GRREAT Programme Brief (Swahili)

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

TUWA

OJA W
M

PA

EZ
ESHE WAS
IC
HA
NA

Mpango wa Kuongeza Kasi ya


Afya ya Uzazi, Haki na Uwezeshaji
Wasichana nchini Tanzania
(GRREAT)

Mpango wa Uwezeshaji Wasichana


Nchini Tanzania (Bara na Zanzibar), umri wa balehe ni kipindi kinachoambatana na hatari zaidi kwa wasichana, hasa kwa wale
waishio katika mazingira magumu, jambo linaloonyesha umuhimu wa kuongeza na kuendeleza miitikio (hatua za) ya kuimarisha
ujinsia na afya zao za uzazi, haki na maendeleo yao. Mashirika ya Global Affairs ya Canada, Shirika la Umoja wa Mataifa la
Kuhudumia Watoto (UNICEF) na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) yanashirikiana ili kusaidia Serikali za
Tanzania na ile ya Mapinduzi Zanzibar, vyama ya kiraia, jamii, wazazi na walezi, na wasichana na wavulana balehe kukabiliana dhidi
ya changamoto za vijana balehe nchini Tanzania na Zanzibar.
Mpango wa Kuongeza Kasi katika Afya ya Uzazi, Haki na Uwezeshaji wasichana nchini Tanzania (GRREAT) ni mradi wa miaka
mitano unaotekelezwa na UNICEF na UNFPA kwa msaada wa kifedha kutoka Shirika la Global Affairs la Canada. Ushirikiano huu wa
miaka mitano ulioanza Aprili 2019 na utakaoendelea hadi Machi, 2024 unalenga mikoa ya Mbeya na Songwe kwa Tanzania Bara na
wilaya zote za Unguja na Pemba katika Visiwa vya Zanzibar.
GRREAT si programu inayojitenga na nyinginezo. Afua zilizo katika mradi huu zimejikita katika mipango ya Serikali katika sekta
mbalimbali na inalenga kuimarisha mifumo ya taifa, mikoa na jamii. Ujumbe mkuu uliochaguliwa na vijana balehe na wadau kwa
ajili ya mradi huu ni “Pamoja Tuwawezeshe Wasichana”, ambapo unaangazia ushirikiano katika sekta na mashirika mbalimbali kwa
lengo la kufikia uwezeshaji wa wasichana balehe.
UNICEF ndio taasisi inayofanya Usimamizi na Uratibu katika Programu hii ya Pamoja ya Umoja wa Mataifa.

Nadharia ya Mabadiliko
Wasichana balehe walio hatarini zaidi na wanaoishi katika mazingira magumu zaidi nchini Tanzania wawe na afya njema, wenye
lishe sahihi, wanaolindwa, walioelimishwa na kuwezeshwa na kufurahia haki zao kadiri wanavyokua kuingia kwenye utu uzima

Ili kuleta mabadiliko haya, wasichana


01 balehe wanapaswa kuwa na 02
aina hizi nne za mitaji:
MITAJI YA AFYA MITAJI YA ELIMU

Uelewa/Mitazamo kuhusu na upatikanaji wa Kujua kuhesabu na kuandika, ujuzi


huduma za ujinsia na afya ya uzazi, maarifa/ unaofaa kwa kazi kama vile ujasiriamali,
mitazamo kuhusu maisha bora, ujuzi kuhusu stadi za maisha, kuhitimu elimu ya
huduma za matunzo ya watoto (kwa akina mama sekondari, ujuzi wa ufundi (kujiandaa kwa
walio katika umri wa balehe), ujuzi kuhusu tabia soko la ajira), ujuzi wa usimamizi, ujuzi wa
sahihi za lishe bora na njia za kuzuia vitendo vya kuweka mipango, n.k.
ukatili n.k.
04
03
MITAJI YA KIJAMII MITAJI YA KIUCHUMI

Akiba, uwezo wa kifedha ili kupata huduma,


Kujiamini, stadi za maisha (zikiwemo
mtaji wa kuzalisha au kuendesha shughuli za
mawasiliano, kufanya mapatano, n.k.), kuwa
kiuchumi, kuweka malengo ya kifedha, ujuzi
na marafiki wanaojenga na wenye mitazamo
wa bajeti na kutumia fedha vizuri, kuweka
chanya, mifumo ya usaidizi ya familia na
limbikizo la akiba n.k.
jamii, n.k.
Ili wasichana balehe wapate mitaji hii minne, mabadiliko yatahitajika katika:

Mifumo na huduma (hasa katika Tabia za wasichana na wavulana Sera na utengaji fedha
ngazi za taasisi, jamii na shule) ili balehe na wengineo, kama vile (katika ngazi kuu na za
kutatua masuala yanayohusu wazazi, wanarika na wanajamii uraghabishi) ili kuwanufaisha
ujinsi, afya ya uzazi na haki za hasa wasichana balehe
wasichana balehe
TUWA
OJA W
M

PA

EZ
Matokeo Yanayokusudiwa

ESHE WAS
Vipengele vya programu & mantiki ya afua (mpango/mradi) hii IC
HA
NA
Kundi linalolengwa katika jamii:
Kuna mkazo mkubwa wa kiprogramu katika kutatua na kuimarisha masuala ya usambazaji na uhitaji wa huduma na upatikanaji na
utumiaji wa huduma za ujinsia na afya ya uzazi na haki za vijana balehe (ASRHR) katika namna zinazotoa mwitikio wa moja kwa Wasichana na wavulana balehe Wasichana na wavulana balehe Wasichana balehe
moja kwa mahitaji ya wasichana balehe. Programu hii inasaidia mifumo ya serikali katika ngazi zote (taifa, mikoa na wilaya), wanaofikiwa na taarifa zinazohusu waliofikiwa na huduma za ASRHR wanaojishughulisha na fursa hizi
kuimarisha uwezo wa kitaifa wa kukusanya, kuchambua na kutumia takwimu zilizoimarishwa za ASRHR, lishe na maeneo ASRHR na lishe: na lishe: kufanya majaribio na kuandaa
yanayohusiana. Suala mtambuka katika nguzo zote tatu kuu za programu – kuimarisha mifumo, kuzalisha uhitaji wa ASRHR na Watoa elimu rika 3,350 Vijana balehe Katika jamii: 180,000 ufumbuzi wa teknolojia ya kisasa na
huduma za lishe na utoaji ushahidi wa uzalishaji kwa ajili ya kupata fedha, kutunga sera na kuleta uwajibikaji, kutakuwa na mkazo 200,000 (kupitia elimu na mwongozo Katika vituo vya afya: 50,000 usio wa kiteknolojia dhidi ya
katika kuelewa na kutatua kaida za kijamii na kiutamaduni na tabia zinazosababisha vikwazo katika kupaaza sauti, uchukuaji hatua katika kundi rika) Vijana balehe changamoto za SRHR na lishe:
Mashuleni: 60,000 10,500
binafsi, na upatikanaji wa haki za wasichana balehe kupitia shughuli za kiubunifu zinazolenga mawasiliano kuhusu jamii na 85,500 (kupitia vilabu na kampeni za
mabadiliko ya tabia pamoja na uwezeshaji. redioni)
Katika kipindi chote cha utekelezaji wa programu hii, mkakati mkuu ni nafasi ya wasichana balehe kama wakala wa mabadiliko.
Programu hii inalenga kuimarisha uwezo wa wasichana balahe kupaaza sauti ili kutoa maoni yao kuhusu matatizo wanayokabiliana
nayo na vilevile kutoa fursa za kutengeneza na kutekeleza ufumbuzi wao wenyewe wa kiubunifu utakaotatua masuala
yanayowahusu kuhusiana na ASRHR. Wanaume na wavulana watakaoshiriki katika programu hii wanaaswa kuwa mfano katika
kuheshimu na kuhamasisha haki za wanawake na wasichana.

Vijana balehe waliopewa rufaa Wasichana balehe wanaoshiriki


kwa ajili ya vitendo vya ukatili katika programu za ruzuku
kuhusiana na ujinsi, afya ya ndogondogo za kifedha ili
uzazi, na jinsia na huduma za kuimarisha shughuli za
lishe: 30,000 kiuchumi: 2,500

Mantiki ya hatua (afua) katika programu hii:

MATOKEO YANAYOKUSUDIWA Maofisa Wafanyaka Wazazi / Viongozi wa Walimu


jamii wa zi walio Walezi dini na
Kuimarika kwa ujinsia na afya ya uzazi, haki na ustawi miongoni mwa wasichana balehe katika wilaya afya / watu katika vituo wanajamii
23 za mikoa ya Mbeya na Songwe na Zanzibar nchini Tanzania wa kujitolea vya afya

Kuimarisha usambazaji na uhitaji wa huduma zinazozingatia Kuimarisha msingi wa ushahidi ili kuleta
MATOKEO YA KIPINDI CHA KATI

jinsia za utoaji na matumizi ya ASRHR mipango na utekelezaji wenye ufanisi zaidi Eneo la kijiografia: Washirika:
katika masuala ya ASRHR

Zanzibar: Wizara ya Afya, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya


Upatikanaji mkubwa zaidi wa Kuongezeka kwa uwiano katika Kuongezeka kwa matumizi Amali, Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake
huduma bora zinazokidhi mahitaji matumizi ya huduma kamili za ujinsia, makubwa zaidi ya ushahidi na Watoto, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa
kamili ya vijana balehe ya ujinsi afya ya uzazi na lishe kwa wasichana wa kiutafiti katika kupanga na Idara Maalumu (PORALGSD), Wizara ya Vijana, Utamaduni
na afya ya uzazi na lishe katika balehe waliowezeshwa katika wilaya sera za utoaji fedha na na Michezo (MOYCAS), Tume ya Kudhibiti UKIMWI Zanzibar,
wilaya zote zote uwajibikaji katika utoaji wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, vituo vya redio vya kijamii
huduma kamili zinazokidhi
mahitaji ya vijana balehe za Bara: Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
ujinsi, afya ya uzazi na lishe Watoto (MOHCDEGEC), Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
kwa upande wa taasisi za Zanzibar (MOEST), Taasisi ya Elimu Tanzania, Tume ya Kudhibiti UKIMWI
serikali katika ngazi ya kitaifa Tanzania, Mfuko wa Kupunguza Umaskini Tanzania (TASAF),
na katika wilaya zote Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG),
Songwe Mbeya Kituo cha Chakula na Lishe cha Tanzania (TFNC), Sekretariati za
Mikoa na Mamlaka za Mabaraza (Mbeya na Songwe), Mashrika
Yasiyo ya Kiserikali na vituo vya redio za jamii
MATOKEO YA SASA

Kuimarika kwa Upatikanaji Kuongezeka kwa Kuongezeka kwa Kuongezeka kwa upatikanaji
ujuzi miongoni mkubwa zaidi wa maarifa na ujuzi ushiriki na wa ushahidi wa kiutafiti
mwa watoa mahitaji kuhusu ujinsi na ubunifu kuhusu ufumbuzi kamili
huduma kamili yanayokidhi kwa afya ya uzazi na unaofanywa na unaozingatia mahitaji ya
za ujinsia, afya vijana balehe lishe miongoni wasichana na vijana balehe ya ujinsi na afya
ya uzazi na lishe katika huduma mwa wasichana wavulana balehe ya uzazi na lishe kwa ajili ya
kwa vijana za ujinsi, afya ya na wavulana katika programu uandaaji sera, kuhamasisha Muda wa utekelezaji: Mawasiliano:
balehe uzazi na lishe bahele za ujinsi, afya ya upatikanaji wa fedha kutoka
uzazi na lishe vyanzo vya ndani na kuleta
uwajibikaji katika ngazi za 1 Aprili 2019 hadi daressalaam@unicef.org
kitaifa na mikoa 31 Machi 2024
Hali ya Vijana Balehe Nchini Tanzania
Maisha yanabadilika kwa takribani wasichana na wavulana balehe1 milioni 13.2 wanaoishi nchini Tanzania –
huku sehemu kubwa ikiwa ni mabadiliko mazuri – lakini bado kuna matatizo mengi, hasa yanayowakabili
wasichana balehe wanaoishi katika mazingira magumu zaidi.

Viwango vya mimba na ndoa za utotoni nchini Tanzania viko juu.


Wasichana balehe wenye umri Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye viwango vya juu Kuongezeka kwa uwezo wa kuzaa
kati ya miaka 15–19 ambao tayari kabisa vya ndoa za utotoni duniani.2 Miongoni mwa miongoni mwa vijana balehe (kwa
wamekwishaanza kuzaa: wasichana wenye umri wa miaka 20–243: kila wasichana balehe 1,000):

5.2% 30.5%
waliolewa waliolewa
23% TDHS 2010 wakiwa na wakiwa na 116 132
umri wa miaka 18 TDHS 2010 TDHS 2015/16
miaka 15
27% TDHS 2015/16

Wakati ambapo kuenea kwa VVU kwa ujumla kumepungua Eneo lingine linalofikirisha ni kuenea kwa
nchini Tanzania, kuenea kwa VVU miongoni mwa vijana vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na
balehe bado hakujapungua. wasichana nchini Tanzania.
Mwaka 20184 : Uelewa mpana kuhusu VVU miongoni Miongoni mwa wasichana balehe wa umri
mwa vijana wa umri wa miaka 15–19 kati ya miaka 15–196:
Vijana balehe uko chini 5
93,000 walikuwa
wakiishi na VVU 22% 11%
36.8% 41.9% wamepitia ukatili wamewahi
zaidi ya vijana balehe Wasichana Wavulana
wa kimwili tangu kufanyiwa
wapya 11,000 wakiwa na umri ukatili wa
waliambukizwa VVU wa miaka 15 kingono

Mzunguko wa hedhi huchukuliwa Upungufu wa damu na ukosefu wa lishe Matokeo duni katika elimu kwa
kama mwiko nchini Tanzania. sahihi vinatishia kuwa sababu kuu za wasichana husababisha
kutokuwepo kwa maendeleo jumla kwa gharama za kijamii na
Mazingira duni ya afya na usafi
wasichana balehe. kiuchumi kwao wenyewe na
wakati wa hedhi mashuleni:
kwa jamii.
Kuongezeka kwa
upungufu wa damu 42% TDHS 2010 Viwango vya ufaulu katika
Huwatia Huchangia Husababisha miongoni mwa Mitihani ya Kuhitimu Elimu ya
wasiwasi na katika utoro mafanikio wasichana balehe Msingi (Bara)9:
kuwadhalilisha wa kila duni darasani/ kati ya miaka 15–19: 47% TDHS 2015/16
wasichana mwezi shuleni
balehe Uwiano wa kimo na uzito (BMI) chini ya 18.5 70.9%
17% (wembamba uliopitiliza) kwa wasichana Wasichana
ya wasichana hukosa shule balehe wa umri kati ya miaka 15–198:
kwa sababu zinazohusiana Hakuna
na mzunguko wa hedhi mabadiliko
(maumivu, woga, kukosa 18% TDHS 2010
katika 74.8%
taulo za kike na kutokuwepo Wavulana
kwa mazingira rafiki ya usafi 18%
na maji shuleni)7 18% TDHS 2015/16

1 4 7
Tanzania NBS 2018 population projection for UNAIDS HIV Estimates 2019 (Makadirio ya NIMR, 2020, Menstrual Hygiene Management Situation among schoolgirls in Tanzania
2020 (Makadirio ya idadi ya watu kwa mwaka VVU kwa 2019) (Huduma Wakati wa Mzunguko wa Hedhi kwa Wasichana Walio Mashuleni nchini Tanzania)
5 8
2020 ya NBS Tanzania). HIV/AIDS and Malaria Indicator Survey, TDHS 2015/16
2 9
Girls Not Brides, 2017 (Ni Wasichana, Si 2011–2012, pg96 (Utafiti wa Viashiria vya Basic Education Statistics of Tanzania (BEST) 2018 (Takwimu za Msingi za Elimu nchini
Wachumba) VVU/UKIMWI, 2011–2012, uk. 96 Tanzania)
3 6
TDHS 2015/16 TDHS 2015/16

You might also like