Professional Documents
Culture Documents
Kiswahili Drs III - Vi Draft
Kiswahili Drs III - Vi Draft
Kiswahili Drs III - Vi Draft
Muhtasari huu urejelewe kama: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. (2023). Muhtasari wa Somo la Kiswahili Elimu
ya Msingi Darasa la III–VI. Taasisi ya Elimu Tanzania.
Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu, kuchapisha, kutafsiri wala kutoa muhtasari huu au sehemu yake
kwa namna yoyote ile bila idhini ya maandishi kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania.
ii
iii
iv
Maandalizi ya Muhtasari wa Somo la Kiswahili Elimu ya Msingi Darasa la III–VI yamehusisha wataalamu mbalimbali kutoka
taasisi za serikali na zisizo za serikali. Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua na kuthamini michango ya washiriki wote
waliofanikisha uandaaji wa muhtasari huu. Aidha, TET inatoa shukurani za pekee kwa wahadhiri, wakufunzi, wathibiti ubora
wa shule, walimu, pamoja na wakuza mitaala wa TET. Vilevile, TET inaishukuru kwa dhati Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu
ya Kusimamia Kazi ya Maboresho ya Mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu iliyoteuliwa na Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia. Kamati hii ilifanya kazi kwa weledi na kuhakikisha kuwa maudhui ya muhtasari huu yanalenga
kuwaandaa wahitimu wenye maarifa, ujuzi na mwelekeo utakaowawezesha kujiajiri, kuajiriwa na kumudu maisha yao ya kila
siku, ambalo ndilo lengo kuu la uboreshaji wa Mitaala ya Mwaka 2023.
Mwisho, TET inatoa shukurani za pekee kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kuwezesha uandaaji na usambazaji
wa muhtasari huu.
Mkurugenzi Mkuu
vi
Muhtasari huu umeandaliwa kwa lengo la kumwongoza mwalimu katika ufundishaji na ujifunzaji wa somo la Kiswahili,
Darasa la III–VI Tanzania Bara. Muhtasari huu umetafsiri Mtaala wa Elimu ya Msingi wa Mwaka 2023. Aidha, muhtasari
utamwezesha mwalimu kupanga shughuli za ufundishaji na ujifunzaji kwa kumjengea mwanafunzi stadi za udadisi,
ubunifu, ushirikiano, mawasiliano na utatuzi wa changamoto katika mazingira yake.
(d) Kuelewa na kulinda tunu za taifa ikiwa ni pamoja na utu, uzalendo, uadilifu, umoja, uwazi, uaminifu,
uwajibikaji na lugha ya taifa;
(e) Kujenga stadi za maisha na stadi za kazi ili kuongeza ufanisi katika maisha ya kila siku;
(f) Kukuza tabia ya kupenda na kuheshimu kazi ili kuongeza tija na ufanisi katika uzalishaji na utoaji wa huduma;
(a) Kukuza stadi za kusoma, kuandika, kuhesabu na kuwasiliana kwa lugha fasaha, Lugha ya Alama ya Tanzania
(LAT) na lugha mguso;
(b) Kuifahamu, kuitumia na kuithamini lugha ya Kiswahili, Kiingereza na angalau lugha nyingine moja ya kigeni;
(c) Kuthamini na kudumisha utamaduni wa Mtanzania, umoja wa kitaifa na kutambua tamaduni nyingine;
(d)
(h) Kutambua na kutumia sayansi na teknolojia katika kujifunza na maisha ya kila siku;
(i) Kukuza maarifa, ujuzi na mwelekeo wa kutunza mazingira, kuheshimu usawa wa kijinsia na masuala mengine
mtambuka; na
(a) Kutumia stadi za kusoma, kuandika, kuhesabu na kuwasiliana kwa lugha fasaha, Lugha ya Alama ya Tanzania
(LAT) na lugha mguso;
(b) Kutumia na kuithamini lugha ya Kiswahili, Kiingereza na angalau lugha nyingine moja ya kigeni;
(c) Kuonesha, kuthamini na kuheshimu utamaduni wa Mtanzania, umoja wa kitaifa na kutambua tamaduni
nyingine;
(d)
(f) Kutumia vipaji, vipawa, stadi za kazi, michezo na sanaa katika miktadha mbalimbali;
1.0 Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali 1.1 Kutambua matamshi ya sauti mbalimbali katika silabi,
maneno, sentensi na habari
2.0 Kuonesha uelewa wa jambo alilolisikiliza au 2.1 Kuonesha stadi za kusikiliza na kuelewa
kulisoma
2.2 Kusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
3.0 Kuwasilisha hoja kwa mazungumzo na kwa 3.1 Kuwasilisha hoja kwa njia ya mazungumzo katika miktadha
mbalimbali
maandishi kulingana na muktadha
3.2 Kuandika matini mbalimbali
(b) Kutumia mbinu za kufundishia na kujifunzia kwa kuzingatia umri, mahitaji anuai na uwezo wa mwanafunzi
ili kumwezesha:
(i) Kujenga umahiri unaohitajika katika Karne ya 21; na
(ii) Kushiriki kikamilifu katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji.
(c) Kutumia mbinu shirikishi zinazomfanya mwanafunzi kuwa kitovu cha ujifunzaji zikiwemo zile zinazomwezesha
Mbinu za kufundishia
na kujifunzia zinazopendekezwa ni pamoja
kazimradi zinazolenga kutatua matatizo halisi katika mazingira ya mwanafunzi. Aidha, mwalimu anahimizwa
kutumia njia nyingine kama hizo kulingana na muktadha ili kufanikisha ujenzi wa umahiri uliokusudiwa;
(d)
(f) Kufanya upimaji endelevu mara kwa mara kwa kutumia zana na mbinu za upimaji na tathmini zinazopima
nadharia na vitendo zikiwemo bunguabongo, orodhahakiki, majaribio, dodoso, maswali ya ana kwa ana, mazoezi,
kazi kwa vitendo (kazi binafsi na kazi za vikundi), kazimradi na mkoba wa kazi. Zana na mbinu nyingine ni
majaribio kwa vitendo, uwasilishaji, mitihani ya muhula na mtihani wa mwisho;
(g) Kuhakikisha kuwa ufundishaji na ujifunzaji unafanyika kwa haki na usawa kwa kila mwanafunzi bila kujali
tofauti zao;
6.2 Mwanafunzi
Mwanafunzi anatarajiwa:
(a) Kuwa mtendaji mkuu katika mchakato wote wa ujifunzaji;
(b) Kushiriki katika shughuli mbalimbali za ujifunzaji ndani na nje ya darasa ili kupata umahiri unaokusudiwa; na
(c) Kushiriki katika kutafuta maarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali ikiwemo vitabu vya kiada, ziada na
machapisho mengine kutoka katika maktaba mtandao.
6.3 Mzazi/Mlezi
Mzazi/ Mlezi anatarajiwa:
(a) Kusimamia na kufuatilia maendeleo ya mtoto katika ujifunzaji;
(b) Kumsimamia mtoto kutekeleza kazi zake za kitaaluma pale inapowezekana;
(c)
(d) Kufuatilia mwenendo wa tabia ya mtoto;
(e) Kumpatia mtoto vifaa vyote vinavyohitajika katika ujifunzaji;
(f) Kuhakikisha mtoto anapata mahitaji muhimu; na
(g) Kumfundisha mtoto umuhimu na thamani ya elimu na kazi pamoja na kumuhimiza kujifunza kwa bidii.
9.0 Upimaji
Upimaji ni suala muhimu katika mchakato wa ujifunzaji na ufundishaji ili kuwezesha ujenzi wa umahiri unaokusudiwa.
Upimaji wa Somo la Kiswahili utajumuisha upimaji endelevu na upimaji tamati. Upimaji endelevu utazingatia vigezo
vya upimaji vilivyoainishwa katika kila shughuli ya ujifunzaji na utamwezesha mwalimu kubaini uwezo na uhitaji wa
mwanafunzi katika ujifunzaji. Vilevile, utalenga kupima mabadiliko katika maarifa, stadi na mwelekeo wa kutenda,
kuthamini, kusimulia na kutumia stadi anazojifunza katika mazingira yanayomzunguka. Aidha, mwalimu atatumia taarifa
kutumika wakati wa ufundishaji na ujifunzaji ni bunguabongo, orodhahakiki, mazoezi ya darasani, majaribio, majaribio
kwa vitendo, dodoso, maswali ya ana kwa ana, mazoezi, kazi kwa vitendo (kazi binafsi na kazi za vikundi), kazimradi,
mkoba wa kazi na zana nyingine kama hizo.
mwambatano moja
(b) Kutamka Igizodhima:
sauti Waongoze wanafunzi mwambatano
mwambatano kuigiza utendaji wa shughuli katika silabi,
mbalimbali, ambapo ndani maneno,
katika silabi, sentensi
maneno, yake watatumia sauti za na habari
sentensi na zimetamkwa
habari kwa usahihi
10
Kitanza ndimi:
Waongoze wanafunzi
kusoma sentensi zenye
maneno yenye sauti za
zinazofuatana
1.2 Kuendeleza (a) Kutumia Igizodhima: Msamiati Kamusi ya 22
mazungumzo msamiati Waongoze wanafunzi unaohusiana vitendawili,
unaohusiana kuigiza shughuli za kila na maisha
katika methali, nahau
na maisha siku katika miktadha ya kila siku
miktadha tofautitofauti kwa kutumia na visawe na
ya kila umetumika
mbalimbali siku katika msamiati mwafaka na kwa katika kinyonyi chenye
kuanzisha na kujiamini kuanzisha na mazungumzo
kuendeleza kuendeleza
Mchezo wa maneno:
mazungumzo mazungumzo
Waongoze wanafunzi
kwa katika
kuunda maneno kwa
kujiamini miktadha
katika mbalimbali
neno linalohusiana na
miktadha kwa kujiamini
maisha ya kila siku
mbalimbali
11
12
13
14
Mchezo: Waongoze
wanafunzi katika
timu mbili kutega na
kutegua vitendawili,
kuanzisha na
kumalizia methali na
kueleza maana ya
nahau
1.3 Kutumia (a) Kuandika Imla: Kifungu Kadi za alama za 22
maandishi kifungu cha Wasomee wanafunzi cha habari
kifungu cha habari kimeandikwa
katika habari kwa cha habari chenye
ulichokiandaa na kwa kutumia
mawasiliano kutumia alama alama za viunganishi vya
wakiandike kwa
kulingana ushikamani na vitu
kutumia alama za
na miktadha nukta (.), kwa usahihi: halisi
mbalimbali mshangao (!), nukta (.),
mshangao (!), kiulizo
mshangao (!),
kiulizo (?) na (?) na mkato (,)
kiulizo (?) na
mkato (,) mkato (,)
15
16
Masimulizi:
Waongoze wanafunzi
kusikiliza masimulizi
yaliyorekodiwa, kisha
waandike walichokisikia
kwa kuzingatia alama za
17
2.0 Kuonesha 2.1 Kuonesha (a) Kusikiliza Masimulizi: Mazungumzo Kinyonyi chenye 22
uelewa stadi za mazungumzo Waongoze kwa mazungumzo na
wa jambo kusikiliza kwa kuzingatia wanafunzi kuzingatia kamusi
kusimuliana
alilolisikiliza na mambo ya mambo ya
hadithi au
au kulisoma kuelewa msingi katika msingi katika
habari, kisha
miktadha wajibu maswali miktadha
mbalimbali kwa kuzingatia mbalimbali
mambo ya msingi yamesikilizwa
katika miktadha
mbalimbali
(b) Kutumia Oneshombinu: Maneno
maneno Waoneshe aliyoyasikia
wanafunzi picha katika
aliyoyasikia
au vitu halisi,
katika miktadha
kisha waongoze
mingine ya
miktadha kutumia maneno
yanayoendana mazungumzo
mingine ya
na vitu hivyo yametumika
mazungumzo kulingana na kwa usahihi
muktadha
18
19
2.2 Kusoma (a) Kusoma Oneshombinu: Soma Matini fupi Matini fupi 22
matini matini fupi matini fupi na rahisi kwa na sahili sahili, saa na
na sahili kwa kasi mwafaka kulingana zimesomwa kinyonyi chenye
kwa
kasi mwafaka na umri wa wanafunzi kwa kasi mazungumzo
ufasaha na na matamshi wako, matamshi sahihi, mwafaka na yanayoonesha
ufahamu sahihi kiimbo na alama za matamshi sahihi kiimbo
20
Maswali na Majibu:
Waongoze wanafunzi
kutunga sentensi,
kisha wazisome kwa
sauti kwa kuzingatia
kupanda na kushuka
kwa mawimbi ya sauti
21
22
Ziara:
Waongoze wanafunzi
kutembelea shule ya jirani,
kisha wasimulie ziara yao
hatua kwa hatua. Ziandike
hatua hizo kwa kutumia
sentensi kamili, kisha
zichanganye sentensi hizo
na kuwataka wanafunzi
kuzipanga kwa mfuatano
wa kimantiki
(c) Kuandika Majadiliano: Waongoze Matini fupi
matini fupi wanafunzi kujadili kuhusu imeandikwa
mpangilio sahihi wa kwa usahihi
kwa kuzingatia
maneno na umuhimu wa kwa kuzingatia
mpangilio sahihi mpangilio sahihi
wa maneno uandishi wa matini fupi, wa maneno
na alama za kisha waandike matini fupi na alama za
kwa kuzingatia mambo
hayo
23
Hadithi:
Waongoze
wanafunzi kusoma
au kusikiliza hadithi,
kisha wataje maneno
mapya na watafute
maana zake katika
kamusi
24
25
1.0 Kuwasiliana 1.1 Kuendeleza (a) Kulinganisha Oneshombinu: Vitu Orodha ya nahau na 38
katika mazungumzo vitu kwa Onesha vitu vimelinganishwa methali, vitu halisi,
kutumia viwiliviwili, kisha kwa kutumia michoro na picha
miktadha katika waongoze wanafunzi
maneno maneno (kuliko,
mbalimbali miktadha kueleza dhana ya
(kuliko, zaidi ulinganishi zaidi ya, kama,
mbalimbali ya, kama, mithili ya na
mithili ya Maswali na majibu: mfano wa)
Andaa jedwali
na mfano katika miktadha
lenye maneno ya
wa) katika kulinganisha, kisha mbalimbali kwa
miktadha waongoze wanafunzi ufasaha
mbalimbali kutunga sentensi kwa
kutumia jedwali
(b) Kusimulia Ramani ya dhana: Matukio
matukio kwa Waongoze wanafunzi yamesimuliwa
kuzingatia kupitia mchoro kwa usahihi
katika nyakati
njeo za kueleza aina za
na hali
nyakati na hali mbalimbali
26
Igizo: Waongoze
wanafunzi kuigiza kwa
kujiamini
27
28
29
30
kisha waongoze
kujigamba mbele
ya darasa kulingana
na sifa za vipengele
hivyo
2.0 Kuonesha 2.1 Kuonesha (a) Kusikiliza Hadithi: Waongoze Hadithi Hadithi, kinasasauti 30
uelewa stadi za hadithi wanafunzi kusikiliza imesikilizwa na kinyonyi chenye
hadithi kwenye
wa jambo kusikiliza kwa umakini hadithi
redio/televisheni/
alilolisikiliza na kuelewa kinasasauti, kisha
au kulisoma waulize maswali
kutokana na hadithi
waliyoisikiliza
Masimulizi:
Waongoze wanafunzi
kusimulia hadithi
waliyoisikiliza
31
32
33
Karatasi tembezi:
Gawa maswali
tofautitofauti
yanayohusu matini,
kisha kila kikundi
kiandike majibu
kwenye karatasi
na kigawe karatasi
yenye majibu kwenye
vikundi vingine
kwa ajili ya kusoma
majibu ya vikundi
hivyo
(c) Kutumia Kusoma matini: Msamiati na
msamiati Waongoze wanafunzi semi mpya
na semi kusoma matini fupi zilizomo
mpya na kubaini msamiati kwenye matini
zilizomo na semi mpya fupi aliyoisoma
kwenye kwenye kazi bunifu vimetumiwa
matini fupi
kwa usahihi
aliyoisoma
34
Maswali na
majibu: Waongoze
wanafunzi kutunga
habari kwa kutumia
msamiati na semi
mpya kutoka
kwenye matini fupi
walizozisoma
3.0 Kuwasilisha 3.1 Kuwasilisha (a) Kubaini Majadiliano: Msamiati Kamusi, matini 20
hoja kwa hoja kwa msamiati Waongoze au vifungu mbalimbali
wanafunzi vya maneno na kinyonyi
mazungumzo njia ya au vifungu
kusikiliza mada vinavyotumika chenye mijadala
na kwa mazungumzo vya maneno katika vyombo vya
maandishi katika vinavyotumika habari au vifaa vya kujenga au mbalimbali
kulingana na miktadha kujenga au TEHAMA, kisha kupinga hoja
wabaini msamiati vimebainishwa
muktadha mbalimbali kupinga hoja
au vifungu kwa usahihi
(mf. hoja yako vya maneno
ni nzuri lakini vinavyotumika
..., ingawa kujenga au
unasema hivi, kupinga hoja
kuna ...)
35
36
Maswali na majibu:
Waongoze wanafunzi
kuoanisha sentensi
kwenye safu mbili
37
3.2 Kuchanganua (a) Kusoma Usomaji wa matini: Matini Matini fupi sahili 22
mawazo matini fupi Waongoze wanafunzi fupi sahili na kamusi
kusoma matini fupi
yaliyowasilishwa sahili zimesomwa
sahili kwa sauti na
katika matini kimya, kisha waulize
mbalimbali maswali kuhusu
matini waliyoisoma
Ziara: Waongoze
wanafunzi
kutembelea maktaba
ya karibu ili kusoma
matini mbalimbali
kwa kuzingatia
mwongozo uliowapa,
kisha waandike
waliyoyasoma na
kuwasilisha darasani
38
39
Mchezo: Waongoze
wanafunzi, katika safu
mbili, kwa kushindana,
kuwasilisha mawazo
yaliyomo kwenye
matini walizosoma,
kisha toa alama kwa
kila wazo. Safu yenye
alama nyingi ndiyo
itakayoshinda
40
41
1.0 Kuwasiliana 1.1 Kuendeleza (a) Kutumia Oneshombinu: Msamiati Kamusi, orodha ya 21
katika mazungumzo msamiati Waoneshe umetumika methali na nahau
katika wanafunzi picha katika
miktadha katika
kusimulia zilizo katika kusimulia
mbalimbali miktadha mfuatano kusimulia
matukio, matukio,
mbalimbali matukio, habari na
habari na vitu habari na vitu
masuala mbalimbali
mbalimbali mbalimbali
kwa kujiamini
kwa kujiamini kwa kujiamini
42
watu wakiwa
kwenye shughuli
mbalimbali, kisha
eleza nafsi tatu
katika umoja na
wingi wake
Mchezo: Ongoza
mchezo wa kutunga
sentensi kwa
kuzingatia nafsi.
Safu ya kwanza iwe
nafsi ya kwanza
umoja na wingi.
Fanya hivyo kwa
safu ya pili na
ya tatu. Zingatia
kuwa sentensi moja
itabadilishwa katika
nafsi zote
43
44
kuzingatia alama
nuktapacha (:),
nuktamkato (;),
ritifaa (‘) na
nuktakatishi (…)
(b) Kutumia Majadiliano: Msamiati sahihi
msamiati Waongoze umetumiwa
wanafunzi kujadili vizuri katika
sahihi katika
na kuandika wazo
uandishi wa uandishi wa insha
la kila aya, kisha
kwa kuzingatia
insha kwa wakamilishe insha
kwa kutumia mada
kuzingatia
msamiati mwafaka
mada
45
kwa kuzingatia
vipengele vyake
2.0 Kuonesha 2.1 Kuonesha (a) Kusimulia Majadiliano: Hadithi Vitabu vya hadithi, 22
uelewa stadi za hadithi Waongoze iliyosikilizwa kamusi na kinyonyi
wa jambo kusikiliza aliyoisikiliza wanafunzi imesimuliwa chenye hadithi
alilolisikiliza na kujadili mambo ya
kwa usahihi kwa usahihi
au kulisoma kuelewa msingi wakati wa
kusimulia hadithi
46
47
48
49
50
Majadiliano:
Waongoze
wanafunzi kujadili
mawazo makuu
katika matini ndefu
waliyoisoma
51
3.0 Kuwasilisha 3.1 Kuwasilisha (a) Kutoa hoja Igizo: Waongoze Hoja Vitu halisi na 22
hoja kwa hoja kwa kwa kutumia wanafunzi kuigiza zimetolewa kinyonyi chenye
mazungumzo njia ya msamiati kuwasilisha hoja kwa kutumia mazungumzo
na kwa mazungumzo unaoendana katika kikao msamiati
maandishi na muktadha cha serikali ya unaoendana
katika
kulingana na mahususi wa wanafunzi na muktadha
miktadha mahususi wa
muktadha mazungumzo
mbalimbali mazungumzo
Kualika mgeni:
kwa usahihi
Maendeleo ya
Jamii kutoa mada
kuhusu afya
au mahusiano
sahihi ya kijinsia,
kisha waongoze
wanafunzi
kuchangia hoja
kutokana na mada
iliyowasilishwa
52
3.2 Kuandika (a) Kuandika Ramani ya dhana: Insha fupi Insha mbalimbali, 22
matini insha Waongoze wanafunzi imeandikwa
mbalimbali kutaja na kufafanua kompyuta, tableti,
fupi kwa kwa
vipengele vya insha bahasha na stempu
kuzingatia kwa kuanza na mduara kuzingatia
vipengele vya wa kwanza wenye vipengele
neno insha, kisha wao
insha vya insha
waendelee
Oneshombinu:
Onesha insha
ya mfano, kisha
waongoze
wanafunzi kutunga
insha kwa kuzingatia
mfano huo
53
54
55
Mchezo: Waongoze
wanafunzi kuigiza
igizo walilolitunga
56
Mchezo: Waongoze
wanafunzi kuigiza
maigizo rahisi
57
58
59
Majigambo:
Waongoze
wanafunzi katika
timu mbili
kujigamba kuhusu
risala na hotuba
wakibainisha sifa,
muundo, matumizi
na wahusika wake.
Timu moja iitwe
risala na timu ya
pili iitwe hotuba
Majadiliano:
Waongoze
wanafunzi
kujadiliana katika
vikundi, mambo ya
kuzingatia katika
uandishi wa risala
na hotuba, kisha
waandike risala na
hotuba
60
2.0 Kuonesha 2.1 Kuonesha (a) Kusikiliza Masimulizi: Habari Kinasasauti, redio 25
uelewa stadi za habari Waongoze mbalimbali na televisheni
wa jambo kusikiliza mbalimbali wanafunzi zimesikilizwa
na na kunukuu kusikiliza habari
alilolisikiliza na mawazo
kuelewa mawazo ulizoziandaa, kisha
au kulisoma waandike mawazo makuu
makuu yamenukuliwa
makuu yaliyomo
kwenye habari hizo kwa usahihi
Uchunguzi:
Waongoze
wanafunzi
kusikiliza taarifa
ya habari kwenye
redio/televisheni/
kompyuta,
kisha waandike
mawazo makuu
waliyoyapata
61
62
63
64
65
Majadiliano:
Waongoze
wanafunzi
kufafanua mawazo
yaliyojitokeza katika
ngonjera na mashairi
66
Maswali na
majibu:
Waongoze
wanafunzi
kufafanua mawazo
yaliyojitokeza
katika ngonjera
na mashairi kwa
kuwauliza maswali
67
68
Mchezo: Waongoze
wanafunzi kutamba ngonjera
na kughani mashairi
69
Mauritius Institute of Education. (2015). National curriculum framework nine - year continuos basic education.
70