Download as pptx, pdf, or txt
Download as pptx, pdf, or txt
You are on page 1of 4

VIASHIRIA RADIDI PAMOJA NA NGELI

Adabu na Heshima
 Adabu ni tabia au hulka njema.
 Mambo haya mawili adabu na heshima huonyesha thamani ya utu
na kuleta uhusiano mwema.
>> Mifano ya baadhi ya maneno ya adabu na heshima
 Kujifungua  Nashukuru  Bi
 Tafadhali  Simile  Kongole
 Asante  Nisaidie  Hongera
 Tamawali  Naomba  Endesha
 Mjamzito  Makiwa
 Kwenda haja  Marehemu
 Samahani  Mheshimiwa
 Kunradhi  Bwana

1/12/22
Vivumishi Vya pekee: ote-o-ote
Ote - Kivumishi hiki hutoa maana ya kitu kizima au bila kuzalia.
Mifano katika sntensi
>Kitabu chote Kimeandikwa
>Uli wote umeumia
O-ote- Hutoa maana bila kubagua au kuchagua.
>>Mifano
<<Niletee muwa wowote niutafune
>>Mwalimu anamwita mwanafunzi yeyote.
>> Mama anataka kiti chochote
<<Seremala alitumia mbao wowote.
>> Kusoma kokote kulimfaidi mwanafunzi.
Matumizi Ya Ote na o-ote pamoja nangeli
Ngeli Nomino/Jina -ote O-ote
A Ng’ombe Wote Yeyote
WA Ng’ombe wowote
U Mti Wote Wowote
I Miti Yote yeyote
KI Kiti Chote Chochote
VI Viti Vyote vyovyote
LI Jani Lote Lolote
YA Majani Yote yoyote
U Ulezi Wote Wowote
YA Malezi yote yoyote
YA Mafuta Yote Yoyote
YA Mafuta Yote Yoyote
I Nguo Yote Yoyote
ZI Nguo Zote zozote

You might also like