Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

Kazi, Kusoma & Masomo ya kijami Kuhudhuria

(+ = Daima / - = Mara kwa mara)


Anaonyesha tabia ya maendeleo kwa: Qtr1 Qtr2 Qtr3 Qtr4 Qtr1 Qtr2 Qtr3 Qtr4
Kuonesha heshima Siku za
Kufanya udhibiti wa kujitegemea kuja
Kufanya kazi kwa ushirikiano na wengine Siku za
Kufuata Maelekezo
kukosa Shule za umma za St. Louis
Kutumia ujuzi wa kusikiliza
Kutumia wakati vizuri
Kuche-
lewa Kadi ya Ripoti
Kuon-
Kupanga vifaa vizuri
Kuchukua jukumu kwa vitendo
doka Darasa la nne
mapema
Kujihusisha vyama katika majadala ya darasani
2015 -16
Kukamilisha zoezi ya nyumbani
Mwanafunzi:

ID# ya Mwanafunzi :

Shule:
Maoni ya mwalimu
Teacher:

Ujumbe kutoka kwa msimamizi wa wilaya ya shule


Ninawashukuru kwa kuwa washirika katika elimu ya mtoto wako !
Ushiriki wako ni muhimu kwa mafanikio ya mtoto wako kitaaluma sasa.

Hati hii inatoa habari ya kukujulisha na kukusaidia katika kufanya


kazi na mtoto wako, mwalimu wa mtoto wako na shule ya mtoto wako.
Kama una maswali yoyote au wasiwasi kuhusu maendeleo ya mtoto
wako, tafadhali wasiliana na mwalimu wa mtoto wako au mwalimu
mkuu wa shule.
Dr. Kelvin Adams, Superintendent
Shule za umma za St. Louis

Sahihi:

Mwalimu: Mkuu:
Shule za umma za St. Louis Kipindi 1 Kipindi 2 Kipindi 3 Kipindi 4 KEY
Juhudi za Juhudi za Juhudi za Juhudi za Juhudi Maendeleo
Darasa la nne maendeleo maendeleo maendeleo maendeleo A= 90%+ E= Juhuda bora
Lugha B= 80%-89% S= Juhuda ya kuridhisha
C= 70%-79% P= Kuendelea
Anaongea ipasavyo katika majadiliano na maonyesho D= 60%-69% C= Eneo la wasiwasi
Anatumia ruwaza za herufi na mikakati fanisi F= Below 60%
Anaandika kwa ajili ya wanaohusika Malengo
Ana uwezo wa kujenga aya vizuri + = Daima - = Mara kwa mara
Anatumia mchakato wa kuandika
Kipindi 1 Kipindi 2 Kipindi 3 Kipindi 4
Anaandika kwa kutumia sarufi sahihi, matumizi na taratibu zake Sanaa
Juhudi za Juhudi za Juhudi za Juhudi za
Kusoma zinazohusiana Maendeleo maendeleo Maendeleo Maendeleo
Anasoma kwa ufasaha na usemi (Juu/katika/chini) kiwango cha darasa Sanaa
Anatumia msamiati kimkakati katika kiwango cha darasa Anafikiria kwa burifu na anatumia vifaa vya ufanisi
Anatumia rasilmali za habari (ikiwa ni pamoja na kamusi, elezo, Anaelewa dhana ya kubuni na msamiati
Theraurus na intaneti)
Anashiriki ipasavyo ili kuboresha ujuzi wa sanaa
Anatumia mikakati ya ufahamu
Anaheshimu wengine
Anasoma kwa hiari yake
Muziki
Hesabu
Anaimba bila usaidizi/pekee na nyimbo za sehemu mbili
Anatumia/aneleza mikakati ya kutatua matatizo ya kihesabu
Hufanya mijumo tofauti na utungo
Anatumia +, -, x na / ujuzi kwa usahihi Anaelewa dhana ya muziki na msamiali
Anajenga chati na grafu sahihi bila usaidizi Anashiriki ipasavyo katika maonyesho
Anaonyesha maarifa ya vipimo, muda na fedha Anaheshimu wengine
Anaonyesha uelewa wa jiometri Elimu ya kimwili &Afya
Sayansi Anashiriki katika tathmini ya mazoezi ya kimwili
Anajenga majaribio na maelezo Anashiriki katika michezo yaliyo gezeuwa
Anapanga na kujenga majaribio na kujibu maswali Anaonyesha uratibu
Anatumia zana ili kuchunguza, kupima na kukusanya takwimu Anaonyesha uriadha mzuri
Anawasiliana uchunguzi kwa kutumia maneno, picha, namba, Anaelewa dha ya afya
takwimu, meza na grafu
Anaelewa na natumia dhana ya sayansi
NOTI: Kama imealamishwa, mtoto wako atapata taarifa ziada kuhusu mpango ulioalamiswha
Masomo ya Kijamii
Anatafsiri mawazo ya msingi ya demokrasia □ Elimu ya kipawa □ Elimu Maalu □ Kiengereza kwa wasemaji wa lugha nyingine
Anachambua jinsi maamuzi kufanywa/kutekelezwa na serikali
Anasoma na kujenga ramani kadhaa
Anatofautisha kati ya asili rasilimali na rasilimali ya kiutu

KISWAHILI

You might also like