Professional Documents
Culture Documents
Kil Anja
Kil Anja
Kil Anja
2024
JUMLA 220,000.00
TOTAL 287,000.00
4 MAONI/MAPENDEKEZO NA MALENGO
I, MAONI
Kuwepo na utaratibu wa pesa zote za makato ya NSSF yafanyike makao makuu
(HQ), Ili kuepusha usumbufu
II,MALENGO
a) kuongeza juhudi kubwa katika kupambana kudai madeni ,hasa madeni ambayo ni sugu.
Hili litasaidia kupunguza au kuondoa kabisa uwepo wa madeni sugu katika ofisi
b) kuongeza wateja wapya,ili kuchochea ongezeko la mapato ya ofisi
c) Kupambana kushika nafasi ya kwanza katika kituo chetu katika miezi ya usoni.