A to z Application_084056

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

HANNAH PETER KITILA,

S. L. P. 15640,

ARUSHA.

21/ 03/ 2024.

MENEJA,

MENEJA WA KIWANDA CHA A TO Z

S. L. P. 945

KISONGO, ARUSHA.

Ndugu,

YAH: OMBI LA NAFASI YA KAZI KATIKA KIWANDA CHA A TO Z.

Tafadhali Rejea Kichwa cha Habari hapo juu.

Mimi, Hannah Peter Kitila, mwenye miaka 22, mkazi wa Arusha. Kwa moyo wa dhati, napenda kuomba
nafasi ya kazi katika kiwanda chenu kizuri cha A TO Z.

Hii ni kutokana na kwamba kazi hii naipenda kutoka moyoni, Pia nina Shahada ya Uhandisi na Usimamizi
wa Viwanda.

Nikipewa nafasi hii, ninaahidi kuwa nitafanya kazi kwa bidii, nitakuwa mbunifu na nitajitoa ili kuweza
kufanikisha malengo ya kiwanda chenu katika uzalishaji na usimamizi wa kiwanda. Taarifa zaidi kuhusu
mimi na mafanikio ya kitaaluma yameambatanishwa na maombi haya.

Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litakubaliwa.

Wako katika Ujenzi wa Taifa,

Hannah Peter Kitila.

You might also like