Download as pptx, pdf, or txt
Download as pptx, pdf, or txt
You are on page 1of 21

HISTORIA YA UISLAM

NI JAMBO MUHIMU SANA KUTUMIA MUDA


WETU KATIKA SEMINA HIZI ILI KUPITIA
MADA HII KWA MAKUSUDI MUHIMU TU YA
KUWA NA MTAZAMO WA PAMOJA KATIKA
NYANJA HII YA HARAKATI ZA UTUME
INAYOHUSISHA MATUMIZI YA QUR –AN

Pr Dominic Mapima – AMR Co ordinator ETC


MAPITIO YA MADA/UCHAMBUZI.

 - MAANA YA ISLAM

 - MJI WA MAKA KABLA YA UISLAM

 - UTUME WA MUHAMMAD NA
 MWANZO WA UISLAM

 - MAFUNDISHO YA UISLAM FARSAFA


 IMANI NA MATENDO
MAANA YA ISLAM

NI NENO LA KIARABU LENYE MAANA YA


KUJISALIMISHA MBELE YA MAPENZI
MWENYEZI MUNGU – SUBMISSION
BEFORE THE WILL OF ALLAH’
MJI WA MAKKA KABLA YA UISLAM

Sirahisi kutaja imani ya Uislam bila kutaja


Mji wa Makka,mji huu ndicho kitovu
halisi na chimbuko la imani ya Uislam
kwa ujumla lakini pia ndiko aliko zaliwa
kiongozi wa Uislam na mtume wao
Muhammad (SAW), kitabu cha historia
katika Uislam kinaelezea Mji huu
sambamba na jamii ya Waarabu
waliotawala eneo hilo na mwenendo wao
wa imani.
 Maisha ya Nabii Muhammad (SAW). Shekhe Abdallah Saleh Farsy-
Zanzibar
 Printed by: Mulla Karimjee Mulla Muhamed Bahai Po Box 175
Zanzibar.
Kupitia rejea za kitabu hii nitatoa maelezo ya jumla ya kipengele hiki kama
ifuatavyo:-Uk 3, sura ya kwanza inaeleza:-
Na Bwana Hashimu ameitwa hivyo (baada yakuwa akiitwa
Amir) kwaajili ya ukarimu wake mkubwa aliyokuwa
akiufanya pindi ilipoingia njaa katika Nchi ya Hijaz. …Na
Bwana Abdul Muttalibu ndiye aliye ndiye aliyechimba
kisima cha zam zam ambacho mpaka leo kinatumika….Na
katika miaka yake ya mwisho aliingia katika chama
cha watu kidogo waliokuwa wakikataa watu kulewa,
kuzika watoto wao wanawake wangali hai na kuabudu
masanamu. Na zama za ujumbea wake aliwakataza watu
kutufu (kuzunguka Al Kaaba ) bila ya nguo baada ya
kuwa wakitufu bila ya nguo wake kwa waume;
wakiitakidi kuwa nguo ni litu kinachopata uchafu,
kwahivyo hakistahiki kuvaliwa wakati wa ibada
MATENDO YA KIPAGANI YA WAARABU HAO
- Ulevi
Kufanya ibada ya kutufu (kuzunguka Al Kaaba) bila ya
nguo kwa imani kwamba nguo hushika uchafu hivyo
haistahiki kuvaliwa wakati wa ibada.
Kuzika watoto wao wa kike wangali hai.
Kuabudu masanamu
Qur an 53:16-20 kilipoufunika mkunazi huo
kilichoufunika (katika mambo ya kiajabu ya
kimbinguni) 17,jicho halikuhangaika wala kuruka
mpaka (uliowekewa). 18, kwayakini aliona (Nabii
Muhammad) katika alama (Qudra). Za Mola wake. 19,
Je mumewaona Lata na Uzza. 20, Na Manata, (mungu
wenu) mwingine wa tatu, ( kuwa ndiyo waungu hao
badala ya Mwenyezi Mungu)?
WAARABU NA IBADA ZA MIUNGU
Mwaka 570 BK ni mwanzo wa historia mpya kwa jamii hiyo ya
Waarabu, katika mwaka ndipo alipozaliwa mtume Muhammad kama
tunavyosoma katika kitabu hichohicho cha maisha ya Muhammad:-
Maisha ya Nabii Muhammad Uk 4 / Shekhe Farsy.
Kf; kuzaliwa kwa Nabii Muhammad na Maisha ya Utoto
wake/Paragrafu ya sita.
Palepale alfajiri alipokwisha kuzaliwa Mtume, alikwenda kuitwa
babu yake kumwona mjukuu wake. Babu huyu alifurahi sana, na
akamfunika maguo mjukuu wake, akajikongoja naye mpaka
kwenye Al Kaaba. Akafungua mlango. Akaingia nae ndani,
akasimama anamwombea dua kwa mashairi mazuri ya kiarabu
aliyoyatunga mwenyewe wakati ule ulekisha akarejea naye, jua
bado halijachomoza.
Haikuwa rahisi kwa Muhammad kukwepa mazingira hayo ya kiibada
yaliyotumiwa na Makureshi hao, Babu yake alikwenda na
Muhammad katika Al Kaaba japokuwa kwa wakati huo Al Kaaba hiyo
ilikuwa ikitumiwa na wapagani hao na ilikuwa imejaa Masanamu
zaidi ya “360”.
Malezi ya Muhammad
Baba yake Muhammad alifariki pindi Muhammad
angali tumboni miezi nane, na ndipo mama yake
Muhammad alichukuliwa na kwenda kuishi kwa
shemeji yake Abdul Mutalib na baada ya mwezi
mmoja ndipo alipomzaa Muhammad, katika mtaa wa
Ban Hashim.

Muhammad alizaliwa Alfajiri Jumaatatu, Mwezi wa 12


mfunguo sita katika Mwaka 570, mama yake aliitwa
Amina na baba yake aliitwa Abdallah
( maisha ya Muh; Uk 5 paragrafu ya 4).
Maisha Ya Muhammad uk 16, Sura ya Nne /Paragrafu ya
tatu-Nukuu chini:-
Hata siku moja katika mwezi wa Ramadhani mwezi 17, jumaatatu
katika mwaka wa 40 unusu wa umri wake-Mtume alimwona mtu
kamsimamia mbele yake bila ya kumwona wapi katokea,
akamwambia ‘Soma’ Mtume akajibu mimi sijui kusoma kwani
sijapata kujifundisha kusoma” Akaja akamkamata akambana,
akamwambia tena ‘Soma’ Mtume akajibu jawabu yake ile ile.
Hata mara ya tatu akamwambia “Soma”-Iqraa Bismi Rabbik”
akamsomea sura hiyo 96 mpaka kati yake kasha mtume
akaisoma kama alivyosomewa.(HII NDIYO SURA YA KWANZA
KUSHUKA INGAWA HAIJAWEKWA MWANZO)
Mara yule mtu (Malaika) akaondoka machoni mwake
asimwone kenda wapi. Na Mtume akarejea kwake hofu
imemshika. Alipofika nyumbani bibi Khadija alidhani na
homa, akamfunika maguo gubigubi akakaa mbele yake
akimsikiliza anavyoweweseka. Hata homa ilpomwachia
alimweleza bibi Khadija yote yaliyomtokea, bibi huyu
akamtuliza moyo wake na akamyakinishia kuwa hapana
lolote baya litakalo mzukia. Mara bibi huyu akaenda
kwa jamii yake – Bwana Waraqa bin Naufal akampa
habari yote iliyompata mumewe. Naye akamwamrisha
amwite. Na mtume akaenda akamweleza habari yake
yote. Bwana Waraqa akamwambia huyo ndiye Jibril
aliyemshukia Nabii Musa na Nabii Isa. Basi jibashirie
kuwa wewe ni Mtume wa Umma huu.
Fuatilia chati hii ndogo ya miaka na matukio katikl

Mwaka Tukio

570-571- BK, April


Mfunguo sita Kuzaliwa kwa Muhammad.

610 BK- Dec-17-


Ramadhan Kuletewa utume wake na mafunuo ya
awali.

620 BK- febr-


Mfunguo pili Kutangaza Uislam Taifu na
kukataliwa/kupigwa.

622 BK- April – Kuhama na kwenda Madina/Mwanzo wa


Mfunguo nne Uislam.
Qur an 12:20 Na wakamuuza kwa thamani pungufu kwa
pesa(kidogo tu hivi) za kuhisabika, na hawakuwa na haja
(ya kumueka wakiogopa wasije jamaa zake kumtafuta huko).
‘
Fafanuzi’ aya 19-20/ sherehe –maelezo
ya ziada ya mtafsiri.
Unaona kuuzana kulikokuwako zaidi ya
miaka 4000 kabla ya kuja dini ya Kiislam
aliyokuja nayo Nabii Muhammad, khalafu
wakausingizia Uislam kuwa ndiyo
uliyokuja na kuuza watu.
KUHOJI UTUME WA MUHAMMAD
HOJA ZA MSINGI.
 KIUMBE ALIYEMTOKEA HAKUJITAMBULISHA.
 WARAGHA BIN NAUFAR NDIYE ANAYEMWELEZA KUSUDI LA
TUKIO HILO, WAKATI MITUME WENGINE MUNGU
ANAWAJULISHA HAPO HAPO KUSUDI LAKE
 Qur 20:11-13….(Ewe..Musa..)…Nami nimekuchagua kuwa mtume
basi yasikilize unayoletewa (yanayofunuliwa kwako
 Kutoka Kutoka 3:1-15…..
______________________________________________________
 Qur an pia inadai kuwa katika utume wa Muhammad Mungu
alikuwa ni shahidi tu.
 Qur 4:79 Nasi tumekupeleka kwa watu kuwa mtume na Mwenyezi
Mungu ni shahidi.
 Jibril siyo aliyeshiriki maana imesema nasi” Qur 2:97..jibril ni
mmoja laki ni aya inasema Nasi...ni wengi.
 Mathayo 11:13 Utabiri mwisho kwa Yoha pekee.
IMANI NA MATENDO KATIKA UISLAM
UISLAM UMEJENGWA KATIKA MITAZAMO NA IMANI
MBALIMBALI KATIKA DINI HIYO ..TUPITIE BAADHI.
- Kabla ya yote hebu kwanza tuone muundo wa Uislam.

Qur an 30:30 Basi uelekeze uso


wako katika dini iliyo sawa sawa
- Ndilo umbile Mwenyezi
Mungu amewaumbia watu;
(yaani dini hii ya Kiislam
- Sheria ya ulaji
Rejea: Mkweli mwaminifu uk’ 266-2667

- Uharamu wa Mbwa’
The Book ‘ Halal wal Haram Uk 137

 Anachofanyiwa Marehemu
Rejea; mkweli Mwaminifu UK 188
CHIMBUKO LA QUR-AN
VISA VINAVYO TOFAUTIANA MAELEZO
- KUJENGWA KWA MNARA WAKATI WA FARAO..
 QUR 28:38
 MNARA NI WAKATI WA NIMRODI...MWZ 10:32
 MWANZO 11:6

- SAFINA YA NUHU/ WALIOKOLEWA WOTE


MWANZO 7:1-7
MTOTO MMOJA WA NUHU ALIKUFA QUR 11;42-43
- KISA CHA YUSUFU NA MKE WA AKIDA WA
 FARAO POTIFA
 BIBLIA KUTOELEZA ZAIDI BAADA YA
YUSUFU
 KUTOKA GEREZANI

QUR AN INAONGEZA MAELEZO QUR 12:31


VISA VYA KUICHUNGUZA QUR AN

- QUR 33:32 -------KULEGEZA SAUTI WANAWAKE

- QUR 33:53 ------KUNGOJEA CHAKULA KIIVE

- QUR 33;37 .......MUHAMMAD KUOA MKE WA


 MTOTO WA KUFIKIA

You might also like