Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 4

GREDI YA 2

MTIHANI WA MWISHO WA
MUHULA WA KWANZA 2023
KISWAHILI SEHEMU YA B
1. Kusikiliza na Kuzungumza
2. Kusoma kwa sauti
Jina_________________________________________________
Shule________________________________________________
Gredi________________________________________________
Jinsia
Mvulana__________ Msichana_____________

KWA MATUMIZI YA MTAHINI


Tumia vigezo na viwango vya kuthaminia vilivyopewa kwenye mwongozo wa mwalimu.

ZOEZI KIWANGO
1. Kusikiliza na kuzungumza
2. Kusoma kwa sauti

Kuzidisha Matarajio Kufikisha Matarajio Kukaribia Matarajio Mbali Na Matarajio


31-40 ( 80-100%) 21-30(70-79%) 11-20(60-69%) 0-10(0-59%)

ZOEZI LA KWANZA: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA


SEHEMU YA KWANZA

 Jitambulishe kwa kusema jina lako __________________________________


Page 1
TCT MID TERM 2 2022 GRADE 2 KISWAHILI
 Kisha muulize mwanafunzi ajitambulishe kwa majina yake
kamili_____________________________________________________
 Unasomea shule gani? (mwanafunzi ajibu)
 Unasoma katika gredi gani? (mwanafunzi ajibu)
 Unapenda somo gani? (mwanafunzi ajibu kisha apeane sababu)
(alama 5)

SEHEMU YA PILI

i) Msomee mwanafunzi kifungi kifuatacho mara mbili.


ii) Mjulishe mwanafunzi kuwa atajibu maswali baada ya kusoma.

Karibu na kwetu kulikuwa na soko. Mvulana mmoja alikua akienda huko


sokoni. Mvulana huyo hakuwa akienda shuleni. Alizurura huko sokoni.
Alifanya kazi nyingi bila kulipwa. Alipewa chakula na wenye maduka.
Mvulana huyo alikwa mchafu.
Alivaa nguo zilizoraruka. Alilala nje ya duka moja huko sokoni. Alikuwa na
kidonda mguni. Watu walimuita ‘Kijana wa sokoni’. Watu wengine
walimtukana na kumpiga. Nilitaka kumsaidia lakini sikuwa na uwezo.
(mwalimu arudie)

 Karibu na kwetu kulikuwa na nini?___________________________________________


 Mvulana huyo alienda sokono kufanya nini?__________________________________
 Nani walimtukana na kumpiga huyo mvulana?__________________________________
 Taja haki moja ambayo mvulana huyo alinyimwa?______________________________
(alama 4)

ZOEZI LA PILI: KUSOMA KWA SAUTI


Ukiwa tayari kuanza tathmini sema;
“Sasa naomba unisomee kifungu hiki kwa sauti.”
Page 2
TCT MID TERM 2 2022 GRADE 2 KISWAHILI
(maneno 65 kwa dakika 1)

Dada yangu ni askari. Wakati wa harusi yake, watu wengi


walifika. Watu wa kijijini walitembea kwa miguu hadi eneo la
harusi. Wangine walitumia baiskeli na pikipiki. Mjomba
aliwashangaza watu. Alikuja amebebwa na punda. Watu kutoka
mjini walikuja kwa magari madogo, matatu na mabasi.
Baada ya harusi, ndege ilikuja na kutua uwanjani. Watu
walishangilia dada na mume wake walipoingia ndani ya ndege.
(alama 10)

ZOEZI LA TATU: MATUMIZI YA LUGHA


Andika maneno haya vizuri
a) aju_________________
b) njia_________________
c) zije_________________
Andika majina ya vifaa vya darasani

Tunga sentensi ukitumia maneno haya


Shule
Page 3
TCT MID TERM 2 2022 GRADE 2 KISWAHILI
_____________________________________________________________________________
__
Jani
_____________________________________________________________________________
__
Rinda
_____________________________________________________________________________
__
4. Andika majibu sahihi ya salamu
a) Hujamboo?______________________________________
b) Umeshindaje?______________________________________
a) Alamsiki?______________________________________
a) Shikamoo?______________________________________
4. Andika majibu sahihi ya salamu

a)
ZOEZI LA NNE: IMLA
Andika maneno utakayosomewa na mwalimu

1.______________________ 4______________________
2______________________ 5______________________
3______________________ 6_____________________

Page 4
TCT MID TERM 2 2022 GRADE 2 KISWAHILI

You might also like