Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 8

OFISI YA RAIS TAMISEMI

ZANA YA KUTATHMINI KUMUDU STADI YA KUANDIKA


DARASA LA PILI MACHI, 2024

JINA LA MWANAFUNZI _______________________________MUDA, SAA 1:30

1.___________________________________________________
2.___________________________________________________
3.___________________________________________________
4.___________________________________________________
5.___________________________________________________

Unda maneno kwa kutumia silabi kwa kutumia silabi zifuatazo; (ka, ndi, je,cha, mbe)
6. A___ka ……………………………….
7. ___ ngu ……………………………….
8. Ng’o ___ ………….…………………...
9. sho_____ ……………….……………..
10. __nga …………..………………….

Andika kwa herufi kubwa


11. shamba
12. imara
13. Ubao
14. sukuma
15. ondoa
Onesha silabi zinazounda maneno yafuatayo (mf. Njoo = Njo +o)
16. Imba
17. Fyekeo
18. Ua
19. Asubuhi
20. Pua

Andika majina ya picha za vitu vifuatavyo;


21 _________________________

22 __________________________
23.

24

_________________________

25 ____________________________

Majibu
1. Tunaimbwa kwa shangwe
2. Wao wanacheza sana
3. Nitakutafuta leo
4. Simama hapo
5. Shule yetu inapendeza
6. A ndi ka
7. Cha ngu
8. Ng’o mbe
9. Sho ka
10. Je nga
11. SHAMBA
12. IMARA
13. UBAO
14. SUKUMA
15. ONDOA
16. I - mba
17. Fye – ke - o
18. U - a
19. A – su – bu - hi
20. Kelele
21. Paka
22. Simu
23. Mwamvuli
24. Chura
25. Kijiko

OFISI YA RAIS TAMISEMI


ZANA YA KUTATHMINI KUMUDU STADI YA KUSOMA
DARASA LA PILI MACHI,2024

JINA LA MWANAFUNZI _______________________________MUDA, SAA 1:30

1. Soma Konsonanti hizi (Alama 15)

u, ch, h, d, w, k, z, u, p, b, n, j,

s, r, m,

2. Soma silabi hizi (alama 30).

mwa, mbwi, ko, kwe, vyo, ka, nya, da, si, ku.

3. Soma maneno haya (alama 30).

Kimbia, wimbo, njoo, shamba, ruka

bubu, shangwe, bibilia, themanini, fedha.

4. Soma sentensi zifuatazo (alama 25).

i. Babu anafyeka msitu

ii. Ndege anaimba wimbo mzuri

iii. Baba yangu anamiliki mgodi mkubwa wa dhahabu

iv. Mahindi ni zao la chakula hapa nchini

v. Michezo kando ya barabara husababisha ajali.


MGAWANYO WA ALAMA

1. Tiki moja alama 1 (alama 15)

2. Tiki moja alama 3 (alama 30)

3. Tiki moja alama 3 (alama 30)

4. Tiki moja alama 5 (25 alama)


OFISI YA RAIS TAMISEMI
ZANA YA KUTATHMINI KUMUDU STADI YA KUHESABU
DARASA LA PILI MARCHI, 2024

JINA LA MTAHINIWA……………………………………………………

Andika sehemu zifuatazo kwa maneno (Alama 5)


1. 99__________________________
2. 869___________________________
Andika namba zifuatazo kwa tarakimu (Alama 5)
3. Mia tatu themanini_______________________
4. Mia nne ishirini na tatu =__________________
Andika Namba Inayokosekana (Alama 70)
5. 405, 510, 615, _______
6. 112, 113, 114, ___, 116, 117.
7.
Namba Mamia Makumi Mamoja
569 _________ _________ _______

8. 325 + 149 =___________________

9. 432 + = 454

10. +¿ 545
365 ¿

_________
_________

11. +¿ 332
27 ¿

_________
____________

12. 246 – 123= _________

13. ‒ 300 = 200


14. −¿640
84 ¿

_____
_______
15. Mama alinunua 700 kifaranga. Alimpatia Amina 250 vifaranga, Shaban 250
vifaranga na Joseph 200 vifaranga. Je mama alibakiwa na vifaranga wangapi?
_______________
16. Shule ilikuwa na wanafunzi wa kike 357 na wavulana 326. Je shule hiyo ilikuwa
na wanafunzi wangapi? ______________
Andika majina ya maumbo haya (Alama 10)
17.
=__________

18. =___________

Andika namba ya sehemu iliyotiwa kivuli (Alama 10)

19. =________

20. =_________
Majibu
1. Tisini na tisa
2. Mia nane sitini na tisa
3. 380
4. 423
5. 720
6. 115
7.

Namba Mamia Makumi Mamoja

569 500 60 9

8. 474
9. 22
10. 910
11. 359
12. 123
13. 500
14. 556
15. 0
16. 683
17. Duara
18. Pembe tatu
19. ¼
20. 3/4

You might also like