Mwanachama wa Hazina SACCOS Ltd ni mtu Bidhaa Bora kwa wanachama.
anayechangia Akiba kila mwezi katika chama hiki. Je, mtu yeyote anaweza kuwa mwanachama wa Haki na usawa katika kuwa- HAZINA SACCOS LTD? hudumia wanachama. HAPANA ila ni mtu yeyote ambaye ni mtumishi wa wizara ya fedha na mipango na taasisi zake. Kupiga vita rushwa kwa nguvu zote. JINSI YA KUJIUNGA NA HAZINA SACCOS LTD: Kujaza fomu ya kujiungaa inayopatikana ofisi za Kushiriki kikamilifu HAZINA SACCOS LTD au kwenye tovuti iya Chama. katika shughuli za kijamii. Kulipa Ada ya kiingilio Tsh 50,000/= Kuendesha Saccos Kulipa angalau Hisa 25@ 20,000/= kwa misingi ya Uwazi na uwajibikaji. HUDUMA ZA KIFEDHA CHAMA CHA USHIRIKA Mwanachama anaruhusiwa kuweka Akiba (savings) Kuheshimu Usawa au kulipa deni la Hazina SACCOS Ltd kupitia Benki. wa jinsia katika Uon- WA AKIBA NA MIKOPO Malipo yoyote yanayofanyika kwa mwanachama huwa ni kwa njia ya Hundi.Au kwenye akaunti yake. gozi wa Saccos. (HAZINA) Wadau: Jina la Akaunti :Hazina Savings and Credit Society Wizara mbalimbali Tanzania Bara Ltd, Akaunti namba: 0150237286200 Benki ya Taasisi za fedha na DCB) CRDB, Tawi la Holland. 20106600494 Benki ya Mrajisi wa vyama vya Ushirika. NMB, Tawi la Bank House. SCCULT (1992) LTD TRA UKOMO WA UANACHAMA NSSF **Huduma Bora Kwa Wakati Na Riba Nafuu** Kuhamia Sekta au makampuni binafsi. NHIF Kuacha/kufukuzwa kazi Serikalini /Taasisi. WCF
KANUNI YA KUTAFUTA RIBA KWA MAWASILIANO NA MAELEZO ZAIDI, HAZINA SAVINGS
AND CREDIT RIBA =(P (N+1)r)/200 TAFADHALI WASILIANA NASI KUPITIA ANWANI IFUATAVYO: KIELELEZO: P- MKOPO MWENYEKITI, HAZINA SACCOS LTD, S. L. P 9111, SOCIETY LIMITED N- MUDA WA KUREJESHA MKOPO DAR ES SALAAM. R-RATES (0.84% Au 1.5%) Tel: 0222126431, +255 710 933 944 au +255 710 606 605 MAADILI YA HAZINA SACCOS Website: www.hazinasaccos.org Uadilifu na Uaminifu Hazinasaccos_tz Hazina saccostz Kutoa Huduma nzuri na zenye ubora kwa Hazinasaccostz info@hazinasaccos.org REG: DRS No.1822 wanachama. hazinasaccos23@ gmail.com www.hazinasaccos.org Umoja na Ushirikiano. Huduma zitolewazo: HAZINA SACCOS NI NINl? Mkopo wa Elimu 1. Upokeaji na Utunzaji Akiba na Hisa Ni Ushirika wa Akiba na Mikopo kwa ajili ya kuinua Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 5,000,000 kustawisha na kuboresha hali za Wanachama Utunzaji wa Akiba na kutoza riba ya 0.42% Muda wa kurejesha wake. Chama hupokea na kutunza Akiba za wanachama mkopo ni miezi 24. Fomu hupokelewa kuanzia kupitia makato kwenye mshahara ,au mwanachama Tarehe 1-20 ya kila mwezi. Historia anaweza kulipia bank kiasi chochote Zaidi ya makato Ushirika huu ulianzishwa mwaka 1972 ikiwa na anayokatwa katika mshahara wake, aidha chama wanachama 100 na kusajiliwa rasmi tarehe Mkopo wa Mazishi 21.03.1973 ikiwa na wanachama 250. kinalipa 1%-5% ya Akiba za mwanachama alizow- Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh. 3,000,000 eka kwa mwaka. na kutoza riba ya 0.42%% muda wa kurejesha ni Dira Utunzaji wa Hisa miezi 24, mkopo huu hutolewa pale mwanachama Kuwezesha na kuboresha Ushirika wa Akiba na anapokuwa amefiwa Baba, Mama, Mtoto, Mume Mikopo ambao utatoa huduma za kifedha ili kukidhi Chama hupokea hisa za msingi na hisa za hiari. matarajio ya wanachama. Mwanachama anaruhusiwa kupunguza au au Mke. kuhamisha hisa za hiari. Dhamira. Mkopo wa Sikukuuu Kuwa na Ushirika wa fedha wenye nguvu kwa Hazina Saccos inatoa mikopo ya aina mbalimbali. Kiwango cha juu cha mkopo huu ni 500,000/= na kukidhi mahitaji ya wanachama kwa huduma na Mkopo wa Dharura. kutoza riba ya 0.84%. Muda wa juu wa kureje- mazao. Mkopo wa Dharura 2. sha mkopo huu ni miezi 6 Hutolewa kwa sikukuu KWANINI NIJIUNGE HAZINA SACCOS? Mkopo wa Tulizamoyo. za krismasi, Pasaka na Idd El-fitri. HAZINA SACCOS inatoa huduma bora kwa Mkopo wa Elimu. wakati na riba nafuu. Mkopo wa mazishi. Mkopo wa Maendeleo Mkopo wa sikukuu Kiwango cha juu cha mkopo huu ni mara tatu (3) Hazina SACCOS ni chama imara ambacho ya Akiba na kutoza riba ya 0.84%. Muda wa kimekaguliwa na Shirika la Ukaguzi (COASCO) Mkopo wa maendeleo. na kupata Hati inayoridhisha kwa miaka mitano Mkopo wa biashara. kurejesha ni miezi 12 - 60 Hutolewa mwishoni mfululizo. Mkopo wa ujenzi mwa mwezi na fomu hupokelewa kuanzia tarehe Mkopo wa standing order 1-20 ya kila mwezi. Hazina SACCOS hutoa huduma bora kwa wakati Mkopo wa Viwanja. kama. Mkopo wa dharura Mkopo wa Biashara Mikopo ya Dharura. Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 5,000,000/= Kiwango cha juu ni mara tatu (3) ya Akiba na kuto na kutoza riba ya 1.5% kwa mwezi. Muda wa juu za riba ya 0.84%.kwa mwezi Muda wa marejesho Mikopo ya kulipia Ada kwa mwanachama,mtoto ni miezi 12-60. Fomu huanza kupokelewa kuanz- au tegemezi yeyote anayemuhusu mwanachama. wa marejesho ni miezi 12, mkopo huu unatolewa ndani ya masaa 24 baada ya kukamilisha taratibu za ia tarehe 1-20 ya kila mwezi. Mikopo ya kufanyia Maendeleo ya Biashara au maombi. Ujenzi. Mkopo wa Ujenzi Mkopo wa dharura 2 Kiwango cha juu ni mara 3 ya akiba na riba Kukopa kwa ajili ya huduma za misiba kwa wale Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 10,000,000/= ya 0.84% Muda wa marejesho ni miezi 12-60 fomu wanaowahusu wanachama wa hazina Saccos. na kutoza riba ya 1.5% kwa mwezi. Muda wa juu hupokelewa kuanzia tarehe 1-20 ya kila mwezi. wa marejesho ni miezi 24, mkopo huu unatolewa Mikopo ya viwanja. ndani ya siku 7 baada ya kukamilisha taratibu za Mkopo wa utaratibu wa Bank (Standing Order) maombi. Inalipa riba kwenye Akiba za wanachama. Kiwango cha juu ni Tsh 20,000,000.00 na kutoza Mkopo wa Tulizamoyo riba ya 1.5% muda wa kurejesha ni miezi 36 fomu Inatoa gawio kwa wanachama baada ya Kiwango cha mkopo huu ni kuanziaTsh 300,000/= hadi hupokelewa kuanzia tarehe 1-20 ya kila mwezi. kupitishwa na Mkutano Mkuu Tshs 1,000,000/=. Bila Riba Inatoa Elimu ya Uhirika kwa wanachama wake Ghalama za kuchakata mkopo ni 5% za kiwango cha Mkopo wa Viwanja mkopo. Hutegemea na taratibu zitakazowekwa na chama kwa wakati huo.