Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 4

BRAINMASTER TANZANIA

MAMBA YA MTAHINIWA
JINA LA MTAHINIWA:
SHULE :
WIDWA : MKOA:
REG. 525530 MAWASILIANO: 0764316155 KAGEMBE HAMIS MGALULA (SIR HAMIS)
BARUA PEPE :Kagembemgalula@gmail.com DAR ES SALAAM - SINZA
SERIES NO.3 MTIHANI WA DARASA LA SABA 2024
URAIA NA MAADILI TAREHE MUDA

SEHEMU A: (Alama 20) :


1.Chagua jibu sahihi katika machaguo (a,b,c,d,e),kuoanisha na kukamilisha jibu katika nafasi
iliyoachwa wazi kwa kuchagua jibu katika sanduku ulilopewa
i. Bainisha maelezo yasiyo kweli kuhusu muundo wa serikali ya muungano wa Tanzania;
(a) utawala, bunge na mahakama (b) Rais ndiye mkuu wa nchi na ndiye mkuu wa serikali
(c) makamu wa Rais huchaguliwa pamoja na Rais
(d) kama Rais atatokea Tanzania bara, waziri mkuu lazima stoke Zanzibar
(e) bunge hutunga sheria na kumchagua spika
ii. Uhuru wa kujieleza ni sifa ya demokrasia. Je, huhusisha shughuli zipi kati ya zifuatazo?
(a) uwazi (b) uchaguzi huru na wa haki (c) uhuru wa kutoa maoni
(d) ushirikishwaji (e) kujiunga kwenye vyama vya siasa
iii. Ni hatari kiasi gani kwa msichana kukubali lifti ya gari kwa mtu asiyemjua?
(a) kufeli mtihani (b) unyanyasaji wa kingono (c) kuchukiwa na wavulana
(d) kutokuwa watulivu (e) kuvunja ungo mapema
iv. Vitendo vifuatavyo husaidia kutunza urafiki katika jamii. Kipi ambacho sio kweli?
(a) kujituma katika kazi (b) kushiriki katika michezo (c) michango
(d) kufanya kazi pamoja (e) kushiriki katika shughuli za kijamii
v. Kati ya maelezo yafuatayo, lipi linaloelezea; kifo cha rnpendwa wetu, kutiwa jela,
unyanyasaji wa kijinsia na utengano wa familia?
(a) matatizo ya kidini (b) changamoto za kimaisha (c) ukandamizaji katika uongozi
(d) majanga ya asili (e) majanga yasiyo ya asili
vi. Musa alipanga lengo la kuwa bora katika mtihani. Katika kujiandaa aliaza na lipi kati ya
yafuatayo?
(a) kupanga (b) kutathmini (c) kuongeza muda
(d) kuorodhesha changamoto (e) kujadili
vii. Matumizi mabaya ya rasilimali za umma yamebainishwa kwa vitendo vifuatavyo isipokuwa;
(a) matumizi mabaya ya riguvu (b) matumizi sahihi ya fedha (c) ulaghai na rushwa
(d) watumishi wa kiroho (e) upendeleo wa kikabila
viii. Mazingira yapi yanayosababisha mtoto mmoja kujikuta kiongozi wa familia?
(a) tabia mbaya ya mtoto (b) kazi (c) sera ya serikali (d) utajiri (e) vifo[
ix. Ni chombo kipi katika shule chenye mamlaka ya kuandaa, kuidhinisha na kuweka mipango
sahihi ya utekelezaji wa maendeleo ya shule?
(a) kamati ya nidhamu (b) kamati ya taaluma (c) wakuu wa idara
(d) kamati ya shule (e) serikali ya wanafunzi
x. Miongoni mwa vitu vifuatavyo ni kipi kinachosababisha rushwa katika jamii?
(a) kodi (b) umasikini (c) ujinga
(d) kazi za serikali (e) demokrasia

BRAINMASTER TANZANIA CONTACT 0764316155


)d. Taasisi ipi inayopeleleza wahalifu na baadaye kuwakamata na kuwapeleka watuhumiwa
mahakamani baada ya upelelezi?
(a) jeshi la zima moto (b) jeshi la magereza (c) jeshi
(d) jeshi la polisi (e) uhamiaji [ ]
xii. Kati ya vitu vifuatavyo kipi kinachoonesha mtu bora, mwanninifu na mwadilifu?
(a) mtekelezaji wa ahadi (b) kuwa makini (c) kuandaa ratiba
(d) kuua wanafiki (e) kuonesha hisia [ ]
xiii. Kati ya changamoto zifuatazo ni ipi inayohitaji uvumilivu maishani kwani haina matarajio ya
utatuzi?
(a) uhaba wa kazi (b) uhaba wa mtaji (c) upofu
(d) umasikini (e) magonjwa milipuko kama Covid 19 [ ]
xiv. Ni sura ipi ya katiba ya sasa inayoelezea muundo wa nchi ya Tanzania kama jamhuri ya
muungano, watu, ujamaa na kujitegemea?
(a) 5 (b) 4 (c) 3 (d) 2 (e) 1 [ ]
xv. Ni lini Tanganyika na Zanzibar zilikuwa Jamhuri? [ ]
(a) 1/12/1965 (b) 12/12/1963 (c) 7/4/1964 (d) 26/4/1962 (e) 26/4/1964
2. Oanisha vipengeie vya ORODHA A inayoonyesha mwaka ambao marais wafuatao wa Tanzania walikua rais
na lie ya ORODHA B inayoonyesha maana yake
sin ORODHA A )1BIJ ORODHA B

. u ius am arage yerere


i. 1962

ii. 2015 B. Ali Hassan Mwinyi

iii. 1995 C. Benjamin William Mkapa

iv, 2005 D. Jakaya Mrisho Kikwete

1985 E. John Pombe Magufuli

BRAINMASTER TANZANIA CONTACT 0764316155


3. Chagua jibu sahihi katika kisanduku kukamilisha sentensi hapo chini

Diwani wa kata Katibu, mtendaji wa wilaya, Mkurugenzi mtendaji wa wilaya


Afisa mtendaji wa kata Afisa ustawi wa jamii wa wilaya ,mwalimu mkuuMwalimu
wa taaluma

i. Katibu wa halmashauri ya wilaya


ii. Mratbu wa shughuli kwa lengo la kukabiFana na rnagonjwa rnbalimbali ndani ya wilaya

iii. Mwakilishi wa wananchi katika vikao vyote vya kata

iv. Msajili wa taarifa zote za vizazi na vifo ngazi ya wilaya

v. Husimamia shughuli zote za shule


SEHEMU VA B:MAJIBU MAFUPI (alama 20)
4.Angalia mchoro ulio chini kisha ujibu maswali

a) Je, nguzo ya serikali yenye herufi A inaitwaje?


b) Eleza dhima moja ya nguzo ya serikali iliyo na herufi A

c) Kuna tofauti gani Kati ya sehemu ya barua yenye alama na Bunge?

d) Kuna umuhimu gani wa kuwa na utawala bora?

e) Eleza kwa nini dernokrasia haiwezi kupatikana bila mgawanyo wa madaraka?

5. a) Kwa nini Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni mjumbe wa baraza la mawaziri wakati yeye si waziri?

b) Je, ni katika rnazingira gani Bunge linaweza kumuondoa Rais madarakani?

BRAINMASTER TANZANIA CONTACT 0764316155


c) Eleza jinsi watu wa eneo hilo wanalipa kodi isiyo ya moja kwa moja kwa serikali.

d)Ni mnyama gani kati ya alama za Tanzania?

e)Tambua vyakula viwili vya asili vya jamii ya Wamasai

ii
SEHEMU C: TAFSIRI YA MCHORO (Mama 10)
6. Angalia bendera za vyama vya siasa Tanzania na ujibu maswali yanayofuata.

MASWALI

a. Je, ni wenyeviti gani wa vyama vya siasa ambao bendera zao zimeonyeshwa kwa herufi C?

b. Orodhesha faith mbili za kupitisha mfumo wa vyama vingi?


i.

i. Je, watu wa imani na itikadi tofauti wanawezaje kuishi pamoja kwa upatano?

iv. Andika kwa kirefu chama cha siasa kinachoongoza serikali ya Tanzania?

V. Unawezaje kuandika kwa kirefu CHADEMA?

BRAIN MASTER TANZANIA CONTACT 0764316155

You might also like