Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 4

© UNET EXAMS 0767 190 058 0754 452 285

SEHEMU A: MATENDO YA KIHISABATI (Alama 10)


NA.
SWALI KAZI JIBU
1. i. Tafuta jumla ya 56789 + 67899 =

ii. Tafuta thamani ya 36 ÷ 9 + 48 – 10 × 2

iii. Tafuta thamani ya Y ikiwa 12 : 13 : 15 = Y : 416 : 480

iv. 24 + 12

v. Tafuta thamani ya a =5

vi. Tafuta namba inayokosekana , , , _____

vii. Tafuta kipio cha pili cha 11

viii. Badili 6 % kuwa sehemu

ix. Rahisisha 3(w + p) – (2w – p)

x. Tafita kigawo kikubwa cha shirika cha 12, 15 and 18

SEHEMU B: MAFUMBO ( Alama 30)


2. i. Jumla ya watu 35840 kutoka katika vijiji vitatu; Nasungwi,
Mpweta, na Itobo walihudhuria kwenye mkutano wa
kampeni za uchaguzi. Ikiwa watu 15789 walitoka Itobo na
watu 11865 wa kijiji cha Nasubi, ni watu wangapi walitoka
katika kijiji cha Mpweta?

ii. Kuanzia mwaka 2000 mpaka 2004, idadi ya Pundamilia


iliongezeka katika mbuga ya taifa ya Mikumi kutokana na
mambo mbalimbali. Kuanzia mwaka 2000 mpaka 2003
idadi ya ya pundamilia waliorekodiwa ilikuwa kama
ifuatavyo; 572, 592, 612 na 632. Kwa kuzingatia mpangilio
wa namba, ni pundamilia wangapi walirekodiwa katika
mwaka 2004?

iii. Uzito wa bwana Boringo ni kg 17.37 zaidi ya uzito wa


rafiki yake Sangulo ambaye uzito wake ni kg 82.9. Nini
uzito sahihi wa bana Baringo?

iv. Gharama ya kitabu kimoja ni Sh. 1500 na senti 50. Ni


kiasi gani cha fedha nitatakiwa kulipa ili niweze
kupata jumla ya vitabu 4?

v. Urefu wa rula ya Juma ni sentimeta 10. Je, ni vipande


vingapi vyenye sentimeta 1/5 vinaweza kupatikana
kwenye rula hiyo?

© UNET EXAMS 0767 190 058 0754 452 285


vi. Redio inauzwa sh. 35,000/=. Ikiwa Mbonde atabadili
kiasi hiki cha fedha kuwa senti, atapata senti ngapi?

3. i. Mahenge alinunua kamba yenye urefu wa meta 16.


Alipanga kuikata katika vipande vyenye urefu wa meta
0.125 kila kimoja. Je, atapata vipande vingapi?

ii. Mfanyabiashara alipata jumla y sh. 1,480,000 baada ya


kuuza baiskeli 50. Ikiwa wateja wote walilipa kiasi sawa
kwa kila baiskeli, Nini gharama ya baiskeli moja?

iii. Basi ya Saratoga ilitoka Kahama Jumatatu saa 0245


kuelekea Lindi umbali wa km 1200. Ikiwa basi hilo lilifika
Lindi saa 10:00 jioni, je, lilichukua muda gani kutembea
umbali huo?

4. i. Nilitumia sh. 40,000/= kama moja ya tano ya mshahara


wangu kununua nguo. Pia nililipa sh. 52,500/= kutoka
kwenye mshahara wangu kulipia kodi ya nyumba. Je,
nilibakiwa na fedha kiasi gani baada ya kulipia vitu vyote
hivyo?

ii. Prince aliandika namba kubwa zaidi yenye tarakimu tano.


Ikiwa Shamsa aliandika namba inayofuata baada ya namba
aliyoandika Prince. Je, Shamsa aliandika namba gani?

iii. 3/4% ya mashabiki wote wa mpira wa miguu waliohudhuria


wakati wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga walikuwa
wanaume. Ikiwa mashabiki wote walikuwa 44000, ni
wanawake wangapi walikuwepo?

5. i. Ujazo wa jagi moja ni lita 3 na mililita 250. Ikiwa Juma


atabeba majagi 15 yenye maziwa ndani yake, je, atabeba
jumla ya mililita ngapi?

ii. Pamela ni mjasiriamali katika mtaa wetu. Alinunua bidhaa


kw a sh. 80,000/= kisha akauza bidhaa hizo kwa hasara ya
20%. Je, ni kiasi gani cha fedha atatakiwa kuongeza ili
anunue bidhaa nyingine mpya zenye garama ya sh.
100,000/=?
iii. Wastani wa uzito wa wagonjwa wanne waliofika hospitali
ulikuwa kg 540. Dokta Juma alisahau kurekodi uzito wa
mgojwa watano ambao ni kg 50. Nini ulikuwa wastani wa
wagonjwa wote watano

6.
i. Kimbo alilipa jumla y ash. 1812 ili kupata kalamu za risasi
50. Nini gharama halisi ya kalamu moja?

ii. Inahitajika watu 10 kulima shamba kwa siku 9. Je,


itachukuwa siku ngapi kwa watu 6 kulima shamba hilo
hilo?

iii. Ndege husafiri umbali wa km 560 kutoka saa 2:30 asubuhi


mpaka saa 3:10 asubuhi. Nini mwendo kasi wa ndege
katika kilometa kwa saa?

© UNET EXAMS 0767 190 058 0754 452 285


SEHEMU C: MAUMBO NA TAKWIMU (Alama 10)
7. i. Tafuta thamani sahihi ya herufi r katika mchoro ufuatao

ii. Eneo la msambamba MNOP ni sm2 48. Tafuta urefu


wa NP

iii. Lifuatalo ni tanki la maji la kaka yangu lenye kimo


cha m 5. Tafuta idadi ya lita za maji ambazo tanki
hilo linaweza kubeba. (Tumia Use π = and m3 1 =
L1000)

8. i. Grafu ifuatayo inaonesha kiasi cha mvua


kilichorekodiwa katika kituo cha hali ya hewa cha
Msimbazi kuanzia Jumanne hadi Ijumaa. Tafuta
wastani wa mvua iliyonyesha kwa siku.

ii. John ni mlinzi katika taasisi binafsi ambaye mshahara


wake ni sh. 80,000. Ikiwa atataumia mshahara wake
kama ilivyooneshwa kwenye mchoro hapo chini, Ni
kiasi gani cha fedh atatumia kwenye mengineyo?

© UNET EXAMS 0767 190 058 0754 452 285

You might also like