Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

OFISI YA RAIS TAMISEMI

SHULE YA MSINGI KAHABWA

MTIHANI WA MWEZI JUNI 2024

HISABATI DARASA LA SITA

1. 42132 + 6694=
2. 88,544 – 21116=
3. 235 X 144=
4. 1365 ÷ 13=
5. 7.658 + 8.917=
6. 42.42 – 18.643=
7. 33.8 X 7=
8. 0.12 ÷ 0.006=
9. 269 + 1731 =
10. 12 - 4=
11. 12 X 4=
12. 1236 ÷ 4 =
13. Badili 1.25 kuwa asilimia
14. Badili 24% kuwa sehemu rahisi
15. Badili 4 kuwa desimali
16. Andika 989 kuwa namba za kirumi
17. Tafuta namba mraba ya 42.
18. Tafuta kipeuo cha pili cha 625
19. Orodhesha namba shufwa zote zilizopo kati ya 61 na 70.
20. Andika idadi ya namba witiri zilizopo kati ya 45 hadi 55
21. Andika namba tasa ambayo pia ni namba shufwa.
22. Tafuta K.D.S cha 8,24 na 32
23. Tafuta K.K.S cha 36,27 na 54
24. Andika namba inayofuata katika mfulilizo huu, 1,4,9,16,27_____
25. (-30) – (-50)=
26. Andika MDLXXXIX katika namba za kawaida
27. Rahisisha fungu lifuatalo. 8a + 6b – 2a – 4b=
28. Tafuta thamani ya x
5x + 10= 85.
29. 4 ⅘ ÷ 1⅕ =
30. Kadilia namba ifuatayo katika mamia ya karibu 23258
31. Mzingo wa mstatili ufuatao ni sm 120. Tafuta thamani ya Q

Sm Q

sm 30

32. Tafuta eneo la umbo hili

33. 3 – (6- -8) =

34. Tafuta eneo la mstatili ufuatao

Sm 10
Sm8

Sm 8
Sm 8

Sm15

35. Tafuta mzingo wa pembe tatu ifuatayo.

Sm26 sm32

Sm35

Sm 20

36. 6.25 ÷ 0.5 =


37. Adhuhuri huanza saa ngapi?
38. Siku moja ina jumla ya dakika ngapi?
39. Km m
5 250
X 4

40. Upendo alilala saa 2145 na kuamka 0630, je alilala kwa masaa mangapi?
41. Matu 2 hulima shamba la hekali 3 kwa siku 8 je watu 4 watalima shamba lenye ukubwa huo kwa siku ngapi?
42. Namba fulani ikizidishwa kwa 15 na nikajumlisha 10 jawabu litakuwa 100 je namba hiyo ni ngapi?
43. Diana alitumwa sokoni kununua vitu vifuatavyo. Viatu jozi 1@ 4000, soksi jozi 2 @ 500, viatu 2 @ 4500, na
magauni 2 @ 2500. Je jumla alitumia shilingi ngapi kununua vitu vyote?
44. 1.9 – 0.06 =
45. Zidisha Kg 8 gm 50 kwa 5

You might also like