Download as pptx, pdf, or txt
Download as pptx, pdf, or txt
You are on page 1of 22

MTAALA WA GREDI YA NANE

KAULI KIINI

Somo la Kiswahili:
• Litampa mwanafunzi wa Shule ya Junia umilisi katika
shughuli za kila siku.
• Litajenga haiba yake pamoja na uwezo wake wa
kuwasiliana na kuhusiana na jamii.
• Litamwendeleza kielimu na kumwandaa kwa
ulimwengu wa kazi.
KAULI KIINI …

• Litampa mwanafunzi hamasa ya kumudu na kufurahia


lugha na fasihi kwa kuzihusisha na tajiriba na mazingira
yake.
• Litampa mwanafunzi maarifa ya kijamii na
kitamaduni.
• Litamwezesha mwanafunzi kujieleza na vilevile kupata
fursa ya kutoa huduma kwa jamii.
MADA NA MADA NDOGO
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA KUSOMA
Kusikiliza na kujibu - Mahojiano Kusoma kwa ufahamu

Kusikiliza kwa kina-kutamka silabi na Kusoma kwa mapana-matini ya


maneno kujichagulia
Tungo za fasihi- hadithi;visasili na
Kusoma kwa kina-Tamthilia
mighani
Mazungumzo mahususi- maamkuzi na
Kusoma Ufupisho
maagano

Kusikiliza kwa kufasiri Kusoma kwa ufasaha

Aina za mazungumzo - ya papo kwa


papo, kutumia vidokezo, kusikiliza
husishi
MADA NA MADA NDOGO
SARUFI
Aina za maneno- aina za viwakilishi Udogo wa nomino

Ngeli na upatanisho wa kisarufi: I-ZI,I-


I,U-YA, Viakifishi- alama ya hisi, ritifaa,
mtajo na mshazari
Nyakati na hali- hali ya mazoea na
timilifu
KUANDIKA
Vinyume vya maneno- vitenzi na vielezi
Insha za kiuamilifu- barua ya
Aina za sentensi- changamano kuomba kazi,hotuba

Mnyambuliko wa vitenzi- Insha za kubuni- masimulizi,


kutendeka,kutendewa na kutendatenda mdokezo, maelezo

Ukanushaji- hali ya mazoea na timilifu Kuandika maelekezo


USOMAJI WA TAMTHILIA

• Katika Gredi hii wanafunzi wanasoma Tamthilia.


• Hii ni kwa sababu vitabu hivi vya kusoma SIO vitabu
teule vya fasihi au setbooks kama vinavyojulikana.
• Vitabu hivi ni vya kumwandaa mwanafunzi katika somo la
fasihi katika daraja la juu shule za upili.
• Ni muhimu kukumbuka kuwa ni vitabu tu
vilivyoidhinishwa na KICD vinavyopaswa kusomwa katika
gredi hii. Vitabu hivi vinapatikana katika tovuti ya KICD na
kimeandikwa gredi lengwa.
MATOKEO MAALUM YANAYOTARAJIWA
Mada Mada Ndogo Matokeo Maalum Yanayotarajiwa

1.3 Kuandika 1.3.1 Viakifishi Kufikia mwisho wa mada ndogo,


mwanafunzi aweze:
 Alama ya hisi a) kutambua matumizi ya alama ya hisi
 Ritifaa na ritifaa katika matini,
b) kutumia alama ya hisi na
ritifaa ipasavyo katika matini,
(Vipindi 2) c) kuonea fahari matumizi yafaayo ya
alama ya hisi na ritifaa katika matini.
MGAO WA VIPINDI

a)Kipindi cha kwanza: Alama ya hisi (kutambua


matumizi ya alama ya hisi katika matini,kutumia
alama ya hisi ipasavyo katika matini)
b)Kipindi cha pili: Ritifaa (kutambua matumizi ya
ritifaa katika matini, kutumia ritifaa ipasavyo katika
matini)
MGAO WA VIPINDI KATIKA MTAALA

• Mtaala huu una vipindi vinne (4) kwa wiki.

1.Kipindi cha kwanza - Kusikiliza na kuzungumza


2.Kipindi cha pili - Kusoma
3.Kipindi cha tatu - Kuandika
4.Kipindi cha nne - Sarufi
• Mtaala mzima umepangwa kwa
kuzingatia wiki 30 kwa mwaka.
• Kijumla, mtaala huu utatekelezwa kwa
vipindi 120
MBINU ZA UJIFUNZAJI ZA KIMABADILIKO
• Kushiriki
mazungumzo,shug • Kutafiti maktabani,
huli za ujifunzaji • Mijadala darasani
kuuliza maswali
kabla na baada ya
kusoma
1) Ujifunzaji wa 2) Ujifunzaji wa 3) Mijadala
kimazungumzo kiuchunguzi iliyopangwa

• Matumizi ya vifaa vya • Kufanya


kidijitali katika
utabiri,kuhusisha
ufunzaji wa
sauti,ufahamu wa walichojifunza na
kusikiliza hali halisi maishani

4) Ujifunzaji 5) Kujifunza kwa


mseto- kutafakari
UHUSIANO WA SWALI DADISI NA MADA
Mada Mada Ndogo Matokeo Maalum Maswali Dadisi
Yanayotarajiwa Yaliyopendekezwa
1.3 Kuandika 1.3.1 Viakifishi Kufikia mwisho wa mada ndogo, 1. Je, alama ya hisi
mwanafunzi aweze: huonyesha hisia
 Alama ya hisi a) kutambua matumizi ya alama zipi?
 Ritifaa ya hisi na ritifaa katika matini, 2. Je, alama ya
b) kutumia alama ya hisi na ritifaa hutumiwa
ritifaa ipasavyo katika matini, vipi katika
c) kuonea fahari matumizi maandishi?
(Vipindi 2)
yafaayo ya alama ya hisi na
ritifaa katika matini.
TANBIHI

• Sehemu zilizopakwa rangi zinaonyesha uhusiano wa


maswali dadisi na mada ndogo ya uakifishaji.

• Maswali dadisi katika mtaala yamependekezwa tu,


mwalimu ana uhuru wa kutunga maswali kulingana na
uelewa wa wanafunzi wake.Muhimu ni kwamba
maswali hayo yawe ni ya kumfikirisha mwanafunzi na
pia yawe yanalenga mada ndogo inayofunzwa.
UMILISI WA KIMSINGI,MAADILI NA
MASUALA MTAMBUKO

• Vipengele hivi vya mtaala vinatokana na shughuli


za ujifunzaji zinazotekelezwa darasani.

• Jumla ya masuala mtambuko 15


yameshughulikiwa katika gredi hii.
• Katika mtaala wa Gredi ya Nane Masuala
mtambuko yamewekwa kama suala kuu.
• Hayafunzwi moja kwa moja bali kwa
kuyaegemeza katika stadi nne kuu za lugha.
• Masuala haya yanaweza kutokea katika utunzi wa
sentensi, kusoma kwa ufahamu kuhusu suala
kuu, uigizaji, mjadala n.k
MAADILI

• Upendo - Love
• Uwajibikaji- Responsibility
• Heshima- Respect
• Umoja- Unity
• Amani- Peace
• Uzalendo- Patriotism
• Haki za kijamii - Social justice
• Uadilifu – Integrity
VIFAA VYA KUTATHMINIA
Vigezo na Viwango
Ratiba ya ukaguzi Orodha Hakiki
vya Kutathmini
(Observation schedule) (Checklist)
(Rubric)

Rekodi ya matukio
Rekodi ya umahiri wa
muhimu kumhusu
mwanafunzi Shajara (Journal)
mwanafunzi
(Learner’s profile)
(Anecdotal records)

9. Tathmini
Potifolio 8. Hojaji
yaliyoandikwa (Written
(Portfolio) (Questionnaire)
test)

12. Viwango vya


10. Maswali semwa 11. Maswali sikivu
ukadiriaji
(Oral questioning) (Aural questioning)
(Rating scale)
MFANO WA ORODHA HAKIKI

Shule ya Upili ya Baraka


Gredi ya Nane
Mada: Kusikiliza na Kuzungumza
Mada ndogo: Tanzu za Fasihi
Matokeo maalum yanayotarajiwa:
a) kueleza maana ya fasihi
b) kujadili sifa za tanzu za fasihi
c) kutambua aina za tungo fasihi simulizi na fasihi andishi
d) kuwasilisha utungo wa fasihi anaoujua
MFANO WA ORODHA HAKIKI

Shule ya Upili ya Baraka


Gredi ya Nane
Mada: Kusikiliza na Kuzungumza
Mada ndogo: Tanzu za Fasihi
Matokeo maalum yanayotarajiwa:
a) kueleza maana ya fasihi
b) kujadili sifa za tanzu za fasihi
c) kutambua aina za tungo fasihi simulizi na fasihi andishi
d) kuwasilisha utungo wa fasihi anaoujua
MIFANO YA ORODHA HAKIKI
Jina Vigezo vinavyotathminiwa (Weka alama ✔ panapofaa)
Anaeleza maana ya fasihi. Anajadili sifa za tanzu za Anatambua aina za tungo za Anawasilisha utungo wa Maoni ya
fasihi. fasihi simulizi na fasihi fasihi anaoujua mwalimu
andishi katika matini

Ndiyo La Ndiyo La Ndiyo La Ndiyo La

✔ ✔ ✔
1. Linda ✔
✔ ✔ ✔

2. Baraka ✔
✔ ✔ ✔

3. Natasha ✔
Sahihi ya mwalimu Tarehe
NYENZO

• Kapu maneno • Chati


• Mti maneno • Projekta
Tarakilishi/vipakatalishi
• Kadi maneno
• Makala kutoka kwa
• Kinasasauti
magazeti
ASANTE

You might also like