Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

MAJUKUMU YA VIONGOZI

Mwenyekiti
 Ni kiongozimwangaliziwashughulizote za kikundi
 Kuongozavikaovidogovidogonavikaokikuuvyakikundi .
 Kufunganakufunguavikao
Katibu :
 Ni mratibu au mtendajimkuuwashughulizote za kikundi
 Mwandishiwamitasarikwenyevikaovyotevyakikundi
 Ni mtunzanyaraka au kumbukumbuza vikaovyotevyakikundi.
Mhasibu :
 Mtunzakumbukumbu za fedha za kikundi
 Msimamizinamkusanyajiwapesa za kikundi.
Wajumbe :
 Hawaniwashilikiwotewakikundiwasioviongozikwenyekikundi
 Watashilikiananaviongozikwenyeshughulizote za kikundipamoja
Kupokeafedha
 Fedha za kikundiitatunzwanakuhifadhiwakwenyebankichiniyaviongozi
 Wawekasahihiwawatakuwaniwafuatao
S/N JINA JINSIA CHEO
1.
2.
3.
 Fedhayakikundizitachukuliwakwawajumbewawilikatiyahaohapojuu
SURA YA TATU
A. Hikinawajibuwawanakikundi
 Kila mwanakikundianahakiyakuchaguliwanakuchaguakuwakiongozi
 Kujuanakufahamumaendeleoyakikundi
 Kutiikatibayakikundinakufuatamaelekezoyaviongoziwakikundi
 Kila mwanachamaanatakiwakuheshimiwakwamawazoyakenaushauri wake
kwakikundi
 Kuhudhuliavikaovyotevyakikundibilakukosa .
SURA YA NNE
A. SHERIA NA ADHABU ZA KIKUNDI.
Sharia nakanunikwamwanachama /mwanakikundi
 Mwanakikundi
/mwanachamaatatakiwakuchangiakiasikilichopangwakwenyekikundiambachoni
5000/= kwakilawiki
 Mwanachamaatatakiwakuhudhuliakatikakilasikuhusikayaijumaakwakila wiki
 Mwanachama /mwanakikundiatasitahilikupewahudumazotekulingananataratibu za
kikundinamwongozowakikundi
 Mwanakikundi /mwanachamaantakiwakuchangiamichangoyote
iliyopitishwanakikundikwaujumla
 B: Adhabukwamwanachama /mwanakikundi
 Mwanachama / mwanakikundiakichelewakufikiakwenyekikao au
sikutunakutanaatatkiwakulipafainiyashilingi 5000/= kwakosahilo
C:UKOMO WA MWANACHAMA /MWANAKIKUNDI
Mwanacham /mwanakikundiatakuwaamepotezasifa za kuwamwanachama
/mwanakikundiambapoatakuwa:

 Mwanachamaatakapokuwaamepatatatizo la kupoteza Maisha (kifo).


 Mwanachama
/mwanakikundiatakaposhindwakurejeshapesaaliyopakwamdamwafakanakupitilizakut
okutoaribanapesa
SURA YA TANO : SIRI ZA KIKUNDI.
NB:siri za kikundi
Mwanachama /mwanakikundiharuhusiwikutoasiri za kikundimahalipopote pale
endapoatafanyahivyohatua kalidhidiyakezitachukuliwa .
 Kupewaonyo kali nauongoziwawanachama
 Kupotezasifayakuwamwanachama
/mwanakikundihainamweyehekimamaanaameshindwakutunzasiri za kikundi .

………………….. ……………………..

MWENYEKITI, KATIBU.

IMETHIBITISHWA NA
…………………………
HAKIMU.

You might also like