Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

MUHTASARI WA KIKAO CHA KIKUNDI CHA TRIPLEDOTS, DHUMUNI NI KUFUNGUA BIMA YA MAISHA YA

WANAKIKUNDI KATIKA BENKI YA CRDB TAWI LA KIJITONYAMA, KIKAO KILIFANYIKA TAREHE 29/04/2024

A.MAHUDHURIO:

SN JINA WADHIFA
1. Mustapha Yahaya Ndee KATIBU
2. Joseph Vincent Mvungi MWENYEKITI
3. Bernard Francis Mtangi MJUMBE
4. Novelt Lucas Shayo MJUMBE
5. Fakhi Leonard Werema MJUMBE
6. Mectlida Godfrey Masota MJUMBE
7. Harun Abdallah Salum MJUMBE
8. Angel Ibrahim Nyembo MJUMBE

B. AGENDA:

1. UFUNGUZI WA KIKAO

2. KUJADILI NA KUFANYA MAAMUZI YA KUFUNGUA BIMA YA MAISHA KWA WANAKIKUNDI

3. MENGINEYO

4. KUFUNGA KIKAO

AGENDA NO 1: KUFUNGUA KIKAO

Kikao kilifunguliwa mnamo saa9 alasiri na aliyekiitisha Ndg. Joseph Mvungi kwa kuwashukuru wajumbe
kwa mahudhurio na alikifungua kwa sala fupi.

AGENDA NO 2: KUJADILI NA KUFANYA MAAMUZI YA KUFUNGUA BIMA YA MAISHA KWA WANAKIKUNDI

Kutokana na changamoto nyingi za kiuchumi pindi ambapo yanapopatikana majanga asilia, misiba au
ajali za maisha, wajumbe wameadhimia kufungua bima ya maisha kwa akaunti ya CRDB ya kikundi, kwa
kila mwanakikundi ambapo atahitajika kuchanga shilingi elf 72 kwa mwaka, Tumeambatanisha majina na
ada kwa kila mwanakikundi.

Hivyo basi tutakuwa tumejikwamua na janga la kiuchumi kwa bima ya maisha kutoka CRDB BANK.

AGENDA NO 3: MENGINEYO

Wanakikundi walikubaliana kutakuwa na mchango wa kila cku au wiki kwa ajili aya kutimiza shilingi elfu
72 kwa mwaka kwenye bima ya maisha ya CRDB bank.
AGENDA NO 4: KUFUNGA KIKAO

Kikao kilifungwa rasmi saa11 jioni na Joseph Mvungi kwa kuwashuru wajumbe wote kwa uvumilivu na
kuchangia mawazo kwa kila agenda, kikao kilifungwa kwa sala fupi.

JOSEPH VINCENT MVUNGI

MWENYEKITI

You might also like