Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

MAFUNZO KUHUSU HAKI NA

USTAWI WA MTOTO Chuo kikuu cha Iringa 2018

Kitini hiki kimeandaliwa kwa ajili ya mafunzo ya kamati za usalama wa mtoto Tanzania hasa katika mkoa
wa Iringa. Mafunzo haya yanaendeshwa na Chuo Kikuu cha Iringa –Kitivo cha Sheria na Idara ya Ustawi
wa Jamii (Kitengo cha Mtoto) Iringa kwa ufadhili kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Finland. Mafunzo
haya yanalenga kutoa elimu juu ya sheria ya mtoto na pia kusisitiza usimamiaji wa sheria hiyo kwa kila
mwanajamii.
MAFUNZO YA HAKI NA WAJIBU Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa WAJIBU WETU
WA MTOTO TANZANIA Tanzania inaeleza kuwa mtu
mwenye umri wa miaka kumi na Tunatakiwa kuwalinda watoto wetu
UTANGULIZI nane ni mtu mzima. Hivyo basi dhidi ya aina zote za unyanyasaji na
tukitafsiri vyema ibara hiyo maana ukatili wa kimwili ama kiakili.
Kitini hiki kimeandaliwa kwa ajili ya yake ni kwamba mtu mwenye umri
mafunzo ya kamati za usalama wa chini ya miaka kumi na nane ni AINA ZA UNYANYASAJI
mtoto Tanzania hasa katika mkoa wa mtoto.
Iringa. Mafunzo haya yanaendeshwa Kuumizwa mwili, mfano kupigwa
na Chuo Kikuu cha Iringa –Kitivo cha Vivyo hivyo sheria ya mtoto ya kwa kiwango kisichokubaliwa kwa
Sheria na Idara ya Ustawi wa Jamii mwaka 2009 (Tanzania) imeeleza mujibu wa sheria za nchi.
(Kitengo cha Mtoto) Iringa kwa wazi kwamba mtoto ni yule ambaye
ufadhili kutoka Wizara ya Mambo ya Kushirikishwa katika ngono (Child
ana umri chini ya miaka kumi na
Nje ya Finland. Mafunzo haya Pornography)
nane.
yanalenga kutoa elimu juu ya sheria
Kuumizwa kisaikolojia kwa mfano,
ya mtoto na pia kusisitiza usimamiaji HALI YA SASA KUHUSU UKATILI
kumtukana mtoto matusi mazito na
wa sheria hiyo kwa kila mwanajamii. DHIDI YA MTOTO TANZANIA
kumuonyesha picha za ngono.
MIKATABA YA KIMATAIFA Takwimu za mwaka 2017 ambazo
HAKI ZA MTOTO NI ZIPI?
zimetolewa na kituo cha sheria na
Tanzania imeridhia mikataba haki za binadamu kinaonyesha kuwa (a) Haki ya elimu
mbalimbali ya kimataifa inayohusu ukatili kwa watoto Tanzania Elimu ni ufunguo wa maisha
haki na usalama wa mtoto. umeongezeka kwa asilimia 25.7 ya watoto wetu. Mzazi na
ukilinganisha na mwak 2017. Ripoti mwanajamii yeyote
Mikataba hiyo ni pamoja na mkataba kama hii si taarifa nzuri kwetu kwani
wa kimataifa wa haki za mtoto (CRC anatakiwa kuhakikisha
tunajua kwamba watoto ndio wazazi kwamba mtoto anapata nafasi
1989), Mkataba wa Afrika wa haki na na viongozi wajao wa taifa letu la
ustawi wa mtoto (African Charter on ya kwenda shuleni ili
Tanzania. Kwa maana hiyo ajikomboe na ujinga. Serikali
the Rights and welfare of the tunatakiwa kuchukua hatua zote
Child)1990 ya Tanzania imefuta ada kwa
stahiki kuhakikisha tunamlinda shule za msingi hadi kidato
mtoto. cha nne. Jitihada hizo za
serikali hazitakiwi
Maana ya mtoto kurudishwa nyuma na baadhi
ya wazazi ambao huwakataza na pia kiafya.Hivyo wazazi wote matibabu basi ni rahisi sana
watoto kwenda shuleni. Hivyo na jamii kwa ujumla wanatakiwa kupoteza uhai wake.
tunatakiwa kuwa wasaidizi kuwapa watoto nafasi ya kucheza
wa serikali katika kufichua
watoto ambao hawapelekwi
shule.Taifa lolote huendelea
kutokana na kiwango cha
elimu kitolewacho kwa jamii
husika, hivyo basi ili Tanzania
isonge mbele kuna kila haja ya
kuhakikisha watoto wetu
wanapata elimu ya kutosha ili
wajikomboe wao na taifa kwa . (d) Haki ya kupata hifadhi
ujumla. (shelter)
(c) Haki ya kupewa matibabu Watoto wanatakiwa kupewa
Watoto wapo katika hatari ya hifadhi ili kuwakinga na
kupata maambukizi majanga kama ya wanyama
mbalimbali kwa sababu ya wakali, baridi, mvua na hata
umri wao. Hivyo serikali watu wasio wema. Katika taifa
inajitahidi kuhakikisha letu kuna nyakati watoto
kwamba watoto wanapata huachwa wakiranda mitaani
matibabu bure pamoja na na kulala katika vituo vya
chanjo za kuzuia maradhi mabasi ambapo maisha yao
mbalimbali ambayo yanaweza yanakuwa hatarini kwani ni
kuhatarisha uhai wao. Hivyo rahisi kufanyiwa ukatili kama
mzazi na mwanajamii una kulawitiwa ama kubakwa na
wajibu wa kuhakikisha mtoto hata kudhuriwa na wanyama.
anapatiwa chanjo na Kama mtoto hana wazazi wala
matibabu pale anapoumwa. ndugu wa karibu basi ni
(b) Haki ya kucheza Kutompeleka mtoto atibiwe ni vyema idara za ustawi wa
kuvunja haki yake ya msingi jamii kumchukua mtoto huyo
Michezo ni muhimu katika ukuaji
kwani mtoto anayo haki ya ilia pate hifadhi.
wa mtoto kwani humsaidia kiakili
kuishi,ila asipopatiwa (e) Haki ya kupata chakula
Ili mtoto aweze kukua vizuri wakati mwingine mtoto kufanya kazi na kupokea
anatakiwa kupatiwa chakula kufanya vibaya katika malipo ya kazi hiyo lakini
bora na si bora chakula kwani masomo hayo. Kumbe kuna masharti ya kuzingatiwa
chakula kisipokuwa kamilifu angeachwa akachagua ambayo ni:
hupelekea mtoto kupata masomo anayoyaweza • Mtoto afanye kazi
magongwa kama vile angeweza kufika mbali na nyepesi ambazo
utapiamlo ambayo huweza kuchangia mabadiliko katika hazitamuathiri afya
kupelekea kushindwa kupata maisha yake, ya wazazi na yake na maendeleo
haki zake zingine kama vile jamii kwa ujumla. yake shuleni.
haki ya elimu, haki ya kuishi (g) Haki ya kutobaguliwa • Mtoto haruhusiwi
na pia haki ya kucheza. Hivyo kwasababu yoyote ile kufanya kazi katika
wanajamii wote na wazazi mfano jinsia, rangi, hali ya migodi isipokuwa
tunatakiwa kuhakikisha uchumi, au maumbile yake anaweza kwenda kwa
kwamba watoto wetu Baadhi ya wazazi na ajili ya mafunzo
wanapata mlo sahihi kwa ajili wanajamii huwabagua watoto maalum.
ya maendeleo yao. kwa misingi ya jinsia zao kwa
(f) Haki ya kutoa maoni katika mfano wazazi wengine WATOTO WANAOVUNJA SHERIA
masuala yanayogusa hupendelea watoto wa kiume ZA NCHI
maisha yake tu na kuwabagua wakike,
Kwa mila za kiafrika ni nadra wengine hubagua watoto Sheria za nchi zinaonyesha kwamba
sana kuona wazazi ama jamii kwavile ni walemavu mfano. endapo mtoto atafanya kosa la jinai
ikikubali maoni ya mtoto Watoto wenye ulemavu wa basi akikamatwa apewe dhamana ili
katika familia ama katika ngozi (albino), watoto awe na wazazi wake kuliko
jamii husika. Jambo hilo sio wasioona, wasiosikia ama kumpeleka katika hifadhi za
zuri kwani kuna baadhi ya wasio na miguu ama mikono. wafungwa. Ikitokea kwamba ni
maamuzi ambayo mtoto Jambo hili si jema kwani lazima mtoto awekwe katika hifadhi
angesikilizwa yangeweza watoto wote ni sawa na hizo basi atenganishwe na watu
kuwa ya faida katika maisha wanatakiwa kupewa nafasi wazima kwani kukaa na
yake. Kwa mfano kuna baadhi bila kubaguliwa. watuhumiwa wengine huweza
ya wazazi huwalazimisha kumpelekea mtoto kunyanyaswa na
watoto wao kusoma masom (h) Haki ya kufanya kazi pia kuvunjiwa baadhi ya haki zake.
flani ambayo unakuta mtoto Sheria ya ajira na mahusiano
hayawezi na hili hupelekea kazini imempa mtoto haki ya
Endapo mtoto atapelekwa Kikawaida mtoto ambaye ana umri Kila mwanajamii ambaye anataarifa
mahakamani ni muhimu sana chini ya miaka saba anatakiwa kukaa ama ameshuhudia haki za mtoto
mahakama ikiwezekana watumie na mama yake lakini ikionekana zikikandamizwa ana wajibu wa kutoa
jengo lingine tofauti na mahakama na wamba mama hawezi kusimamia taarifa katika serikali ya mtaa.
pia shauri lake lisikilizwe pahala pa vyema ustawi wa mtoto basi baba (Kifungu cha 95 (1) cha sheria ya
usiri ili kumpatia nafasi ya kuweza anaweza kupewa nafasi ya kumlea mtoto ya mwaka 2009.
kujieleza vizuri. Sheria inatamka mtoto huyo.
kwamba wakati wa shauri la mtoto WADAU MUHIMU KATIKA USTAWI
mzazi wake awepo na pia mtumishi Kila mzazi ana haki ya kumtembelea WA MTOTO
wa ustawi wa jamii. mwanae anayeishi na mzazi
mwenzake na mtoto ana haki ya • Jamii kwa ujumla
Ikitokea mtoto akatiwa hatiani, kumtembelea mzazi wake. • Taasisi za kidini
sheria inashauri mtoto asifungwe • Asasi za kiraia
bali apewe adhabu zingine ambazo WAJIBU WA MTOTO • Wizara ya Afya na Ustawi wa
atazifanya katika jamii, lengo kubwa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto
likiwa ni kumsaidia mtoto • Kufanya kazi kwa ajili ya • Taasisi na Mamlaka za
kurekebika na kukubalika tena mshikamano wa taifa kiserikali;
katika jamii. • Kuwaheshimu wazazi, walezi  Polisi (dawati la jinsia)
na wale wote waliomzidi umri  Magereza
WAZAZI WA MTOTO na kuwasaidia pale inapobidi  Mashirika ya kiserikali
WAKITENGANA KISHERIA • Kuhudumia jamii na taifa lake • Ustawi wa Jamii
kiakili na kimwili • Mahakama
Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kama • Kutunza na kuimarisha
ilivyofanyiwa marekebisho inatamka mshikamano wa taifa
kwamba endapo baba na mama • Kutunza na kuimarisha
watatengana basi mahakama mambo mema katika
inawajibu wa kusikiliza maoni ya utamaduni wa jamii na taifa
mtoto kuhusu mzazi anayetaka kwa ujumla
kuishi nae, hata hivyo mahakama
katika kufanya maamuzi hayo ni MWANAJAMII ANATAKIWA MAMBO HATARISHI KATIKA
lazima izingatie ustawi wa mtoto. KUFANYA NINI PALE MTOTO USTAWI WA MTOTO
ANAPOVUNJIWA HAKI ZAKE?
Kuna mambo kadhaa ambayo ni MAJUKUMU AFISA USTAWI WA vii. Ataanzisha na kuendeleza
hatari katika Ustawi wa mtoto kama JAMII NA USALAMA WA MTOTO huduma za kuasili na
ifuatavyo; kuratibu uandikishaji
Afisa Ustawi wa Jamii katika nautaji wa mafunzo kwa
• Mahusiano katika umri Wilaya husika atakuwa na wazazi wanaoasili;
mdogo; majukumu yafuatayo; viii. Atahakikisha malezi
• Mimba za utotoni; mbadala ya familia
• Ndoa za utotoni; i. Atahakikisha kuwa hatua yanatipatikana;
• Unyanyasaji wa kingono au zote za muhimu ix. Ataanzisha na kutunza
kushirikishwa katika vitendo zinachukuliwa kwa ajili rejesta za watoto walio
vya kingono; ya kuwalinda watoto katika mazingira
• Ajira na kazi ngumu kwa dhidi ya aina zote za hatarishi;
mtoto; madhara; x. Ataanzisha na kutunza
• Sheria kandamizi; ii. Atalinda na kutunza rejesta za watoto wasio
maslahi ya watoto
• Fikra na imani potofu za Jamii faa kufanya kazi;
wanaohitaji malezi na xi. Atapunguza makosa ya
mfano mtoto kutoshirikishwa
ulinzi katika Wilaya; jinai yanayotendandwa
katika ufanyaji wa maamuzi
iii. Atahamasisha watoto na watoto katika
au kutompeleka mtoto wa
kullewa na familia zao; utaratibu endelevu wa
kike shule;
iv. Atachunguza na kufanya
• Lishe duni; kuchukua tahadhari kwa
tathmini ya watoto watoto, kuduma za
• Mfumo mbovu wa elimu; wanaohitaji ulinzi;
• Ugomvi na mahusiano ushauri katika kufuatilia
v. Atachukua hatua stahiki tabia za watoto, huduma
yasiyorafiki kwa wazazi watoto wanaoteseka au
mfano mgogoro miongoni za malazi kwa watoto
walio katika hatari ya waliowekwa kizuizini;
mwa wazazi; kudhurika;
• Matumizi ya dawa za kulevya xii. Atawajibika kuripoti kwa
vi. Ataainisha na kuendeleza mkuu wa Wilaya;
na vileo kama vile pombe; huduma za malezi ya
• Makundi ya wahuni na xiii. Ataandaa mpango wa
kambo, uandikishaji, usalama wa mtoto wa
marafiki wasio na tabia utoaji wa mafunzo na
njema. mwaka;
ufuatiliaji wa wazazi au xiv.
familia za kambo;

You might also like