Professional Documents
Culture Documents
Taarifa Ya Mwezi September 2023
Taarifa Ya Mwezi September 2023
Taarifa Ya Mwezi September 2023
PROFIT
Baada ya matumizi, faida iliyopatikana ni Tzs. 5,167,773/= hii imepatikana baada ya kutoa
matumizi yote yaan mishahara, posho ya chakula na matumizi mengineyo.
CHANGAMOTO
I. Moja ya changamoto ambayo tumeipata kwa mwezi huu ni kwa baadhi ya wteja wetu
kutolipa kwa wakati kiasi husika cha rejesho nah ii ni kutokana na sababu mbalimbali kama
vile ucheleweshwaji wa pensheni kwa wastaafu, pili baadhi ya wateja kutolipa kwa makusudi
kama vile kuvuta kutoka katika akaunti zao kwa kutumia simbanking.
II. Pili tatizo la komputa limekua likituchelewesha kumaliza baadhi ya kazi kwa wakati, mfano
uwepo wa komputa moja nayo ikawa na tatizo la kuharibika kwa kioo (display)
DIRA/MAONO
A. Dira kubwa iliyowekwa katika kukuza mapato ndani ya ofiisi ya mbozi ni Pamoja na kufanya
kazi kubwa katiaka kukusanya madeni sugu angalua kwa asilimia 80 kwa mwezi wa kumi
ukilinganishwa na mwezi uliopita.
B. Pili kuhakikisha mapato yanapanda Zaidi kutoka kwenye kiasi cha sasa mpaka kufikia kiasi cha
mil. 24 au zaid kwa mwezi ujao wa kumi.
C. Kuhakikisha tunaongeza wateja wengi wapya Zaidi ndani ya huu mwezi wa kumi ili kutimiza
lengo la kuongeza kipato Zaidi.
MAPENDEKEZO
Kwanza kabisa ningeomba utusaidie computer moja na monitor moja kwasababu kwa tuliyonayo ina
shida
Pili tunaomba msaada wa meza mpya moja sababu hii tuliyonayo ni mbovu inaweza kuanguka muda
wowote
Tatu nah ii ni kutoka kwa baadhi ya wateja wetu, Naomba tuzidi kuangalia mifumo mizuri Zaidi ya
ukopeshaji kwa ofisi zote katika za Goldgiver ili tuweze kulinda wateja wetu hasa kwa wale ambao
ni wazuri na wanatamani kubaki katika ofisi zetu lakini kwa namna moja ama nyingine wamekua
wakihamia katika ofisi zenye riba ndogo kutokana na kupunguza riba.
na hii ni baada ya wao kuonyesha nia ya kutaka kuendelea kubaki ndani ya ofisi yetu.
MWISHO; nipende kutoa shukurani za dhati kabisa kwa kuendelea kutuamini, kazi inafanywa
vizuri kabisa kutokwa kwa maafisa mikopo wote na ushirikiano ni mzuri sana, hivyo tunaendelea
kuhakikisha tunalinda wateja wetu na kuongeza kipato Zaidi na mwezi huu tutahakikisha
tunapanda Zaidi tofauti na mwezi jana
ASANTE.