Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

 Mwanachama atakapokuwa amepata tatizo la kupoteza Maisha (kifo).

 Mwanachama /mwanakikundi atakaposhindwa kurejesha pesa aliyopa kwa mda


mwafaka na kupitiliza kutokutoa riba na pesa
SURA YA TANO : SIRI ZA KIKUNDI.
NB:siri za kikundi
Mwanachama /mwanakikundi haruhusiwi kutoa siri za kikundi mahali popote pale
endapo atafanya hivyo hatua kali dhidi yake zitachukuliwa .
 Kupewa onyo kali na uongozi wa wanachama
 Kupoteza sifa ya kuwa mwanachama /mwanakikundi hai na mweye hekima maana
ameshindwa kutunza siri za kikundi .

………………….. ……………………..

MWENYEKITI, KATIBU.

IMETHIBITISHWA NA
…………………………
HAKIMU.

You might also like