Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

MKATABA WA MKOPO NAMBARI.

3USP9RK3SC WA TAREHE 28 Juni 2024

MASHARTI MAALUM
Masharti haya Maalum yatasomwa pamoja na Masharti ya Jumla, na kwa pamoja yanaunda Makubaliano ya Mkopo.
WATU CREDIT (TANZANIA) LIMITED, ni kampuni iliyosajiliwa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye nambari ya
usajili 14790560 iliyoko 1st Floor, Golden Heights, Barabara ya Chole (P.O. Box Number 76536, Dar es Salaam), ambayo katika
Mkataba huu inaitwa Mkopeshaji. (ambayo itajumuisha warithi wowote katika cheo na kukabidhi); na

Jina la Mkopaji: Abrahaki Athumani Namba ya simu: +255 684547888


Kitambulisho cha Taifa: 20021120-67119-00001-23 Anwani ya Makazi: Kinguluila

Atakayeitwa Mkopaji (ambayo itajumuisha warithi wote)


Mkopaji ameomba Mkopo na Mkopeshaji amekubali kutoka Mkopo kwa Mkopaji kwa ajili ya kununua Kifaa/Simu (pamoja na
kava la nyuma pamoja na ngao ya kioo cha mbele) kama ilivyoelezwa hapa chini, (Simu) kwa masharti na vigezo vifuatavyo:

Kiwango cha riba kwa


Kifaa: Simu 5
mwezi*:
Samsung A05 (A055F/DS) Malipo ya huduma ya
Modeli ya Kifaa Mahiri: 187,200 TZS
64GB/4GB mkopo:
Nambari ya kipekee: R92X52ZX4RL Jumla ya kiasi cha malipo: 521,400 TZS
Nambari ya IMEI: 350280671429763 Kiasi cha malipo: 10,000 TZS
Tarehe ya Malipo ya
Bei ya Kifaa: 335,000 TZS 05 Julai 2024
Kwanza:
Malipo ya Awali: 85,000 TZS Muda wa mkopo: Miezi 12
Kiasi cha Mkopo: 250,000 TZS
*APR - 168.31%
Mkopaji atamlipa Mkopeshaji malipo ya awali kwa kutumia mitandao ya simu (M-pesa, Airtel au Tigo pesa), na baada ya hapo
Mkopeshaji atalipia Kifaa (ambayo inajumuisha malipo ya awali pamoja na kiasi cha mkopo) kulingana na EFD risiti. Mkopaji
anathibitisha na kuomba kwamba malipo ya awali yalipwe moja kwa moja kwenda kwa Muuzaji.
Kwa kuingia katika Mkataba huu, Mkopaji anathibitisha kwamba amesoma, ameelewa na amekubali Masharti ya Jumla ya
Mkataba wa Mkopo ambayo nilipewa kabla ya kkuingia Mkataba huu na yanapatikana kwenye tovuti ya Mkopeshaji
www.watuafrica.co.tz

IMESAINIWA NA MKOPESHAJI

Kwa niaba ya Watu Credit


(Tanzania) Limited JACLINE KESSY

(JINA KAMILI) (SAHIHI)

IMESAINIWA NA MKOPAJI
Abrahaki Athumani Ramadhani

(JINA KAMILI) (SAHIHI)


JEDWALI LA MAREJESHO YA MKOPO KATIKA MKATABA WA MKOPO Na. 3USP9RK3SC

marejesho 52 ya kila wiki kwa muda wa mkopo 28 Juni 2024

Ada ya
Awamu Salio la Jumla Malipo ya
Tarehe ya Malipo Rejesho huduma ya Riba Kianzio
# Kianzio Iliyopo Jumla
mkopo
1. 05 July 2024 250,000 10,000 3,600 2,900 3,500 521,400 10,000
2. 12 July 2024 246,500 10,000 3,600 2,800 3,600 511,400 20,000
3. 19 July 2024 242,900 10,000 3,600 2,800 3,600 501,400 30,000
4. 26 July 2024 239,300 10,000 3,600 2,800 3,600 491,400 40,000
5. 02 August 2024 235,700 10,000 3,600 2,700 3,700 481,400 50,000
6. 09 August 2024 232,000 10,000 3,600 2,700 3,700 471,400 60,000
7. 16 August 2024 228,300 10,000 3,600 2,600 3,800 461,400 70,000
8. 23 August 2024 224,500 10,000 3,600 2,600 3,800 451,400 80,000
9. 30 August 2024 220,700 10,000 3,600 2,500 3,900 441,400 90,000
10. 06 September 2024 216,800 10,000 3,600 2,500 3,900 431,400 100,000
11. 13 September 2024 212,900 10,000 3,600 2,500 3,900 421,400 110,000
12. 20 September 2024 209,000 10,000 3,600 2,400 4,000 411,400 120,000
13. 27 September 2024 205,000 10,000 3,600 2,400 4,000 401,400 130,000
14. 04 October 2024 201,000 10,000 3,600 2,300 4,100 391,400 140,000
15. 11 October 2024 196,900 10,000 3,600 2,300 4,100 381,400 150,000
16. 18 October 2024 192,800 10,000 3,600 2,200 4,200 371,400 160,000
17. 25 October 2024 188,600 10,000 3,600 2,200 4,200 361,400 170,000
18. 01 November 2024 184,400 10,000 3,600 2,100 4,300 351,400 180,000
19. 08 November 2024 180,100 10,000 3,600 2,100 4,300 341,400 190,000
20. 15 November 2024 175,800 10,000 3,600 2,000 4,400 331,400 200,000
21. 22 November 2024 171,400 10,000 3,600 2,000 4,400 321,400 210,000
22. 29 November 2024 167,000 10,000 3,600 1,900 4,500 311,400 220,000
23. 06 December 2024 162,500 10,000 3,600 1,900 4,500 301,400 230,000
24. 13 December 2024 158,000 10,000 3,600 1,800 4,600 291,400 240,000
25. 20 December 2024 153,400 10,000 3,600 1,800 4,600 281,400 250,000
26. 27 December 2024 148,800 10,000 3,600 1,700 4,700 271,400 260,000
27. 03 January 2025 144,100 10,000 3,600 1,700 4,700 261,400 270,000
28. 10 January 2025 139,400 10,000 3,600 1,600 4,800 251,400 280,000
29. 17 January 2025 134,600 10,000 3,600 1,600 4,800 241,400 290,000
30. 24 January 2025 129,800 10,000 3,600 1,500 4,900 231,400 300,000
31. 31 January 2025 124,900 10,000 3,600 1,400 5,000 221,400 310,000
32. 07 February 2025 119,900 10,000 3,600 1,400 5,000 211,400 320,000
33. 14 February 2025 114,900 10,000 3,600 1,300 5,100 201,400 330,000
34. 21 February 2025 109,800 10,000 3,600 1,300 5,100 191,400 340,000
35. 28 February 2025 104,700 10,000 3,600 1,200 5,200 181,400 350,000
36. 07 March 2025 99,500 10,000 3,600 1,100 5,300 171,400 360,000
37. 14 March 2025 94,200 10,000 3,600 1,100 5,300 161,400 370,000
38. 21 March 2025 88,900 10,000 3,600 1,000 5,400 151,400 380,000
39. 28 March 2025 83,500 10,000 3,600 1,000 5,400 141,400 390,000
40. 04 April 2025 78,100 10,000 3,600 900 5,500 131,400 400,000
41. 11 April 2025 72,600 10,000 3,600 800 5,600 121,400 410,000
42. 18 April 2025 67,000 10,000 3,600 800 5,600 111,400 420,000
43. 25 April 2025 61,400 10,000 3,600 700 5,700 101,400 430,000
44. 02 May 2025 55,700 10,000 3,600 600 5,800 91,400 440,000
45. 09 May 2025 49,900 10,000 3,600 600 5,800 81,400 450,000
46. 16 May 2025 44,100 10,000 3,600 500 5,900 71,400 460,000
47. 23 May 2025 38,200 10,000 3,600 400 6,000 61,400 470,000
48. 30 May 2025 32,200 10,000 3,600 400 6,000 51,400 480,000
49. 06 June 2025 26,200 10,000 3,600 300 6,100 41,400 490,000
50. 13 June 2025 20,100 10,000 3,600 200 6,200 31,400 500,000
51. 20 June 2025 13,900 10,000 3,600 200 6,200 21,400 510,000
52. 27 June 2025 7,700 11,400 3,600 100 7,700 11,400 521,400
Masharti ya Jumla ya Watu Simu
(Toleo Na. 1.1, kama ilivyoidhinishwa na Watu Credit (Tanzania) Limited tarehe 24 Mei 2024)
Masharti haya ya Jumla yatasomwa pamoja na Masharti Maalum, na kwa pamoja yanatengeneza Mkataba wa Mkopo

1. Madhumuni ya Mkopo 3. Haki za Mkopeshaji juu ya Kifaa


1.1. Mkopo husika utatumika katika manunuzi ya Kifaa. 3.1. Mkopaji anakubali kwamba Mkopeshaji ana haki juu ya
Mkopaji anaagiza na kuidhinisha Mkopeshaji kuhamisha Kifaa ambapo Mkopeshaji anaweza kusakinisha programu
kiasi cha pesa kinachoendana na bei kamili ya Kifaa dukuzi na za kiusalama zilizoidhinishwa na mtengenezaji wa
(ambacho kinajumuisha Kiasi cha Mkopo na Arubuni) moja Kifaa (pamoja na sasisho zozote za baadaye), kuzuia
kwa moja kutoka kwa Mkopeshaji kwenda kwa muuzaji wa matumizi ya na kuzima Kifaa na pia kuona mahali Kifaa
Kifaa. kilipo ikiwa Mkopeshaji atashindwa kulipa malipo ya kila
1.2. Marejesho ya Kiasi cha Mkopo yatafanyika kila wiki wiki au ana malimbikizo au ameshindwa kufanya rejesho.
pamoja na Riba na malipo mengine yoyote yanayohusika, 3.2. Ikiwa Mkopaji atashindwa kufanya rejesho la kila wiki
ada, au adhabu. au malipo mengine yoyote yanayohusika kwa wakati,
1.3. Kifaa huchaguliwa na Mnunuzi, na Mkopeshaji hana Mkopeshaji anaweza kuzima Kifaa husika hadi malipo hayo
jukumu la kuhudumia Kifaa au kukitunza au kutoa huduma yatakapopokelewa. Mkopeshaji anaweza kuwasha tena Kifaa
nyingine yoyote inayohusiana na Kifaa. Maswali yote kwa muda ikiwa Mkopaji atajizatiti kufikia kiwango fulani
yanayohusiana na hati ya kubadilisha bidhaa yataelekezwa cha malipo/marejesho.
moja kwa moja kwa Muuzaji wa Kifaa. Hata hivyo, 3.3. Haki za Mkopeshaji juu ya Kifaa zitasitishwa baada ya
Mkopaji atamjulisha Mkopeshaji kuhusu madai yoyote Mkopaji kufanya marejesho yote kikamilifu ambayo
yanayohusiana na hati ya kubadilisha bidhaa ambayo yanajumuisha ongezeko la ada na/au adhabu kwa mujibu wa
yanaweza kupelekea kubadilishiwa Kifaa. Mkataba huu.
1.4. Mkopaji ndiye mmiliki mnufaika wa Kifaa husika. 3.4. Mkopaji anakubali kutojaribu kuharibu haki alizopewa
Mkopaji atakuwa na umiliki na udhibiti kamili wa Kifaa Mkopeshaji juu ya Kifaa na jaribio lolote la namna hiyo
baada ya kufanya kikamilifu marejesho yote ya kiasi cha linaweza kubatilisha hati ya kubadili Kifaa na kukiuka haki
mkopo na malipo mengine yoyote yanayohusika, riba ya miliki za mtengenezaji wa Kifaa na/au Mkopeshaji na hii
kuchelewesha malipo, ada, au adhabu. itakuwa ni ukiukwaji wa masharti chini ya Makubaliano
1.5. Hadi pale ambapo Mkopaji atakuwa amelipa jumla ya haya. Mkopeshaji anaweza pia kutumia njia ya madai au
marejesho yote na malipo mengine yoyote yanayohusika, jinai chini ya sheria husika kupata haki zake.
ada, au adhabu, Mkopeshaji ana haki ya kuchukua Kifaa 3.5. Mkopeshaji ana haki ya kuripoti historia ya mkopo ya
kama dhamana ya mkopo kama ilivyoelezewa hapa chini. Mkopaji na kitendo cha Mkopaji kushindwa kulipa deni
katika ofisi ya kumbukumbu ya mkopo.
2. Marejesho ya Mkopo, Riba, Ada na Adhabu 3.6. Mkopeshaji anaweza akiwa mbali kusakinisha programu
2.1. Jumla ya kiasi cha mkopo (marejesho) kitalipwa kila dukuzi na za kiusalama, programu tumizi za umiliki au za
wiki kuanzia wiki moja kuanzia tarehe ya kwanza ya mtu wa tatu kwenye Kifaa ili kuwezesha ushirikishwaji
marejesho ambayo ni siku 7 (saba) baada ya Mkopaji taarifa kati ya Mkopeshaji na wateja wake (zinazohusiana na
kupewa Kifaa. ufuatiliaji wa dhamana, utoaji wa huduma mpya, n.k.).
2.2. Katika kuzingatia kutoa Mkopo, Mkopaji atalipa riba Mkopeshaji atatoa mwanya wa kujiondoa ikiwa programu
kwa Mkopeshaji kwa Kiwango cha Riba cha kila mwezi tumizi hiyo haina tija katika kumfanya Mkopaji kutimiza
kilichobainishwa katika Masharti Maalum. Riba itahesabiwa wajibu wake kwenye Mkataba huu.
kwa msingi wa uchakavu wa salio linalolipwa kila wiki.
2.3. Kiasi cha Jumla cha Marejesho (Malipo) kinajumuisha 4. Wajibu wa Mkopaji
Kiasi cha Riba kwenye mkopo, na ada ya kuhudumia Mkopo 4.1. Mkopaji atalipa Kiwango chote cha Mkopo na malipo
(lakini haijumuishi riba yoyote ya malipo ya kuchelewa mengine yoyote yanayohusika, ada, au adhabu kwa mujibu
kufanya marejesho au ada nyingine zinazohusika). wa vigezo na kiasi kilichobainishwa katika Mkataba huu.
2.4. Mkopaji atafanya malipo anayodaiwa na Mkopeshaji 4.2. Kifaa kitatumika kwa mujibu wa maelekezo
kuhusiana na Mkopo, ikiwa ni pamoja na lakini sio tu yaliyotolewa katika mwongozo wa matumizi ya Kifaa na
yanayohusu Riba, adhabu, na ada, kwa kutumia huduma za makubaliano yaliyopo kwenye leseni ya mtumiaji wa
M-PESA, Airtel Money au Tigo-Pesa kwenye Akaunti ya mwisho (ikiwa inahusika). Mkopaji atatunza Kifaa na
Malipo aliyopewa na Mkopeshaji. kukifanyia matengenzo ili kiweze kufanya kazi ipasavyo.
2.5. Mkopaji anaweza kulipa mkopo wakati wowote kabla Ikiwa Mkopaji atakiuka maagizo yoyote yaliyotolewa katika
ya tarehe ya malipo kwa kupeleka ombi husika kwa mwongozo wa matumizi ya Kifaa, itasababisha kupoteza hati
Mkopeshaji wiki moja kabla. Kwa kuondoa shaka, malipo ya kubadilisha Kifaa.
ya mapema yanamaanisha na yatajumuisha pale ambapo 4.3. Mkopaji anakubali kwamba hata kama Kifaa
Mkopaji anataka kutoa rejesho la kila wiki kabla ya tarehe kimepotea, kuibiwa, au kuharibiwa nje ya utaratibu wa hati
ya malipo au anakusudia kulipa deni lote. ya kubadilisha Kifaa, atalipa kikamilifu kiasi chote cha
2.6. Ikiwa Mkopaji atashindwa kulipa Mkopo na/au Riba, mkopo na malipo mengine yoyote yanayohusika, ada, au
ada au kiasi kingine chochote anachodaiwa au kinachodaiwa adhabu kwa Mkopeshaji kulingana na masharti ya Mkopo
na Mkopeshaji, Mkopaji atatozwa riba ya malipo ya hapo juu. Ikiwa Kifaa kitaibwa, Mkopaji lazima atoe taarifa
kuchelewa ya 0.5% kila siku kwenye kiasi chochote halisi haraka sana polisi, na pia amjulishe Mkopeshaji kwa kupiga
cha Mkopo kilichochelewa. simu kwa Huduma kwa Wateja ofisi za Watu.
4.4. Mkopaji anaahidi kutouza na kuhakikisha kuwa Kifaa maelezo ya programu dukuzi na maelezo au taarifa nyingine
hakitogubikwa na madai ya mtu mwingine yeyote, na zozote zinazoruhusiwa kisheria. Matumizi yanayoruhusiwa
kutwaliwa, kuwekwa dhamana, kugawiwa au kutumika yanaweza kujumuisha:
kama malipo au kuwekewa kizuizi kingine chochote au dai (a) kutoa huduma za Mkopeshaji kwa Mkopaji;
la umiliki hadi kiasi chote cha deni na malipo mengine (b) kutekeleza wajibu wa Mkopeshaji chini ya Mkataba huu;
yoyote yanayohusika, ada, au riba itakapolipwa. (c) kuzuia, kupeleleza, kuchunguza au kushtaki vitendo vya
4.5. Mkopaji hataharibu (ikiwa ni pamoja na lakini sio tu kijinai au ulaghai;
kubadilisha au kuondoa namba tambulishi ya Kifaa au alama (d) kubadilishana taarifa na watoa huduma wa Mkopeshaji,
nyingine za utambulisho), kufungua, kuharibu haki za wauzaji, mawakala, warithi au kampuni nyingine yoyote
Mkopeshaji juu ya Kifaa, au kuharibu programu dukuzi au ambayo inaweza kuwa kampuni tanzu au mama ya
za kiusalama, kukiunda upya, kujimilikisha kinyemela au Mkopeshaji kwa madhumuni ya kibiashara yanayohusiana
kurekebisha na/au kutumia Kifaa kwa njia nyingine yoyote na huduma;
ambayo haijaidhinishwa na Mkopeshaji au kumsaidia mtu (e) kutuma kwenda au kutoka kwenye Ofisi ya
yeyote wa tatu kufanya vivyo. Kumbukumbu ya Mikopo ili kupata ripoti ya ukopeshwaji
4.6. Mkopaji atatoa ushirikiano kwa Mkopeshaji, ya Mkopaji;
wafanyakazi, au mawakala wake na fursa ya ukaguzi wa (f) kwa ajili ya wanasheria wa Mkopeshaji, wakaguzi hesabu
Kifaa ikiwa ni pamoja na lakini sio tu kuhusiana na au washauri wengine wa kitaaluma;
matengenezo yoyote au kuchunguza matumizi yoyote ya (g) mahakama yoyote au baraza la usuluhishi kuhusiana na
Kifaa ambayo hayajaidhinishwa au ukiukaji wa Mkataba kesi yoyote kisheria;
wakati wa muda wote wa Mkataba. (h) kwa madhumuni ya kibiashara yanayohusiana na fedha,
4.7. Ili kuhakikisha kuwa Mkopaji anatimiza wajibu wake kama vile shughuli za masoko na utafiti zinazohusiana; na
wa kufanya malipo chini ya mkataba huu, Mkopaji (i) kuzingatia desturi za biashara ikiwa ni pamoja na lakini si
anakubali na kuafiki kwamba kifaa anachomiliki kitatumika tu kudhibiti ubora, mafunzo na kuhakikisha uendeshaji
kama dhamana kwenye makubaliano ya mkopo aliyoingia na mzuri wa mifumo.
Mkopeshaji (ikiwa inafaa). 5.3. Mkopaji anakubali na kuidhinisha Mkopeshaji kupata
4.8. Mkopaji anakiuka masharti ikiwa anashindwa na kuomba Taarifa Binafsi juu ya (ikiwa ni pamoja na
kutekeleza jukumu lake lolote lililomo katika Mkataba huu. kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa) na zaidi
Baada ya ukiukaji huo, Mkopeshaji ana haki ya kusitisha Mkopeshaji anakubali na kuruhusu Serikali ya Tanzania
Mkataba na kuomba malipo ya papo kwa papo ya kiasi chote kufichua na kumpatia Mkopeshaji Taarifa Binafsi.
cha mkopo (marejesho) kilichobaki na malipo mengine 5.4. Mkopaji anakubali na kuidhinisha Mkopeshaji kuomba
yoyote yanayohusika, ada, au riba. Mkopeshaji atakuwa na na kupokea taarifa yoyote ya historia/mwenendo wa ukopaji
haki, kwa hiari yake, kushtaki na kudai malipo ya kiasi wa Mkopaji kutoka Ofisi ya Kumbukumbu ya Mikopo.
husika na/au kujimilikisha Kifaa bila amri yoyote ya 5.5. Mkopeshaji anaahidi kwamba atatimiza ipasavyo
Mahakama. majukumu yake kama mdhibiti taarifa binafsi chini ya
4.9. Ikiwa kuna ukiukaji wa masharti, Mkopeshaji, kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, 2022, ambayo
niaba ya Mkopaji, ana haki ya kuuza (kwa njia ya kawaida yanatokana na ukusanyaji na uchakataji wa Taarifa Binafsi.
au mnada wa hadhara kama ambavyo Mkopeshaji ataona 6.Mengineyo
inafaa) au vinginevyo kuuza Kifaa husika katika hali yake ya 6.1. Arifu yoyote, madai au mawasiliano mengine yoyote
sasa au kwa kukifanyia maandalizi yoyote ya kibiashara ambayo Mkopeshaji ataelekeza kwa Mkopaji au kuhusiana
yanayofaa ili kurejesha Kiasi chochote cha na Mkataba huu yatakuwa katika maandishi na, isipokuwa
Malipo/marejesho kilichobaki. kama imeelezwa vinginevyo na kwa kiwango
4.10. Mkopaji atawajibika kulipia gharama za Mkopeshaji kinachoruhusiwa kisheria, yanaweza kutolewa au kufanywa
zinazohusiana na kukusanya deni, umiliki na uuzaji wa kwa njia ya barua, ujumbe mfupi wa simu (SMS), barua
Kifaa. pepe au kupitia tangazo katika gazeti linalopatikana nchi
4.11. Mkopaji atamlipa Mkopeshaji kiasi chote kilichotajwa nzima.
katika Masharti Maalum bila makato yoyote. Mkopaji 6.2. Kushindwa au kuchelewa kwa Mkopeshaji kutumia
atawajibika kwa malipo yote ya kodi yanayotakiwa, haki, mamlaka au upendeleo wowote alionao katika mkataba
ikijumuisha ushuru wa stempu, ada za usajili, kukatwa kwa huu hakuathiri haki husika au kuchukuliwa kama msamaha
kodi yoyote ya zuio (ikiwa inatumika). wa madai, na wala kutumiwa mara moja au sehemu tu ya
haki, mamlaka au upendeleo husika hakutazuia matumizi
5. Ufichuzi na Ulinzi wa Taarifa zaidi au utekelezaji wa haki, mamlaka au upendeleo wowote.
5.1. Ili Mkopeshaji atathmini ombi la Mkopo na kutoa Haki na unafuu viliyvotolewa katika mkataba huu ni za
Mkopo, Mkopaji anampa Mkopeshaji taarifa fulani binafsi jumla na haziengui haki na unafuu wowote unaotolewa kwa
ikiwa ni pamoja na lakini sio tu: jina, anwani, namba ya sheria.
simu, tarehe ya kuzaliwa, namba ya Kitambulisho/Namba ya 6.3. Cheti kutoka kwa Afisa wa Mkopeshaji kuhusu kiasi
Utambulisho ya Mlipakodi, taarifa za kipato, nakala ya hati cha mkopo kilichobaki chini ya Mkataba huu kwa sasa,
ya kitambulisho, jina na namba ya simu ya ndugu wa karibu kitakuwa, isipokuwa ikiwa kuna hitilafu dhahiri, ni cha
("Taarifa Binafsi"). mwisho na kitambana Mkopeshaji kisheria.
5.2. Kwa kusaini Mkataba huu, Mkopaji anakubali na 6.4. Ikiwa wakati wowote kifungu chochote cha Mkataba
kuidhinisha Mkopeshaji kukusanya, kuchakata, kuhifadhi na huu kitakuwa kinyume cha sheria, batili au kisichoweza
kuhamisha taarifa binafsi za Mkopaji na data zinazohusiana kutekelezwa kwa njia yoyote chini ya sheria, uhalali na
na maombi ya Mkopo, Mkopo, maelezo ya utekelezaji wa vifungu vilivyobaki vya Mkataba huu
Malipo/marejesho, kufuatiliwa kwa Mfumo wa mwongozo hautoathiriwa au kuharibiwa kwa njia yoyote.
kote duniani, Anwani ya Itifaki ya Mtandao, mtoa huduma 6.5. Wahusika wanakubali kwamba Mkataba huu
za mtandao wa simu, Mfumo wa Uendeshaji Kifaa husika, unajumuisha makubaliano yote kati ya wahusika juu ya
Mkopo na unachukua nafasi na kufuta makubaliano yoyote
ya awali, ahadi, maelezo, uthibitisho na maelewano ya aina
yoyote ambayo hayako katika maandishi juu ya Mkopo.
6.6. Hakuna marekebisho/maboresho ya Mkataba huu
yatakayokuwa na nguvu kisheria au kuwafunga wahusika
isipokuwa kama yako katika maandishi na kukamilishwa
ipasavyo na au kwa niaba ya wahusika.
6.7. Mkopaji anakubali kwamba Mkopeshaji anaweza
wakati wowote kurithisha na kuhamisha haki au majukumu
yake yote au sehemu ya haki au majukumu yake kwenye
Mkataba wa Mkopo kwa mtu yeyote. Bila idhini ya
maandishi kutoka kwa Mkopeshaji, Mkopaji hataweza
kurithisha au kuhamisha kwa mtu yeyote haki au majukumu
au faida zake zozote kwenye Mkataba wa Mkopo.
6.8. Mkataba huu utasimamiwa na sheria za Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, na migogoro yote inayohusiana na
Mkataba huu, kwa utashi wa Mkopeshaji, itatatuliwa ama
kupitia Mahakama yenye mamlaka husika au kwa njia ya
Usuluhishi. Ikiwa ni kwa njia ya usuluhishi, mgogoro husika
utashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria ya Usuluhishi, Na. 2
ya mwaka 2020.
6.9. Masharti haya ya Jumla ya Mkataba wa Mkopo
yanapatikana katika ofisi ya Mkopeshaji na yamewekwa pia
kwenye tovuti ya Watu Credit (Tanzania) Limited
< www.watuafrica.co.tz>. Toleo la Masharti ya Jumla
ambalo linaanza kutumika tarehe ya kutiwa saini Masharti
Maalum litatumika kwa Mkopaji.
Ombi la malipo kuhusiana na Mkataba wa Mkopo 3USP9RK3SC

Mkopaji Abrahaki Athumani Ramadhani anaomba Mkopeshaji, Watu Credit (Tanzania) Limited, kuhamisha kiasi kamili
kinachosadifu Bei ya Kifaa 335,000 TZS kuhusiana na ununuzi wa Simu Samsung A05 (A055F/DS) 64GB/4GB na Abdilahi
Omary.

Tarehe 28 Juni 2024

IMESAINIWA NA MKOPAJI Abrahaki Athumani Ramadhani

(JINA, JINA LA MWISHO/UKOO) (SAHIHI)

You might also like