Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

MFANO WA ANDALIO LA SOMO

JINA LA SHULE: Shule ya Msingi Klerruu JINA LA MWALIMU: Kadikadi Kandu


DARASA: Awali A TAREHE: 20-Januari-2024
MUDA: Saa 2:00 - 2:20
UMAHIRI MKUU : Kuthamini Utamaduni wa Jamii yake, Elimu ya Imani na Tunu za Taifa

Idadi ya Watoto
Waliosajiliwa Waliohudhuria
Wasichana Wavulana Jumla Wasichana Wavulana Jumla
20 18 38 15 16 31

Umahiri mahususi: Kuthamini vyakula vya kitanzania


Shughuli kuu: Kubaini vyakula vinavyopatikana katika jamii yake
Shughuli mahususi: Kutaja vyakula mbalimbali kwa kuimba, kucheza na kuchora
Zana za ufundishaji na ujifunzaji: Media na vyakula halisi (wali, ugali, makande na ndizi)
Rejea:Taasisi ya Elimu Tanzania. (2023). Kitabu cha mtoto:naipenda nchi yangu Tanzania, TET.
Taasisi ya Elimu Tanzania. (2023). Mwongozo wa mwalimu wa kufundishia elimu ya awali,TET.
Mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji
Hatua Muda Shughuli za ufundishaji Shughuli za ujifunzaji Vigezo vya upimaji
(Dakika)
3 Kuwashirikisha watoto kuimba wimbo Kuimba wimbo wa vyakula  Vyakula
Utangulizi wa vyakula mbalimbali mbalimbali mbalimbali
(Introduction) vimetajwa

Kuendeleza 7 Kutumia mchezo wa kachumbari ya Kucheza mchezo wa kutaja  Vyakula


ujenzi wa vyakula kuwezesha watoto kutaja picha vyakula mbalimbali mbalimbali
umahiri za vyakula mbalimbali vimetajwa
(Competence
Developement
)
Kubuni 7  Kuwapa kazi watoto kuchora picha ya  Picha za vyakula
(Design) chakula au  Kuchora picha za vyakula mbalimbali
 Kusimulia hadithi ya chakula alichotaja mbalimbali au zimechorwa
 Kusimulia hadithii ya
chakula alichotaja

Tathimini 3  Kuchagua watoto kufanya majumuisho  Kutaja vyakula  Vyakula


(Realization) kulingana na vyakula mbalimbali au walivyojifunza walivyojifunza
 Kushirikisha watoto kuimba wimbo wa  Kuimba wimbo unaotaja vimetajwa
vyakula mbalimbali au vyakula mbalimbali  Vyakula katika
 Kuuliza maswali juu ya kile wimbo
walichojifunza kwa maneno yake vimetajwa
mwenyewe

Maoni: Shughuli ya kutaja vyakula mbalimbali imefanikiwa kutokana na mbinu na zana za ufundishaji zilizotumika kila mtoto
ameweza kushiriki kwa kila hatua. Nitaendelea na shughuli inayofuata.

You might also like