAHALI SABABU MJUMBE
5 BUNDALA MAHALI SABABU MJUMBE
6 MASHALA ZACHARIA MEDARD MJUMBE
7 KANJI ZACHARIA MEDARD MJUMBE
8 KABULA MEDARD MAYALA MJUMBE
9 CHRISTINA MLEKWA MASHALA MJUMBE
10 MAJALIWA NZUNGU MHALI MJUMBE
11 GRACE BUNDALA MAHALI MJUMBE
12 HAPPINESS MUSA DEUS MJUMBE
13 BARAKA DEUS MEDARD MJUMBE
14 MEDARD DEUS MEDARD MJUMBE
15 NEEMA DEUS MEDARD MJUMBE

You might also like