I. Fafanua maneno yafuatayokatika lugha ya Kirundi
1. Maoni: 2. Mawasiliano : 3. Akamnyanganya pesa: 4. Akakataa: II. Jaza pengo ukitumia ngeli za nomino ifuatazo: i- ;u-,ki-,a- ,ku-,ya-,wa-,zi-,vi-/6pts 1. Mgue wake ……………………………… 2. Waganga……………………natuibu wagonjwa 3. Kichwa chake…………………….naumwa. 4. Mbwa ……………………nabweka. 5. Kulima…………………..natajirisha 6. Ndege …………..naruka porini. III. Katika sentensi zifuatazo, tia mstari chiri ya kielezi 1. Mwanafunzi huyo ametoka mbali. Kwa hiyo amechelewa 2. Siku ya kwanza shule,wanafunzi wanavaa vizuri 3. Zamani,si;u ilikuwa inatumiwa injini tu 4. Kwa kawaida ,kuna njia nyingi za kuwasiliana 5. Fanya mbio kazi yako ili turudi nyumbani