Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na. JA.9/18/01/4 31/05/2024

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji


kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2023 na tarehe 07-05-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika
Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na
wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho
kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia,
Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha
kazi.
NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

1 Shirika la Nyumbu (TATC) TECHNICIAN II (MECHANICAL)


1. BARAKA JOHN MWINGIRA

2. BASHAN AMOS TUTULU

2 Shirika la Nyumbu (TATC) ARTISAN II (MOTOR VEHICLE MECHANICS)


1. STEVEN CONRAD MAMBOSASA

3 Tume ya Maendeleo ya Ushirika MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II


(TCDC) 1. HAPPINESS MATHIAS MAKASHI

4 Tume ya Maendeleo ya Ushirika ASSISTANT INFORMATION COMMUNICATION AND TECHNOLOGY


(TCDC) OFFICER II 1. JOEL ROBERT MASHAURI

5 Tume ya Maendeleo ya Ushirika AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER)


(TCDC) 1. JACOB PAUL ANTIPASI

2. JOSEPH DISMAS LAYANDA

6 Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ENGINEER II (CIVIL)


1. HILDA CHARLES MSIGWA

7 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe DEREVA DARAJA LA II


1. OTHMAN ABDULKARIM OTHMAN

8 Jeshi la Polisi Tanzania ACCOUNTANT II


1. HEKIMA OBEDI MWAIJANDE

9 Wizara ya Elimu, Sayansi na MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II (MAGARI)


Teknolojia, 1. ANDREA MAYALA ANDREA

2. SEVERINA EMMANUEL MADEGE

3. GODSON BRAISON MFINANGA

4. EDWARD SAMWEL GASORE

5. BENEDICT EDWINY NGAO

6. JOHANESS PANCRAS KARUMUNA

7. CHRISTOPHER MSAPHIRY MOSHI

8. MARIAM ABBAS ISSA

9. RADHACK SHAIBU STAMBULI

10. SAID SALIM LUTENGA

10 Wizara ya Elimu, Sayansi na MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II (UMEME)


Teknolojia, 1. MORIS MAKARIUS SUNGA

2. REVIUS KAIZILEGE MGALA

3. HILLARY BASHIR KUCHAPA

4. BARAKA JOSEPH MWANYUMBA

5. EDSON SIMON PHARES

6. ISSACK GODWIN JOHN

7. FRANCIS FABIANI MTAMBA

8. ASHERY ISRAEL CHEYO

9. JOSEPH PHILIPO SAMO

10. HALAJA CHARLES DAUD

11. THEMISTOCLES STEPHANO


MUHABUZI

12. MASOUD HAMIS MASOUD

13. ISSA OMARY MKUMBA

14. MASAU DANI RUGEMBE

15. ADAM VENANCE SABA


11 Wizara ya Elimu, Sayansi na MWANDISHI MWENDESHA OFISI II (OFFICE MANAGAMENT
Teknolojia, SECRETARY II) 1. DEBORA MAGAMBO JULIUS

2. JANETH FRANCIS CHALE

3. ANNA ANYIGULILE KABUNGO

4. NCHAMA MABULA NGHABI

1
12 Wizara ya Elimu, Sayansi na DEREVA DARAJA LA II
Teknolojia, 1. LUTALA ERICK CHECHE

2. ALLY ZACHARIA MPAGASI

3. EMMANUEL ROBERT WILLIAM

4. SAMSON IVAN MCHIWA

5. RAYMOND KUNDA SHOO

6. MOHAMED RAMADHAN MOHAMED

13 Wizara ya Elimu, Sayansi na MKUFUNZI II (MAENDELEO YA JAMII)


Teknolojia, 1. NEEMA ABINURU HAKIKIMALI

2. MAGRETH FREDINAND LONGAMNO

3. HEKIMA AMRI LUPEMBE

4. AMINA HAMZA OMARI

5. MONICA PETER CHISAWILO


14 Wizara ya Elimu, Sayansi na MKUFUNZI II (TEHAMA)
Teknolojia, 1. KAGELE DAVIS NYAMAGEU

2. AZIZI GULAMALI MOHAMED

3. YUSUFU HUSENI YUSUFU

4. RAJAB ELIUD BOGOHE

5. EVA AGUSTINO KITINUSA

6. KHALIFA ABDILLAH MCHINJA

7. BAKARI YASSIN NYONI

15 Wizara ya Elimu, Sayansi na MKUFUNZI II (UALIMU WA BAIOLOJIA)


Teknolojia, 1. ESSAU NATHANAEL DANIEL

2. MASAGA MOKIRI GODFREY

16 Wizara ya Elimu, Sayansi na MKUFUNZI II (UALIMU WA KEMIA)


Teknolojia, 1. BENARD DONARD MAIGE

2. KELVIN AJUNA KAJUNA

17 Wizara ya Elimu, Sayansi na MKUFUNZI II (UALIMU WA KIINGEREZA)


Teknolojia, 1. MISANA NANAI EMMANUEL

18 Wizara ya Elimu, Sayansi na MWALIMU IIIB (BAIOLOJIA)


Teknolojia, 1. JANETH JACKSON MUHOCHI

2. AYOUB NTAMUMWE CHARLES

19 Wizara ya Elimu, Sayansi na MWALIMU IIIB (KEMIA)


Teknolojia, 1. RAMADHAN TWAHA HAMIS

2. THEOBARD BASEKAINO
MUNYANEZA

3. REGINA MASETH NDUNGURU

4. MOSES ZANZIBA PASCHAL

20 Wizara ya Elimu, Sayansi na MWALIMU IIIB (KINGEREZA)


Teknolojia, 1. KULWA KITULA NTABIBI

21 Wizara ya Elimu, Sayansi na MWALIMU IIIC (FIZIKIA)


Teknolojia, 1. MICHAEL MIKA JUMA

22 Wizara ya Elimu, Sayansi na MWALIMU IIIC (HISABATI)


Teknolojia, 1. HAFIDH SULEIMAN ABDALLAH

2. BARAKA LOIBANGUTI MOLLEL

3. ABDUL MOHAMED JUMA

4. ASHIRAFU MAHAMUDU JUMA

23 Wizara ya Elimu, Sayansi na DEREVA DARAJA LA II


Teknolojia, 1. JULIUS LUDOVICK MREMA

24 Wizara ya Elimu, Sayansi na MPISHI II.


Teknolojia, 1. SHEILA JUMANNE MFINANGA

25 Wizara ya Elimu, Sayansi na COOK II


Teknolojia, 1. TUMLUMBE DAIMONI KISOMA

26 Wizara ya Elimu, Sayansi na DEREVA DARAJA LA II


Teknolojia, 1. ERICK MAICKO MBILINYI

27 Wizara ya Elimu, Sayansi na DEREVA DARAJA LA II


Teknolojia, 1. AMBROSE ARITH WILLIAM

2
28 Wizara ya Elimu, Sayansi na AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER GRADE II)
Teknolojia, 1. FRADIUS LUGAIMUKAMU MUGOA

29 Wizara ya Mifugo na Uvuvi-UVUVI - AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD OFFICER
Mifugo II) 1. SALOME JULIUS NYEMAGA

2. DOREEN NICHOLUS MAPEMBE

30 Wizara ya Mifugo na Uvuvi-UVUVI - DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II


Mifugo 1. RAYMOND ROBERT MASANGU

2. STELA LUCAS CHALO

31 Wizara ya Mifugo na Uvuvi-UVUVI - DEREVA DARAJA LA II


Mifugo 1. RENATUS KALIST MTUMBUKA

32 Wizara ya Mifugo na Uvuvi-UVUVI - RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II


Mifugo 1. DIANA RWAMISHALE ERASTO

33 Halmashauri ya Wilaya ya Geita AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER GRADE II)
1. CHRISTOPHER ENOCK ANYIMIKE

34 Halmashauri ya Wilaya ya Geita AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II...


1. DEVOTHA EVELIN CHALE

35 Halmashauri ya Wilaya ya Geita HEALTH ASSISTANT II


1. NIETIWE DAUDI MNYONE

2. JASMIN YAHAYA KINGAZI

3. ERASTO GERVAS KAHABI

4. ASLAM HAMADI SWAI

36 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) DEREVA DARAJA LA II


1. FRANK ELIA MWAKAPIKI

37 Taasisi ya Saratani Ocean Road HEALTH ASSISTANT II


(ORCI) 1. LATIFA IDDY PAMPAY

38 Taasisi ya Saratani Ocean Road PHARMACEUTICAL TECHNICIAN II


(ORCI) 1. DORCAS GEOFREY MREMI

39 Taasisi ya Saratani Ocean Road AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II (ASSISTANT NURSING OFFICER II)
(ORCI) 1. JENIANA ELIAS KAWIA

40 Taasisi ya Saratani Ocean Road HEALTH ASSISTANT II


(ORCI) 1. MONICA EXAVERY MTEGA

41 Taasisi ya Saratani Ocean Road PHARMACIST II


(ORCI) 1. GODFREY COSTER NYALUSI

42 Taasisi ya Saratani Ocean Road PHARMACEUTICAL TECHNICIAN II


(ORCI) 1. HALIDI HASHIM MALEKELA

2. AMOS MWAISANILA BONIFACE

43 Taasisi ya Saratani Ocean Road PHARMACEUTICAL TECHNICIAN II


(ORCI) 1. FREDNAND ALFRED MNANGO

44 Taasisi ya Saratani Ocean Road PHARMACIST II


(ORCI) 1. ALPHONCE MATHIAS TILIA

45 Taasisi ya Saratani Ocean Road ARTISANS II (AIR CONDITION AND REFRIGERATION)


(ORCI) 1. HAMISI RICHARD MBAZI

46 Wizara ya Maji DEREVA DARAJA LA II


1. HENRY KAMUGISHA SCARION

2. JACKSON JOHN NDEDE

3. ZAHARANI SWALEHE MUNNA

4. IBRAHIM JUMA MKINDA

5. VASCO IDDY MHINA

47 Wizara ya Maji ENGINEER II (CIVIL)


1. GEOFREY JUNIOR MARTIN

48 Wizara ya Maji FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)-TECHNICIAN II (CIVIL)


1. GRACIANA SAWAYA SHIRIMA

2. KIOMA SHABANI MLYOMI

49 Wizara ya Maji MHANDISI UMEME - MITAMBO (ELECTRO-MECHANICAL)


1. SAPHIA SELEMANI GWANDO

50 Wizara ya Maji TECHNICIAN II (MECHANICAL)


1. MARIAM SEBASTIAN
MWANANGURO

2. DENNIS ELIAS SUMILA

3
51 Wizara ya Maji TECHNICIAN II – WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINEERING
1. JONATHAN ROBERT ELIAS

2. FRANK JOHN MSUMUKI

52 Wizara ya Maji AFISA UGAVI MSAIDIZI II


1. STEPHEN EDMIN RUTAKOBA

53 Wizara ya Maji CHEMIST II


1. EMMANUEL JAMES MALONGO

54 Wizara ya Maji TECHNICIAN II (ELECTRICAL)


1. HOZA DANIEL HOZA

2. ALEX EMILLY KADASO

55 Wizara ya Maji TECHNICIAN II (LABORATORY)


1. HAPPINESS EDWARD MWAISEMBA

56 Wizara ya Maji TECHNICIAN II (LABORATORY)


1. JALFA AHMADI KIDABA

57 Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR II)
1. ASHRAFU ABDI HASSAN TARATIBU

58 Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II


1. EVA PAUL KIGALU

59 Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) TECHNICIAN II (ARCHITECTURE)


1. MGATA GHATI NGABO

60 Tume ya Haki za Binadamu na DEREVA DARAJA LA II


Utawala Bora 1. ASEDI JUMA MBARALE

2. SALEHE ABASI KIMWERI

61 Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) DEREVA DARAJA LA II


1. ZAKAYO BENSON MWAKANYASA

62 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania METEOROLOGIST II


(TMA) 1. YUNUS KIBWANA IBRAHIM

63 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR GRADE II)
(TMA) 1. PELUCY JOHN MAMELELA

64 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania METEOROLOGIST II


(TMA) 1. MAGDALENA RICHARD MHELEZI

LIMETOLEWA NA;

KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

You might also like