Taarifa Ya Mafanikio Ya Shirika La Mzinga

You might also like

Download as ppt, pdf, or txt
Download as ppt, pdf, or txt
You are on page 1of 26

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU

SHIRIKA LA MZINGA

TAARIFA YA MAFANIKIO YA SHIRIKA LA


MZINGA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA
KUMI YA UONGOZI WA AWAMU YA NNE
1

UTANGULIZI
Shirika la Mzinga lilianzishwa kwa ushirikiano kati
ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China
mnamo mwaka 1971 kama mradi chini ya Makao
Makuu ya Jeshi (MMJ).
Kuanzia tarehe 13 Septemba mwaka1974, mradi
ulibadilishwa kuwa Shirika la Umma (Public
Corporation) kwa Tamko la Serikali No.219.

DIRA NA DHIMA YA SHIRIKA LA MZINGA

DIRA YA SHIRIKA

Dira ya Shirika la Mzinga ni kuwa kiwanda cha


kisasa cha Kijeshi kinachotengeneza
vifaa/zana bora kwa ajili ya ulinzi na usalama
wa Taifa.

DHIMA YA SHIRIKA
Kutafiti, kuendeleza na kutengeneza
silaha, risasi na milipuko ya kijeshi, kiraia
na kutoa ushauri wa kitaalam.

MUUNDO WA SHIRIKA LA
MZINGA
BODI YA WAKURUGENZI

MENEJA MKUU
MZINGA HOLDING CO.LTD
PMU

USALAMA UKAGUZI

UHANDISI

UZALISHAJI

UZALISHAJI
B

SHERIA

UTAFIFITI NA
MAENDELEO

ZIMAMOTO

UTAWALA

MIPANGO

FEDHA

BIASHARA

MAFANIKIO YA SHIRIKA

KIBIASHARA
Katika kipindi cha miaka kumi cha Serikali ya Awamu
ya nne Shirika la Mzinga limeendeleza shughuli zake
za kibiashara katika maeneo ya:
- Baruti na viwashio vya kiraia
- Silaha na risasi za kiraia
- Samani za maofisini na majumbani
- Vifaa vya kihandisi
- Shughuli za ujenzi kupitia Kampuni yake Tanzu ya
Mzinga Holding n.k.

Katika kujitanua zaidi katika biashara ya


milipuko, silaha na risasi za kiraia, Shirika
limeweza kufungua vituo vinne zaidi vya
mauzo kama ifuatavyo:- Mererani
- Arusha
- Shinyanga
- Mpanda
Kwa Shirika la Mzinga haya ni mafanikio
kwa kuweza kusogeza huduma zake kwa
wananchi.
7

Shirika la Mzinga liliamua kuwekeza katika


uimarishaji wa uwezo wa kutengeneza
samani nyingi na bora kwa wakati mfupi.
Shirika lina mashine za kisasa ambazo
zinatumia program za kompyuta ambazo
zinawezesha uzalishaji kuwa bora na wa
haraka.
Hii hasa ilitokana na agizo la Serikali katika
kuachana na matumizi ya samani
zinazotoka nje ya nchi ambazo hazina
ubora.
8

Kwa kutumia uwezo uliopo, Shirika liliamua


kuanzisha kitengo cha uundaji wa mashine. Hii
ilikuwa ni kuitikia kauli mbiu ya Serikali ya Kilimo
Kwanza. Shirika lilianzisha utengenezaji wa
mashine za kuchakata mazao na kurahisisha
shughuli za kilimo. Lengo lilikuwa kuwawezesha
wakulima kuuza mazao yaliyoongezewa thamani
Kama vile Mashine za kusaga na kupukuchua
nafaka, Mashine za kusaga na kuchanganya
chakula cha mifugo.
Pia Shirika linatengeneza mashine za kutengeneza
matofali na za mbao kuitikia wito wa Serikali wa
kuongeza ajira
9

VIPURI VYA MASHINE

MASHINE YA KUKOBOA NAFAKA

MASHINE YA KUPUKUCHA MAHINDI

MASHINE YA KURANDA MBAO

MASHINEYA KUCHANGANYA CHAKULA CHA MIFUGO

12

MASHINE YA UMEME YA KUTENGENEZA MATOFALI

13

SHOTGUN
14

RIFLE
15

PISTOL

16

MILIPUKO YA KIRAIA

SAFETY CAPED FUSE

ELECTRIC DETONATOR

18

UANZISHAJI KAMPUNI TANZU


MZINGA
HOLDING
Katika kipindi cha Serikali ya awamu ya nne,
Shirika limeweza kufungua Kampuni Tanzu
inayoitwa Mzinga Holding Co Ltd.
Kazi za Kampuni hii ni:Ujenzi wa majengo, barabara na madaraja
Usambazaji wa bidhaa mbalimbali
Kilimo cha kisasa (mechanized agriculture)
Ushauri wa kitaalamu (consultancy services)
19

Lengo la kuanzishwa kwa Kampuni hii ni


kulipatia mapato Shirika la Mzinga ili
kupunguza utegemezi wa ruzuku kutoka
Serikalini.
Kazi zilizokwishaanza ni:- Ujenzi
- Usambazaji
- Ushauri wa kitalamu
20

Eneo linalokua kwa kasi ni eneo la ujenzi.


Miradi iliyokwisha patikana na kukamilika ni
- Soko la Kemondo Bukoba vijijini
- Hostel ya masista wa Mtakatifu Thereza
Kashozi Bukoba.
- Ujenzi wa majengo ya Airforce Station
Mwanza
- Ukarabati wa nyumba 40 za kambi ya Kitangiri
Mwanza
- Ujenzi wa Kiwanda cha maji cha Bunena
Bukoba na miundombunu yake
21

- Ujenzi wa daraja la Mabwepande


Kinondoni Dar es Salaam
- Ujenzi wa nyumba za Halmashauri ya
Masasi
- Ujenzi wa jengo la utawala la Hospitali ya
Wilaya ya Morogoro
- Ujenzi wa uzio wa Halmashauri ya
Manispaa ya Morogoro n.k.

22

MAFANIKIO YA SHUGHULI ZA UTAFITI KUPITIA


USHIRIKIANO NA TAASISI ZINGINE

Shirika limeingia maelewano na taasisi


zifuatazo katika shughuli za utafiti na
maendeleo: COSTECH
CoET
CAMARTEC
TIRDO n.k.
Lengo ni kupata teknolojia za kurahisisha
utendaji kazi katika shughuli mbalimbali
23

SHAMBA LA MPUNGA NA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

BWAWA LA MAJI YA KUMWAGILIA SHAMBA LENYE UJAZO WA


9,000 m3 (9,000,000 ltr)

25

IMETOLEWA NA SHIRIKA LA MZINGA


TAREHE 12 OKTOBA 2015

26

You might also like