Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

KANISA LA MENNONITE TANZANIA

Dayosisi ya Kaskazini
Jimbo la Newland
S.L.P 124 Moshi - Kilimanjaro, Tanzania.
Simu: +255 686 564 097 Email:kmtnewland@gmail.com
Tarehe: …………………….

MWECAU,
S.L.P 1226,
MOSHI-KILIMANJARO.

YAH: MAOMBI KURUHUSIWA YA KUFANYA MITIHANI YA MWISHO WA


MWAKA (UE) KWA MWANAFUNZI TUMSIFU ANSET MINDE

Shalom, Pokea salamu za Upendo kutoka Kanisa la Mennonite Tanzania,


Tafadhali husika na kichwa cha barua hapo juu,

Uongozi wa Kanisa tunaleta kwako Ombi la kuruhusiwa kufanya mitihani ya mwisho (UE)
kwa kijana Tumsifu Anset Minde mwenye namba ya usajili T/DIP/2022/0076 ambaye yupo
ngazi ya stashahada masomo ya usimamizi wa Biashara (Business Administration) ambaye ni
mmojawapo wa vijana ambao wanafadhiliwa na Kanisa, Kijana huyu ni kati ya vijana zaidi ya
180 ambao wanaishi katika mazingira magumu na wanasaidiwa na Kanisa La Mennonite
Jimbo la Moshi.
Tunatambua kwamba tumechelewesha kulipa ada yake ya mwisho ambayo ni kiasi cha Tsh.
440,000/= tunaomba kuilipa fedha hii tarehe 12/07/2024, tunaomba radhi kwa usumbufu
huu ambao tunaufanyia kazi kwa karibu ili kuhakikisha tunalipa kwa wakati.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa msaada wako katika jambo hili, Mungu wa
Mbinguni akubariki kwa ushirikiano wako .
Wako katika huduma

………………………………..
Anton Saidi Aungo
antonsaidiaungo@gmail.com

255 686 564 097

You might also like