Download as pptx, pdf, or txt
Download as pptx, pdf, or txt
You are on page 1of 4

Nyakati

- Wakati ni kipindi fulani cha muda.


- Kwa kawaida kuna wakati wa mchana na wakati wa usiku.
- Mchana huanzia jua linapochomoza hadi linapozama.
- Kipindi cha usiku huendelea hadi jua linapochomoza.
- Katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, kipindi cha mchana huchukua saa kumi na
mbili sawa na kile cha usiku.
- Kwa jumla mchana na usiku huwa na saa ishirini na nne.

Mchana Usiku
* Kipindi cha masaa ishirini na nne ni siku moja.
Siku Moja inaweza gawika katika sehemu sifuatazo.
Mapambazuko(Dawn)
Adhuhuri(12pm-3pm Afternoon)
Alasiri(3pm-6pm)(evening)
Magharibi(Sunset)
Asubuhi(Morning)
Usiku wa maanane(Midnight )
Alfajiri (Early morning)
Jioni(Dusk)
Jua la kati(mid day)
SIKU ZA WIKI
>>Wiki moja au juma moja lina siku saba.
i) Jumatatu(monday)
ii) Jumapili(Sunday)
iii) Jumamosi(Saturday)
iv) Jumanne(Tuesday)
v) Jumatano(Wednesday)
vi) Alhamisi(Thursday)
vii) Ijumaa(Friday)
Mipangilio Ya Siku

 Leo------Today
Leo------Today

 Kesho______Tomorrow
Kesho______Tomorrow

 Kesho
Kesho kutwa__________Day
kutwa__________Day afterafter tomorrow
tomorrow

 Jana--------------------Yesterday
Jana--------------------Yesterday

 Juzi
Juzi ________A
________A day
day before
before yesterday
yesterday

 Juma/wiki
Juma/wiki moja
moja lina
lina siku
siku saba.
saba.

 Majuma/wiki
Majuma/wiki manne
manne ni
ni sawa
sawa nana mwezi
mwezi mmoja
mmoja

 Siku
Siku thelathin
thelathin huwa
huwa sawa
sawa nana mezi
mezi mmoja.
mmoja.

 Miezi
Miezi kumi
kumi nana mbili
mbili huwa
huwa sawa
sawa na
na mwaka
mwaka mmoja.(A
mmoja.(A Year)
Year)

 Miaka
Miaka Kumi
Kumi Huwa
Huwa sawa
sawa na
na Mwongo
Mwongo mmoja(Decade)
mmoja(Decade)

 Miaka
Miaka mia
mia moja
moja au
au miongo
miongo kumi
kumi huwa
huwa sawa
sawa na
na Karne
Karne Moja
Moja (century)
(century)

 Miaka
Miaka elfu
elfu moja
moja ni
ni sawa
sawa au
au huitwa
huitwa –Milenia(Millenium)
–Milenia(Millenium)

7siku/ Days 1 wiki moja/Week

Miezi/months 12 1 year/mwaka

Miaka/year 10 1 decade/ mwongo

Miaka /years 100 1 century/karne

Miaka /years 1000 1 milenia / millenium

You might also like